Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

Ila Bwana Trump hakumaanisha Ivanka nae ni kilaza ila ni watoto wa wamarekani wengine in fact Ivanka nahisi yuko last year tutegemee akimaliza atamsaidia Melania pale white house Washington
Kwakweli tumwombee heri atoke na First Class ili Trump asionekane kazaa asiyelaza. Hivi UDOM wanathubutu kumfelisha?? Si watakamuliwa majipu??
 
Ahahah.... Nimefurahishwa sana na huu mlinganisho wenu eti trump wetu..

Ila kwa taarifa niliyoipata yule Ivanka wetu hayupo tena udom alidiscontinue.
Sidhani kama Washington Univeristy wanaweza kumdisko Ivanka. Watatumbuliwa watu pale wasubirie kazi nyingine...
 
Ahahah.... Nimefurahishwa sana na huu mlinganisho wenu eti trump wetu..

Ila kwa taarifa niliyoipata yule Ivanka wetu hayupo tena udom alidiscontinue.
Kahamishiwa Harvard au anabukua palepale Whitehouse
 
Sidhani kama Washington Univeristy wanaweza kumdisko Ivanka. Watatumbuliwa watu pale wasubirie kazi nyingine...
Haaa...basi pale washington university watakuwa wameamua kuficha ukweli, lakin wanafunzi wengi wanasema hawamuoni kabisa sio yeye tu hata v8
 
Kahamishiwa Harvard au anabukua palepale Whitehouse
Ile havard ya pale karibu na m.city au!!? Alafu bwana trump alitaka sana aende pale ila sema ndio hivyo tena kutokana na uwezo wake ikabidi bwana trump hawache tu wampeleke huko washington ambako na penyewe pamekuwa pagumu.
 
Naona hizo zote ni figisufigisu za bibie Clinton na wafuasi wake...ila ingependeza sana kama Ivanka angechukulia degree yake pale Harvard karibu na m.city kwa sababu hata Bwana Trump alipata PhD ya kubangua korosho hapohapo
 
basi bibi yenu clinton apewe hata u first lady ili mlizike sasa, make baada ya kuukosa urais sasa mnaanza kuunyapianyapia ufirst lady
 
Mkuu unauliza kipi remarkable Michelle amefanya?

You must be joking. Michelle is the epitome of the first lady excellence.

Mkuu umewahi sikia Initiative ya Let Girl Learn? Maelfu ya wasichana wamesaidia kuendelea na shule duniani kote. Kuacha hilo Michele Obama was very vocal about reality of "being black". Kifupi amekuwa un-appologetically black. Ukumbuke kipindi cha Obama as POTUS kulikuwa na campaign kushusha image ya blacks in US. Yeye Michelle alionyesha kwa mifano you can be black and successful bila ku-compromise na lolote lile.

Mwisho, Michelle alikuwa funny and loving.

Michelle sio wa sport Sport mkuu.....graduate from Harvard University

we unaleta sifa za michelle za miaka 8 ukilinganisha na mtu ambaye hajamaliza hata siku 30. maajabu
 
Mkuu ngoja tusubiri hatujui huko mbele itakuwaje, lakin kwa hizo sababu mbili nilizosema zinaweza kumfanya akaandika historia ya kipekee ya kuwa FLOTUS mbovu kuliko wote.

Nakumbuka Laura Bush ndani ya siku 100 za kwanza baada ya tu mmewe kuapishwa alianziasha project ya "redy to read" kwa ajiri ya kuimprove literacy level in america na pia vile vile iliakuwa ni advocator wa women health education hili kupambana na magonjwa kama breast cancer. Alafu wakati tukio 9/11 baada ya mme wake kuwa frustrated yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kuzi comfort familia zilizo athirika na tukio lile.

Michelle baada ya kuingia white house alianzisha campaign maalumu ya kupambana na obesity kwa watoto wadogo, alitoa ushauri juu ya lishe bora ambayo akina mama wanatakiwa wawape watoto wao. Japo kwa baadae alikuja kupingwa na wengi kwamba hawezi akawapangia watu wawalishe nini watoto wao, lakin kama first lady alitimiza wajibu wake.

