Meli Spice Islander yaibuka

Meli Spice Islander yaibuka

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
Kuna habari ambazo hazijadhibitishwa kuwa ile meli ya Spice Islander iliyozama Zanzibar na kuua mamia ya watu imeibuka na kuelea bahari. Kama kuna wenyewe taarifa zaidi watujuze.
 
Based on Archimedes principle kama ilizama sehemu isiyo na kina na uzito wa ndani umepungua lazima ielee!
Ila hayo mambo huwezi sikia Nyasa wala Tanganyika as vina vyake ni balaa chini unakutana mpaka na mapango!
 
Mbona wale wapiga mbizi kutoka South walishindwa kuifikia?
 
Based on Archimedes principle kama ilizama sehemu isiyo na kina na uzito wa ndani umepungua lazima ielee!
Ila hayo mambo huwezi sikia Nyasa wala Tanganyika as vina vyake ni balaa chini unakutana mpaka na mapango!
Sioni relationship hap mkuu!
Mimi naweza kufikiria kitu kama hicho endapo meli hiyo ilizama na kwenda kukaa huko ilikokuwa ikiwa katika mkao uleule wa floating...lakini kama ilipinduka na kuwa aidha upside down au sideways, then si rahisi ikaibuka na kupanda juu ya maji na kuelea.
 
Hakuna kitu kama hicho kwani uzito ushaongezeka kutokana na kutu.
 
Tusubiri tupate ukweli. Je inawezekana na maiti kwa maana ya mafuvu yakapatikana na kehesabiwa ?
 
duh! Hili tukio litaashiria mwanzo wa mwisho wa dunia!
 
Hahaha labda kama ni principle ya kimwanaasha ndo itaibuka!
 
Back
Top Bottom