Mein Kampf: Pambano la mbwa mwitu wa Magharibi pasipo kufa

ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,885
17,018
Kwenye misitu mizito ya Eurasia na kusini mwa marekani hasa Argentina ndipo asili ya mbwa mwitu wa kijivu (The grey wolf). Ni jamii ya wanyama wenye meno makali sana (canine) na ni adui mkubwa sana wa binadamu, alipo mnyama huyu mwanadamu hasogei kabisa. Lakini katika misitu hii mwanaume mmoja mjerumani alitia miguu yake akapaza sauti na kusema "sioni sababu yoyote kwanini mwanaume kama mimi nisiwe katili kama mbwa mwitu wa kijivu"

Uwezo wake wa kuzungumza kimkakati na ushawishi wa hoja ulikua ngome yake kuu ya kujizolea umaarufu na kumpandisha cheo katika chama kipya kilichoibuka kwa nguvu sana katika jiji la Berlin. Akiwa kijana mbichi kabisa, mwaka 1932 alikiongoza chama chake chaa Unazi (Nazi party) kushika madaraka naye kuwa kansela wa Ujerumani na Führer (kiongozi mwenye madaraka ya juu zaidi).

Kipindi cha utawala wake wa kibabe na mabavu, Hitler alitengeneza maadui wengi sana, hakuwahi kuwa mtu wa amani sana kwa yeyote aliyempinga. Pamoja na kusaini mikataba ya kirafiki na mataifa ya Urusi (Soviet), Hitler alipinga vikali ukomunisti (communism). Lengo lake kubwa lilikuwa kuteka, kuongeza ushawishi na kutawala mashariki mwa Lebensraum (ukanda wa nchi za mashariki mwa Ulaya). Sept 1, 1939 Hitler alipenya na kuvamia taifa la Poland. Miezi minne baadae Urusi muungano (Soviet union) ikiongozwa na Joseph Stalin walivamia na kumiliki nchi za Baltic (Estonia, Lithuania na Latvia).

Hitler hakufurahia kitendo cha mrusi kumzidi kete katika kumiliki mataifa haya ya Lebensraum. Aliamini angelisambaratisha vibaya Jeshi la damu (The red army), ndipo June 1 1941 ndipo Hitler aliamuru uvamizi wa nchi ya Urusi. Uingereza na Ufaransa wakatoa tamko la kupambana kumuangusha Hitler.
1481129630340.jpg

Hitler akipanga shambulio la kivita.

Aliingia kwenye handaki lake takatifu (FuhrerBunker) akapaza sauti kwa maofisa wote wa kijeshi na kusema "surrender is forbidden"_ "kujisalimisha ni mwiko". Mapambano ya WW2 yalianza, Majira ya michipuko (spring) ya 1942 Hitler alisuka mkakati wa kuteketeza wapinzani wake na aliamini ushindi utarudi kwake. Falsafa yake kuu ilikua "mwanaume hodari hapimwi kwa uwezo wake wa kujihami, bali makali yake katika kushambulia na kuteketeza". Hali ilikuwa tofauti sana baada ya mapigano kufikia Stalingrad (ngome kuu ya kivita ya Urusi), Marekani iliingia kwenye vita na ngome ya Urusi ikaimarika zaidi, Hitler alishindwa kushambulia na jeshi lake likaanza kujihami.

Kwa mara ya kwanza chozi lilimtoka Hitler baada ya kuona dalili za kupoteza ushindi. Wanamgambo wake na maafisa wa juu walimkosoa vikali hukusu kusalimu amri, upinzani dhidi ya Hitler ndani ya jeshi la Ujerumani ulizidi, hali ilikua tete Kipindi ambacho makamanda watiifu walianza kuweka silaha mezani na baadhi ya maafisa waandamizi wa jeshi la Ujerumani walitamani Hitler afariki/auwawe.

