Mein Kampf: Pambano la mbwa mwitu wa Magharibi pasipo kufa

Nakumbuka nikiwa o level miaka ya mwisho ya 80, gazeti la Mfanyakazi, lilitoka na habari. "Hitler Yu Hai" likadadavua kuwa Hitler alikuwa akiishi kwenye moja ya miji huko Argentina. Nakumbuka kipande cha gazeti hilo kilibandikwa kwenye ubao wa matangazo.

Nini faida na hasara za kuwepo kwa Hitler na ww2?

Faida ni.

Kuanzishwa kwa taifa/nchi ya Israel.
Kuanzishwa kwa umoja wa mataifa. Kabla kulikuwa league of nation.

Kuwepa kwa korea mbili. South na West.

German mbili. East and west ambapo walikuja kuungana mwanzoni mwa miaka ya 90.

Hasara.

Vifo, uharibifu wa mali na miundo mbinu.
Yani mwanaume mmoja alikuja duniani na kubadilisha kabisa historia ya dunia. Bila Hitler leo hii Marekani isingekuwa superpower nation. Baada wa WW2 marekani aliBoom fasta kutoka kwenye great economic depression na kuwa taifa lenye nguvu zaidi kiuchumi duniani. Marekani alitumia huu mwanya kusaidia kiuchumi nchi zilizokumbwa na maafa ya WW2 kwa malipo/riba kunwa sana.

Maafa aliyoleta Hitler yalisababisha dunia kuja kuwa moja zaidi, kupunguza chuki na uhasama,,kuongeza urafiki kayi ya nchi na nchi, kupunguza oppression na ndipo iliasisiwa Umoja wa Mataifa (UN) kuleta amani ya dunia.
 
Kwenye misitu mizito ya Eurasia na kusini mwa marekani hasa Argentina ndipo asili ya mbwa mwitu wa kijivu (The grey wolf). Ni jamii ya wanyama wenye meno makali sana (canine) na ni adui mkubwa sana wa binadamu, alipo mnyama huyu mwanadamu hasogei kabisa. Lakini katika misitu hii mwanaume mmoja mjerumani alitia miguu yake akapaza sauti na kusema "sioni sababu yoyote kwanini mwanaume kama mimi nisiwe katili kama mbwa mwitu wa kijivu"

Uwezo wake wa kuzungumza kimkakati na ushawishi wa hoja ulikua ngome yake kuu ya kujizolea umaarufu na kumpandisha cheo katika chama kipya kilichoibuka kwa nguvu sana katika jiji la Berlin. Akiwa kijana mbichi kabisa, mwaka 1932 alikiongoza chama chake chaa Unazi (Nazi party) kushika madaraka naye kuwa kansela wa Ujerumani na Führer (kiongozi mwenye madaraka ya juu zaidi).

Kipindi cha utawala wake wa kibabe na mabavu, Hitler alitengeneza maadui wengi sana, hakuwahi kuwa mtu wa amani sana kwa yeyote aliyempinga. Pamoja na kusaini mikataba ya kirafiki na mataifa ya Urusi (Soviet), Hitler alipinga vikali ukomunisti (communism). Lengo lake kubwa lilikuwa kuteka, kuongeza ushawishi na kutawala mashariki mwa Lebensraum (ukanda wa nchi za mashariki mwa Ulaya). Sept 1, 1939 Hitler alipenya na kuvamia taifa la Poland. Miezi minne baadae Urusi muungano (Soviet union) ikiongozwa na Joseph Stalin walivamia na kumiliki nchi za Baltic (Estonia, Lithuania na Latvia).

Hitler hakufurahia kitendo cha mrusi kumzidi kete katika kumiliki mataifa haya ya Lebensraum. Aliamini angelisambaratisha vibaya Jeshi la damu (The red army), ndipo June 1 1941 ndipo Hitler aliamuru uvamizi wa nchi ya Urusi. Uingereza na Ufaransa wakatoa tamko la kupambana kumuangusha Hitler.
View attachment 443607
Hitler akipanga shambulio la kivita.

