Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Jul 18, 2012 #21 Hahaaa nchi ina gundu mwanzo kati mwisho
M Mieko Member Joined Jun 17, 2008 Posts 6 Reaction score 2 Jul 18, 2012 #22 Young zee said: Mkuu kwa nini unasema hii ni breaking news wakati huna taarifa kamili???? Subiri ukishakuwa na taarifa kamili ndo uanzishe uzi. Click to expand... Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuu
Young zee said: Mkuu kwa nini unasema hii ni breaking news wakati huna taarifa kamili???? Subiri ukishakuwa na taarifa kamili ndo uanzishe uzi. Click to expand... Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuu
Democracy999 JF-Expert Member Joined May 26, 2012 Posts 945 Reaction score 190 Jul 18, 2012 #23 Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Jul 18, 2012 #24 Wazanzibari bwana kwa headlines hawajambo
D DoctorFykon Member Joined Jul 18, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Jul 18, 2012 #25 Daah kweli lets pray together....kwa wahanga wapate kuokolewa salama...
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Jul 18, 2012 #26 taarifa nyingine kuwa sio seagul ni mv kalama mliojirani mtujuze
R RC. JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 444 Reaction score 42 Jul 18, 2012 #27 MWIGULU AMEPONA?teh!teh!teh! aaagh!
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,800 Jul 18, 2012 #28 zomba said: La Hawla Wala Quwata Ila Billahi LaAliyu La Adhyim. Click to expand... kikwete anamalizia kafara zake before 2015! hii imekaaje zomba? au ni chadema wamesababisha!??!! chama cha mazandiki! puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
zomba said: La Hawla Wala Quwata Ila Billahi LaAliyu La Adhyim. Click to expand... kikwete anamalizia kafara zake before 2015! hii imekaaje zomba? au ni chadema wamesababisha!??!! chama cha mazandiki! puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
M mtani1 Member Joined Aug 25, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jul 18, 2012 #29 ni kweli imepinduka ikiwa na abiria kama 200 kwa mujibu ya takwimu za haraka.....mda si mrefu tutawapa taarifa kamili nini kimejiri kwani hivi sasa meli ya kilimanjaro kutoka zanzibar iko njiani kuelekea eneo la tukio
ni kweli imepinduka ikiwa na abiria kama 200 kwa mujibu ya takwimu za haraka.....mda si mrefu tutawapa taarifa kamili nini kimejiri kwani hivi sasa meli ya kilimanjaro kutoka zanzibar iko njiani kuelekea eneo la tukio
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Jul 18, 2012 #30 Taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni jana na Watu wote 200 waliokuwemo inasemekana wameokolewa, Huku wengine wakisema ni mida hii na imepinduka kabisa! Hebu tunaomba mtujuze zaidi mwenye taarifa sahihi
Taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni jana na Watu wote 200 waliokuwemo inasemekana wameokolewa, Huku wengine wakisema ni mida hii na imepinduka kabisa! Hebu tunaomba mtujuze zaidi mwenye taarifa sahihi
Democracy999 JF-Expert Member Joined May 26, 2012 Posts 945 Reaction score 190 Jul 18, 2012 #31 Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
S Shadow JF-Expert Member Joined May 19, 2008 Posts 2,897 Reaction score 677 Jul 18, 2012 #32 Meli hiyo inakadiliwa kuwa na abiria 250 na Iliondoka Dar saa sita mchana huu. I will keep you updated.
Meli hiyo inakadiliwa kuwa na abiria 250 na Iliondoka Dar saa sita mchana huu. I will keep you updated.
Tume ya Katiba JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,896 Reaction score 1,866 Jul 18, 2012 #33 Tatizo muungano.
S Shekispia JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 224 Reaction score 30 Jul 18, 2012 #34 Thanx mkuu,we r waitng for ur updates.
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Jul 18, 2012 #35 Duhh nimesikia clouds fm sasa hivi wameirusha hewani
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Jul 18, 2012 #36 Mark Francis said: Hata mimi nimeona hiyo facebook, nkajua utani!! Ilikua na uwezo wa kubeba watu wangapi?? Click to expand... face book wanasema ilikuwa na watu 400
Mark Francis said: Hata mimi nimeona hiyo facebook, nkajua utani!! Ilikua na uwezo wa kubeba watu wangapi?? Click to expand... face book wanasema ilikuwa na watu 400
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Jul 18, 2012 #37 Mungu tunusuru!
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Jul 18, 2012 #39 Nimesikia clouds fm mida hii wameirusha
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,668 Reaction score 7,075 Jul 18, 2012 #40 Hadi kikwete anaondoka cjui wangapi watasalimika!