Mnamo tarehe 20 Nov 1942 Hitler akiwa katika kikao na viongozi wa juu wa kivita katika makao makuu yao ya Wofl's liar, afisa daraja la kwanza, Luten Kanali Stauffenberg aliandaa shambulizi la kumuangamiza Hitler. Alitega bomu ndani ya mkoba na kuuacha mkoba juu ya meza, saa 6:42 mchana bomu lililipuka. Maafisa wa4 wa Ujerumani walifariki, lakini Hilter aliponea chupuchupu na kutoka akiwa na majeraha madogo.

Alisikika akisema kwa dharau "nani tena haamini kuwa kuna nguvu maalumu ya Mungu inayonilinda". Baada ya shambulio hilo jeshi la Hitler liliendelea kudhoofika kwa kasi na Hitler kujiridhisha kua kamwe hakuna muujiza utakaomfanya ashinde vita.

1481129704060.jpg

Chumba cha mkutano ambapo Hitler alipona kuuwawa na Stauffenberg.

Jeshi la Urusi lilipenya zaidi kufikia ngome ya Ujerumani. Katika siku za mwisho kabisa za vita Hitler aliamua kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu Eve Braun. Siku chache baadae Hitler akiwa kwenye handaki maalumu aliagiza apunguziwe ulinzi, aliomba aletewe vidonge vya cyanide. Alivijaribu vidonge hivyo kupitia mbwa wake wa2, ambao wote walikufa.

Saa 3 asubuhi tarehe 2 May 1945, inasemekana Hitler alichukua vidonge 6 vya cyanide akavichanganya kwenye glass yake ya wine, yeye pamoja na mkewe wakanywa, kisha Hitler akafungua bastola yake ndogo, akapenyeza risasi kichwani kwake. Damu iliyomwagika kwenye sofa ilitunzwa kama ukumbusho. Mwili wa Hitler na mkewe ulichukuliwa hadi nje ya handaki na kuchomwa moto.
1481129867634.jpg

Keshowe, tarehe 3 May 1945, kiongozi wa ngazi ya kuu kabisa wa jeshi la wanamaji (navy) Generali Karl Domtz alivuta simu ya mezani na kupigia kituo cha redio cha Ujerumani na kutangaza rasmi kifo cha Hutler na mkewe Eva.
1481129384626.jpg

Wapiganaji wa Jeshi la damu bendera ya Urusi mjini Reichstag jijini Berlin.

UKWELI KUHUSU KIFO CHA HITLER

Kiongozi mkuu wa Urusi Josef Stalin aliomba ushahidi juu ya kifo cha Hitler, alisikika akisema "Isingekuwa rahisi kumuuwa Hitler wala Hitler kujiuwa_huyu yu'hai".

Taarifa za ushahidi wa Hitler na mkewe Eve kuwa hai zilianza kupenya. Habari za kushtusha zilisambaa kwamba dakika za mwisho wa mapigano Hitler na mkewe walitoroshwa kwenda kwenye pori zito huko Argentina. Mnamo tarehe 29 April 1945 kupitia tundu refu la siri lililokuwemo ndani ya handaki tukufu lilitumika kumpenyeza Hitler hadi baharini, ambapo U-boat [HASHTAG]#502[/HASHTAG] (underground boat nambari 501) lilikua likiwasubiri kuwasafirisha chini ya bahari hadi Argentina ambako walipokelewa na wageni wa Juan Peron (Raisi wa Argentina) pamoja na mkewe Evita. Ikumbukwe serikali ya Hitler ilidhamini uchaguzi uliomuweka madarakani Juan kuwa kiongozi wa mabavu wa Argentina.

Hitler, mkewe na binti yao waliishi maisha ya kifahari sana kwenye miji mbalimbali nchini Argentina hadi mwaka 1955, ambapo Eva na bintiye Ursula walimwacha Hitler na kuelekea Neuquen. Hitler alifariki kifo cha kawaida sana mfamo mwaka 1962.

