Meli imezama

Meli imezama

Ibaki hivyohivyo kwamba meli imezama rasmi Leo, ukishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Watajiuliza, sasa sisi mbona tumebaki wenyewe, hapo wataanza kubaguana kwa udini, ukabila, na hata mambo binafsi, haijalishi ni ya kijinga namna gani, yatakuwa ya kitaifa. Na eventually, yatabadili hata mwelekeo wa taifa.

TUWEKE CHECKPOINT VICHWANI MWETU

Tukisahau, Tutarudia palepale

"The price of Ignorance is going through the same circle of mistakes"

Long Life JF

Wajukuu zetu watajua kiasi gani tulikuwa mataahira
Pole yako actually Meli ndio imeibuka!
 
images
 
Asanteni Mods

Hata hivyo tu inatosha.

JF italipwa tu

Hapa duniani, na kwingineko tusikokujua


Ilihitajika kipande cha barafu (barafu ni maji tu yaliyokosa joto) ili kuizamisha Titanic iliyoaminishwa HAINA uwezo wa kuzama!

Thanks JF!

Source of Our Victory When Time Will Allow It!

And It WILL!

Though Not Today!
Uko emotional sana Dada..najua wengi wanavyojisikia kwa sasa..
 
Bado kidogo ataanza kuongea na vichwa vya wabaya wake vilivyokatwa na kuweka kwenye sahani. Wapo watoto watashangaa lakini Idd Amini aliefanya hivi alitoka East Africa vinasaba vipo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom