Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Hali ya bahari siyo nzuri kiasi kwamba kameli kakibeba watu 3000 tu na tumizigo kanazama.duh...hali ya bahari vipi wadau
....imechafukaduh...hali ya bahari vipi wadau
inaduh...hali ya bahari vipi wadau
na kenyewe kalikuwa kanatakiwa kabebe watu 600Hali ya bahari siyo nzuri kiasi kwamba kameli kakibeba watu 3000 tu na tumizigo kanazama.
tutaisha mwaka huu...hii miaka 50 ya uhuru tunatoana kafara tu...thanks for updates.
Kweli huu mwaka nia wa SHETANI. Jana ajali zimeuwa Morogoro, Polisi kama kawaida yao wameuwa Geita, sasa tunaishi kiwasiwasi wasi tu maana kila kona majanga sijui tumekosa nini kwa nchi yetu hii maana huwezi kusema tumemkosea nini Mungu! Ewe JK na Serikali yako hizi roho za wasio na hatia zitawahukumu siku za mwisho!