USHAHIDI JUU YA KIFO CHA HITLER

●Mwaka 2010 kikosi cha Marekani cha kiinteligensia cha CIA kilitoa taarifa za siri ya juu (declassified information), andiko lenye kurasa 792 zikieleza uhalisia juu ya nadharia ya kifo cha Hitler na kubainisha kua kikosi maalumu cha Marekani kilisaini kumtorosha kwa siri Fuhrer Hitler mafichoni.

●Hakuna uthibitisho wowote wa mwili wa Hitler sehemu yoyote duniani baada ya WW2. Marshall Zhukov, kiongozi wa jeshi la Urusi alizungumza na waandishi wa habari na alinukuliwa akisema "We never identified the body of Hitler, I can say nothing about about his fate. He could have flown away from Germany at the last moment"__ "Hatukufanikiwa kuutambua mwili wa Hitler, siwezi kuzungumza chochote kuhusu mauti yake. Yawezekana alitoroka dakika za mwisho kabisa".

●Simulizi ilibadilika mwaka 1968, Warusi walipoamua kufukua kilichoaminika kuwa ni mabaki ya mwili wa Hitler yaliyochomwa moto. Walifanikiwa kupata fuvu lenye tundu la risasi, taya na meno ya Hitler. kwa muda mrefu serikali ya Urusi haikutaka kupeleleza mabaki hayo, hadi ilipofika 2009 ambapo serikali iliridhia uchunguzi ufanyike. Jopo la wataalamu wa mifupa, vinasaba na akiolojia likiongozwa na Bellanton walifanya uchunguzi wa mabaki hayo. Matokeo yaliuduwaza na kuustaajabisha ulimwengu. Hapakuwa na sampuli yoyote iliyoendana na DNA ya Hitler, fuvu lile liligundulika kua lilikua la mwanamke mrembo sana mwenye umri wa miaka 39-40. (Wala hakuwa Eva, mke wa Hitler).

Fuvu lilitokea wapi? Lilikuwa na nani? Kwanini Warusi walilihusisha na Hitler? Vyovyote vile, vipomo na majibu ya uchunguzi viliuwa porojo zote kuhusu kujiuwa kwa Hitler.

●Njia ya Panya ya Wanazi.
Viongozi wengi wa juu Nazi walioshiriki katika utawala wa damu wa Ujerumani walitoroka mafichoni baada ya WW2, kwa msaada wa mitandao ya siri ikiwemo Odessa (wa Ukraine), kanisa katoliki pamoja na Taasisi ya siri ya Marekani. Wamwaga damy mashuhuri kama Josef Mongele na Adolf Eichman walikimbilia katika nchi za kidikteka kama Chile na Argentina.

●Mnamo mwaka 2014 Simon Dunstan na Gerrard Williams waliandika kitabu kiitwacho Grey wolf: The escape of Adolf Hitler (Mbwa mwitu wa kijivu: Kutoroka kwa Adolf Hitler). Kitabu hiki kilibainisha kwa undani kuhusu kutoroka kwa Adolf Hitler na nadharia ya uwongo juu ya kifo cha Hitler. Kitabu hiki kilijumuisha wakazi wa Argentina waliotoa ushahidi wa kumuona Hitler akikatiza mitaa ya Argentina.

Maneno ya mwisho yaliyosikika kutoka kwa Hitler akiwa ndani ya Handaki, alisema " Naamini leo kwamba mwenendo wangu ni kwa mujibu wa mapenzi ya Muumba Mwenyezi Mungu"
 
ni kweli aise lijamaa lilifia argentina.........kilichowaponza ujeruman na japan walikua na maadui weng kuliko marafiki bila hvyo pengine leo hii dunia ingekuwa na historia tofauti kabisa tungekua na superpowers kama tatu hivi au nne na dunia ingekua salama sana maana BIG BROTHER asingekuwa msumbufu na mavita yake
 