Aliingia kwenye handaki lake takatifu (FuhrerBunker) akapaza sauti kwa maofisa wote wa kijeshi na kusema "surrender is forbidden"_ "kujisalimisha ni mwiko". Mapambano ya WW2 yalianza, Majira ya michipuko (spring) ya 1942 Hitler alisuka mkakati wa kuteketeza wapinzani wake na aliamini ushindi utarudi kwake. Falsafa yake kuu ilikua "mwanaume hodari hapimwi kwa uwezo wake wa kujihami, bali makali yake katika kushambulia na kuteketeza". Hali ilikuwa tofauti sana baada ya mapigano kufikia Stalingrad (ngome kuu ya kivita ya Urusi), Marekani iliingia kwenye vita na ngome ya Urusi ikaimarika zaidi, Hitler alishindwa kushambulia na jeshi lake likaanza kujihami.

Kwa mara ya kwanza chozi lilimtoka Hitler baada ya kuona dalili za kupoteza ushindi. Wanamgambo wake na maafisa wa juu walimkosoa vikali hukusu kusalimu amri, upinzani dhidi ya Hitler ndani ya jeshi la Ujerumani ulizidi, hali ilikua tete Kipindi ambacho makamanda watiifu walianza kuweka silaha mezani na baadhi ya maafisa waandamizi wa jeshi la Ujerumani walitamani Hitler afariki/auwawe.

Mnamo tarehe 20 Nov 1942 Hitler akiwa katika kikao na viongozi wa juu wa kivita katika makao makuu yao ya Wofl's liar, afisa daraja la kwanza, Luten Kanali Stauffenberg aliandaa shambulizi la kumuangamiza Hitler. Alitega bomu ndani ya mkoba na kuuacha mkoba juu ya meza, saa 6:42 mchana bomu lililipuka. Maafisa wa4 wa Ujerumani walifariki, lakini Hilter aliponea chupuchupu na kutoka akiwa na majeraha madogo.

Alisikika akisema kwa dharau "nani tena haamini kuwa kuna nguvu maalumu ya Mungu inayonilinda". Baada ya shambulio hilo jeshi la Hitler liliendelea kudhoofika kwa kasi na Hitler kujiridhisha kua kamwe hakuna muujiza utakaomfanya ashinde vita.

View attachment 443608
Chumba cha mkutano ambapo Hitler alipona kuuwawa na Stauffenberg.

Jeshi la Urusi lilipenya zaidi kufikia ngome ya Ujerumani. Katika siku za mwisho kabisa za vita Hitler aliamua kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu Eve Braun. Siku chache baadae Hitler akiwa kwenye handaki maalumu aliagiza apunguziwe ulinzi, aliomba aletewe vidonge vya cyanide. Alivijaribu vidonge hivyo kupitia mbwa wake wa2, ambao wote walikufa.

Saa 3 asubuhi tarehe 2 May 1945, inasemekana Hitler alichukua vidonge 6 vya cyanide akavichanganya kwenye glass yake ya wine, yeye pamoja na mkewe wakanywa, kisha Hitler akafungua bastola yake ndogo, akapenyeza risasi kichwani kwake. Damu iliyomwagika kwenye sofa ilitunzwa kama ukumbusho. Mwili wa Hitler na mkewe ulichukuliwa hadi nje ya handaki na kuchomwa moto.
View attachment 443609
Keshowe, tarehe 3 May 1945, kiongozi wa ngazi ya kuu kabisa wa jeshi la wanamaji (navy) Generali Karl Domtz alivuta simu ya mezani na kupigia kituo cha redio cha Ujerumani na kutangaza rasmi kifo cha Hutler na mkewe Eva.
View attachment 443606
Wapiganaji wa Jeshi la damu bendera ya Urusi mjini Reichstag jijini Berlin.