Sasa tukija kwa huyu Melani mpaka sasa hivi bado sijaskia ni kipi alichokiandaa kwa ajiri ya kunufaisha jamii ya marekani, na hii liko wazi ni kwa sababu hakujiandaa kuwa kwenye nafasi ile huyu hana tofauti na mama Janet magufuli ambae nae hakujiandaa na ndio maana hata watanzania wengi hawamjui.

ushasema ndani ya siku 100 sasa huyu hayupo hata ndan ya siku 30 za ufirst lady. na yeye anaweza akafanya yake ndan ya siku 365 na muda bado unamruhusu
 
basi bibi yenu clinton apewe hata u first lady ili mlizike sasa, make baada ya kuukosa urais sasa mnaanza kuunyapianyapia ufirst lady
No one hates Melania. Vile tunataka kujua mipango yake kama first lady. Binafsi naona Melania ana-keep low profile because she is not well informed on social and political issues. Melania should learn from Michelle. Mbona aliiga speech ya Michelle? Akiiga na Initiatives za Michelle zilizopita is also fine......no one will judge
 
we unaleta sifa za michelle za miaka 8 ukilinganisha na mtu ambaye hajamaliza hata siku 30. maajabu
Soma uelewe. Niliulizwa Michele amwfanya nini? Hapo siyo issue ya comparison. Hapo ni what Michelle has achieved in her years as first lady
 
No one hates Melania. Vile tunataka kujua mipango yake kama first lady. Binafsi naona Melania ana-keep low profile because she is not well informed about social and political issues. Melania should learn from Michelle. Mbona aliiga speech ya Michelle? Akiiga na Initiatives za Michelle zilizopita is also fine......no one will judge

kabla hata mmewe hajaapa alisema atabaki new york kwa muda kwa ajili ya mambo ya kifamilia na hiyo ndo sababu, afu kingine vuta subira huyu mama hajafikisha hata siku 30 za ufirst lady, kwan huyo michelle alifanya nini ndan ya siku 28 za ufirst lady wake?!
 
Hiyo njota inamsaidia nini kutimiza majukumu yake kama first lady? She might have been lucky in modeling industry but not in social and political arena. Mambo yanaonekana tu mama anapwaya.

Mwenzake Michelle alikuwa brilliant haswaa

ebu jisome vizuri, hufanyi comparison wewe?
 
kabla hata mmewe hajaapa alisema atabaki new york kwa muda kwa ajili ya mambo ya kifamilia na hiyo ndo sababu, afu kingine vuta subira huyu mama hajafikisha hata siku 30 za ufirst lady, kwan huyo michelle alifanya nini ndan ya siku 28 za ufirst lady wake?!
Sawa nakubali point yako yakuvuta subra. Lakini Trump amesema Melania atasaidiwa na Ivanka. For me this translates one thing.....Melania ain't fit to face challenges as first lady. Well, time will be a good judge.
 
ushasema ndani ya siku 100 sasa huyu hayupo hata ndan ya siku 30 za ufirst lady. na yeye anaweza akafanya yake ndan ya siku 365 na muda bado unamruhusu
The main content ni jinsi gani Melania anavyokosa charisma,enthusiasm na complexity as a first lady. Na hili lilionekana tangu siku ya RNC convetion alipotoa plagiarized speech, unakumbuka wakati wa campaign alimnadi Trump mara ngapi? yaani hata Ivanka alifanya kazi kubwa kuliko huyu. Nyota njema uonekana hasubui, wala hata haitaji kusubiri hizo siku 100 ziishe hili kujua kwamba huyu melania ni Mama janeti magufuli wa marekani.

No one hates Melania. Vile tunataka kujua mipango yake kama first lady. Binafsi naona Melania ana-keep low profile because she is not well informed about social and political issues. Melania should learn from Michelle. Mbona aliiga speech ya Michelle? Akiiga na Initiatives za Michelle zilizopita is also fine......no one will judge

Yes bro, no one hates on that lady here we are just being objective in our perspectives, we are not talking out of prejudice like some people might percieve here.

True saying, the lady has to pull it off and getting familiar with political issues.
 
Back
Top Bottom