Hii nadharia ni mpya kwangu lakini naweza kuikubali, mimi siamini zile stori kuwa Hitler alijiua, kuna level fulani ukifikia kwenye maisha huwezi kukubali kufa kizembe, wababe wakizidiwa hawajiui ila wanakimbia mf: Saddam Hussein alishikwa mafichoni baada ya kukimbia, gadafi aliuawa akiwa mbioni kutoroka!
 
nilishawahi kusikia kuhusu hili ila sikulitilia maanani lkn kwa upembuzi huu sina shaka..
Marekani ni ndumila kuwili huku wanaweka msaada wa kumkamata adui huku wanamtorosha adui!! nini hiki..? bila shaka hawa ni watu wa ajenda za chinichini sana maana hitler aliwauwa waisrael na waisrael ni rafiki wa marekani lkn wakamsaidia hitler what is this..? huenda kuna kitu kati hapo si bure.
 
Kwenye misitu mizito ya Eurasia na kusini mwa marekani hasa Argentina ndipo asili ya mbwa mwitu wa kijivu (The grey wolf). Ni jamii ya wanyama wenye meno makali sana (canine) na ni adui mkubwa sana wa binadamu, alipo mnyama huyu mwanadamu hasogei kabisa. Lakini katika misitu hii mwanaume mmoja mjerumani alitia miguu yake akapaza sauti na kusema "sioni sababu yoyote kwanini mwanaume kama mimi nisiwe katili kama mbwa mwitu wa kijivu"

Uwezo wake wa kuzungumza kimkakati na ushawishi wa hoja ulikua ngome yake kuu ya kujizolea umaarufu na kumpandisha cheo katika chama kipya kilichoibuka kwa nguvu sana katika jiji la Berlin. Akiwa kijana mbichi kabisa, mwaka 1932 alikiongoza chama chake chaa Unazi (Nazi party) kushika madaraka naye kuwa kansela wa Ujerumani na Führer (kiongozi mwenye madaraka ya juu zaidi).

Kipindi cha utawala wake wa kibabe na mabavu, Hitler alitengeneza maadui wengi sana, hakuwahi kuwa mtu wa amani sana kwa yeyote aliyempinga. Pamoja na kusaini mikataba ya kirafiki na mataifa ya Urusi (Soviet), Hitler alipinga vikali ukomunisti (communism). Lengo lake kubwa lilikuwa kuteka, kuongeza ushawishi na kutawala mashariki mwa Lebensraum (ukanda wa nchi za mashariki mwa Ulaya). Sept 1, 1939 Hitler alipenya na kuvamia taifa la Poland. Miezi minne baadae Urusi muungano (Soviet union) ikiongozwa na Joseph Stalin walivamia na kumiliki nchi za Baltic (Estonia, Lithuania na Latvia).

Hitler hakufurahia kitendo cha mrusi kumzidi kete katika kumiliki mataifa haya ya Lebensraum. Aliamini angelisambaratisha vibaya Jeshi la damu (The red army), ndipo June 1 1941 ndipo Hitler aliamuru uvamizi wa nchi ya Urusi. Uingereza na Ufaransa wakatoa tamko la kupambana kumuangusha Hitler.
View attachment 443607
Hitler akipanga shambulio la kivita.

Aliingia kwenye handaki lake takatifu (FuhrerBunker) akapaza sauti kwa maofisa wote wa kijeshi na kusema "surrender is forbidden"_ "kujisalimisha ni mwiko". Mapambano ya WW2 yalianza, Majira ya michipuko (spring) ya 1942 Hitler alisuka mkakati wa kuteketeza wapinzani wake na aliamini ushindi utarudi kwake. Falsafa yake kuu ilikua "mwanaume hodari hapimwi kwa uwezo wake wa kujihami, bali makali yake katika kushambulia na kuteketeza". Hali ilikuwa tofauti sana baada ya mapigano kufikia Stalingrad (ngome kuu ya kivita ya Urusi), Marekani iliingia kwenye vita na ngome ya Urusi ikaimarika zaidi, Hitler alishindwa kushambulia na jeshi lake likaanza kujihami.