UKWELI KUHUSU KIFO CHA HITLER

Kiongozi mkuu wa Urusi Josef Stalin aliomba ushahidi juu ya kifo cha Hitler, alisikika akisema "Isingekuwa rahisi kumuuwa Hitler wala Hitler kujiuwa_huyu yu'hai".

Taarifa za ushahidi wa Hitler na mkewe Eve kuwa hai zilianza kupenya. Habari za kushtusha zilisambaa kwamba dakika za mwisho wa mapigano Hitler na mkewe walitoroshwa kwenda kwenye pori zito huko Argentina. Mnamo tarehe 29 April 1945 kupitia tundu refu la siri lililokuwemo ndani ya handaki tukufu lilitumika kumpenyeza Hitler hadi baharini, ambapo U-boat [HASHTAG]#502[/HASHTAG] (underground boat nambari 501) lilikua likiwasubiri kuwasafirisha chini ya bahari hadi Argentina ambako walipokelewa na wageni wa Juan Peron (Raisi wa Argentina) pamoja na mkewe Evita. Ikumbukwe serikali ya Hitler ilidhamini uchaguzi uliomuweka madarakani Juan kuwa kiongozi wa mabavu wa Argentina.

Hitler, mkewe na binti yao waliishi maisha ya kifahari sana kwenye miji mbalimbali nchini Argentina hadi mwaka 1955, ambapo Eva na bintiye Ursula walimwacha Hitler na kuelekea Neuquen. Hitler alifariki kifo cha kawaida sana mfamo mwaka 1962.

USHAHIDI JUU YA KIFO CHA HITLER

●Mwaka 2010 kikosi cha Marekani cha kiinteligensia cha CIA kilitoa taarifa za siri ya juu (declassified information), andiko lenye kurasa 792 zikieleza uhalisia juu ya nadharia ya kifo cha Hitler na kubainisha kua kikosi maalumu cha Marekani kilisaini kumtorosha kwa siri Fuhrer Hitler mafichoni.

●Hakuna uthibitisho wowote wa mwili wa Hitler sehemu yoyote duniani baada ya WW2. Marshall Zhukov, kiongozi wa jeshi la Urusi alizungumza na waandishi wa habari na alinukuliwa akisema "We never identified the body of Hitler, I can say nothing about about his fate. He could have flown away from Germany at the last moment"__ "Hatukufanikiwa kuutambua mwili wa Hitler, siwezi kuzungumza chochote kuhusu mauti yake. Yawezekana alitoroka dakika za mwisho kabisa".

●Simulizi ilibadilika mwaka 1968, Warusi walipoamua kufukua kilichoaminika kuwa ni mabaki ya mwili wa Hitler yaliyochomwa moto. Walifanikiwa kupata fuvu lenye tundu la risasi, taya na meno ya Hitler. kwa muda mrefu serikali ya Urusi haikutaka kupeleleza mabaki hayo, hadi ilipofika 2009 ambapo serikali iliridhia uchunguzi ufanyike. Jopo la wataalamu wa mifupa, vinasaba na akiolojia likiongozwa na Bellanton walifanya uchunguzi wa mabaki hayo. Matokeo yaliuduwaza na kuustaajabisha ulimwengu. Hapakuwa na sampuli yoyote iliyoendana na DNA ya Hitler, fuvu lile liligundulika kua lilikua la mwanamke mrembo sana mwenye umri wa miaka 39-40. (Wala hakuwa Eva, mke wa Hitler).

Fuvu lilitokea wapi? Lilikuwa na nani? Kwanini Warusi walilihusisha na Hitler? Vyovyote vile, vipomo na majibu ya uchunguzi viliuwa porojo zote kuhusu kujiuwa kwa Hitler.

●Njia ya Panya ya Wanazi.
Viongozi wengi wa juu Nazi walioshiriki katika utawala wa damu wa Ujerumani walitoroka mafichoni baada ya WW2, kwa msaada wa mitandao ya siri ikiwemo Odessa (wa Ukraine), kanisa katoliki pamoja na Taasisi ya siri ya Marekani. Wamwaga damy mashuhuri kama Josef Mongele na Adolf Eichman walikimbilia katika nchi za kidikteka kama Chile na Argentina.

●Mnamo mwaka 2014 Simon Dunstan na Gerrard Williams waliandika kitabu kiitwacho Grey wolf: The escape of Adolf Hitler (Mbwa mwitu wa kijivu: Kutoroka kwa Adolf Hitler). Kitabu hiki kilibainisha kwa undani kuhusu kutoroka kwa Adolf Hitler na nadharia ya uwongo juu ya kifo cha Hitler. Kitabu hiki kilijumuisha wakazi wa Argentina waliotoa ushahidi wa kumuona Hitler akikatiza mitaa ya Argentina.

Maneno ya mwisho yaliyosikika kutoka kwa Hitler akiwa ndani ya Handaki, alisema " Naamini leo kwamba mwenendo wangu ni kwa mujibu wa mapenzi ya Muumba Mwenyezi Mungu"

nyie endeleen tu kunichimbA,m cjafa.
by hitler
 
Nakumbuka nikiwa o level miaka ya mwisho ya 80, gazeti la Mfanyakazi, lilitoka na habari. "Hitler Yu Hai" likadadavua kuwa Hitler alikuwa akiishi kwenye moja ya miji huko Argentina. Nakumbuka kipande cha gazeti hilo kilibandikwa kwenye ubao wa matangazo.

Nini faida na hasara za kuwepo kwa Hitler na ww2?

Faida ni.

Kuanzishwa kwa taifa/nchi ya Israel.
Kuanzishwa kwa umoja wa mataifa. Kabla kulikuwa league of nation.

Kuwepa kwa korea mbili. South na West.

German mbili. East and west ambapo walikuja kuungana mwanzoni mwa miaka ya 90.

Hasara.

Vifo, uharibifu wa mali na miundo mbinu.
Umewasaidia watu kujib mtihan...
 
Huu ni uongo wa wazi maaana hakuna na hakujawahi kuwepo na underground connection way kati ya Germany na Argentina iliyopita chini ya bahari kwa miaka hiyo ya 1940's...

Mpaka wa leo hii hakuna underground connection of the sort,umbali wa Germany na Argentina ni mkubwa kiasi kwamba ni unavuka mabara hapo katikati kufika Argentina...hakuna kitu kama hiki
 
Mkuu natamani sana ungesoma na kuelewa kilichoandikwa. Nakushauri urudie mkuu.
 
Huu ni uongo wa wazi maaana hakuna na hakujawahi kuwepo na underground connection way kati ya Germany na Argentina iliyopita chini ya bahari kwa miaka hiyo ya 1940's...

Mpaka wa leo hii hakuna underground connection of the sort,umbali wa Germany na Argentina ni mkubwa kiasi kwamba ni unavuka mabara hapo katikati kufika Argentina...hakuna kitu kama hiki
Hv kasema.hivyo mkuu, na sio kwamba mpk baharini

Anyway
Soma upyaa,
 
Huu ni uongo wa wazi maaana hakuna na hakujawahi kuwepo na underground connection way kati ya Germany na Argentina iliyopita chini ya bahari kwa miaka hiyo ya 1940's...

Mpaka wa leo hii hakuna underground connection of the sort,umbali wa Germany na Argentina ni mkubwa kiasi kwamba ni unavuka mabara hapo katikati kufika Argentina...hakuna kitu kama hiki
Mkuu isome tena habari utaielewa..
 
Kwani Mei 2 kuna nini jamani?!! Mbona vifo feki vinapendwa kufanywa mei 2!! Kama ilivyokuwa kwa Osama
 
Back
Top Bottom