Kwa mara ya kwanza chozi lilimtoka Hitler baada ya kuona dalili za kupoteza ushindi. Wanamgambo wake na maafisa wa juu walimkosoa vikali hukusu kusalimu amri, upinzani dhidi ya Hitler ndani ya jeshi la Ujerumani ulizidi, hali ilikua tete Kipindi ambacho makamanda watiifu walianza kuweka silaha mezani na baadhi ya maafisa waandamizi wa jeshi la Ujerumani walitamani Hitler afariki/auwawe.

Mnamo tarehe 20 Nov 1942 Hitler akiwa katika kikao na viongozi wa juu wa kivita katika makao makuu yao ya Wofl's liar, afisa daraja la kwanza, Luten Kanali Stauffenberg aliandaa shambulizi la kumuangamiza Hitler. Alitega bomu ndani ya mkoba na kuuacha mkoba juu ya meza, saa 6:42 mchana bomu lililipuka. Maafisa wa4 wa Ujerumani walifariki, lakini Hilter aliponea chupuchupu na kutoka akiwa na majeraha madogo.

Alisikika akisema kwa dharau "nani tena haamini kuwa kuna nguvu maalumu ya Mungu inayonilinda". Baada ya shambulio hilo jeshi la Hitler liliendelea kudhoofika kwa kasi na Hitler kujiridhisha kua kamwe hakuna muujiza utakaomfanya ashinde vita.

View attachment 443608
Chumba cha mkutano ambapo Hitler alipona kuuwawa na Stauffenberg.

Jeshi la Urusi lilipenya zaidi kufikia ngome ya Ujerumani. Katika siku za mwisho kabisa za vita Hitler aliamua kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu Eve Braun. Siku chache baadae Hitler akiwa kwenye handaki maalumu aliagiza apunguziwe ulinzi, aliomba aletewe vidonge vya cyanide. Alivijaribu vidonge hivyo kupitia mbwa wake wa2, ambao wote walikufa.

Saa 3 asubuhi tarehe 2 May 1945, inasemekana Hitler alichukua vidonge 6 vya cyanide akavichanganya kwenye glass yake ya wine, yeye pamoja na mkewe wakanywa, kisha Hitler akafungua bastola yake ndogo, akapenyeza risasi kichwani kwake. Damu iliyomwagika kwenye sofa ilitunzwa kama ukumbusho. Mwili wa Hitler na mkewe ulichukuliwa hadi nje ya handaki na kuchomwa moto.
View attachment 443609
Keshowe, tarehe 3 May 1945, kiongozi wa ngazi ya kuu kabisa wa jeshi la wanamaji (navy) Generali Karl Domtz alivuta simu ya mezani na kupigia kituo cha redio cha Ujerumani na kutangaza rasmi kifo cha Hutler na mkewe Eva.
View attachment 443606
Wapiganaji wa Jeshi la damu bendera ya Urusi mjini Reichstag jijini Berlin.

UKWELI KUHUSU KIFO CHA HITLER

Kiongozi mkuu wa Urusi Josef Stalin aliomba ushahidi juu ya kifo cha Hitler, alisikika akisema "Isingekuwa rahisi kumuuwa Hitler wala Hitler kujiuwa_huyu yu'hai".

Taarifa za ushahidi wa Hitler na mkewe Eve kuwa hai zilianza kupenya. Habari za kushtusha zilisambaa kwamba dakika za mwisho wa mapigano Hitler na mkewe walitoroshwa kwenda kwenye pori zito huko Argentina. Mnamo tarehe 29 April 1945 kupitia tundu refu la siri lililokuwemo ndani ya handaki tukufu lilitumika kumpenyeza Hitler hadi baharini, ambapo U-boat [HASHTAG]#502[/HASHTAG] (underground boat nambari 501) lilikua likiwasubiri kuwasafirisha chini ya bahari hadi Argentina ambako walipokelewa na wageni wa Juan Peron (Raisi wa Argentina) pamoja na mkewe Evita. Ikumbukwe serikali ya Hitler ilidhamini uchaguzi uliomuweka madarakani Juan kuwa kiongozi wa mabavu wa Argentina.

Hitler, mkewe na binti yao waliishi maisha ya kifahari sana kwenye miji mbalimbali nchini Argentina hadi mwaka 1955, ambapo Eva na bintiye Ursula walimwacha Hitler na kuelekea Neuquen. Hitler alifariki kifo cha kawaida sana mfamo mwaka 1962.

USHAHIDI JUU YA KIFO CHA HITLER

●Mwaka 2010 kikosi cha Marekani cha kiinteligensia cha CIA kilitoa taarifa za siri ya juu (declassified information), andiko lenye kurasa 792 zikieleza uhalisia juu ya nadharia ya kifo cha Hitler na kubainisha kua kikosi maalumu cha Marekani kilisaini kumtorosha kwa siri Fuhrer Hitler mafichoni.

●Hakuna uthibitisho wowote wa mwili wa Hitler sehemu yoyote duniani baada ya WW2. Marshall Zhukov, kiongozi wa jeshi la Urusi alizungumza na waandishi wa habari na alinukuliwa akisema "We never identified the body of Hitler, I can say nothing about about his fate. He could have flown away from Germany at the last moment"__ "Hatukufanikiwa kuutambua mwili wa Hitler, siwezi kuzungumza chochote kuhusu mauti yake. Yawezekana alitoroka dakika za mwisho kabisa".

●Simulizi ilibadilika mwaka 1968, Warusi walipoamua kufukua kilichoaminika kuwa ni mabaki ya mwili wa Hitler yaliyochomwa moto. Walifanikiwa kupata fuvu lenye tundu la risasi, taya na meno ya Hitler. kwa muda mrefu serikali ya Urusi haikutaka kupeleleza mabaki hayo, hadi ilipofika 2009 ambapo serikali iliridhia uchunguzi ufanyike. Jopo la wataalamu wa mifupa, vinasaba na akiolojia likiongozwa na Bellanton walifanya uchunguzi wa mabaki hayo. Matokeo yaliuduwaza na kuustaajabisha ulimwengu. Hapakuwa na sampuli yoyote iliyoendana na DNA ya Hitler, fuvu lile liligundulika kua lilikua la mwanamke mrembo sana mwenye umri wa miaka 39-40. (Wala hakuwa Eva, mke wa Hitler).

Fuvu lilitokea wapi? Lilikuwa na nani? Kwanini Warusi walilihusisha na Hitler? Vyovyote vile, vipomo na majibu ya uchunguzi viliuwa porojo zote kuhusu kujiuwa kwa Hitler.

●Njia ya Panya ya Wanazi.
Viongozi wengi wa juu Nazi walioshiriki katika utawala wa damu wa Ujerumani walitoroka mafichoni baada ya WW2, kwa msaada wa mitandao ya siri ikiwemo Odessa (wa Ukraine), kanisa katoliki pamoja na Taasisi ya siri ya Marekani. Wamwaga damy mashuhuri kama Josef Mongele na Adolf Eichman walikimbilia katika nchi za kidikteka kama Chile na Argentina.

●Mnamo mwaka 2014 Simon Dunstan na Gerrard Williams waliandika kitabu kiitwacho Grey wolf: The escape of Adolf Hitler (Mbwa mwitu wa kijivu: Kutoroka kwa Adolf Hitler). Kitabu hiki kilibainisha kwa undani kuhusu kutoroka kwa Adolf Hitler na nadharia ya uwongo juu ya kifo cha Hitler. Kitabu hiki kilijumuisha wakazi wa Argentina waliotoa ushahidi wa kumuona Hitler akikatiza mitaa ya Argentina.

Maneno ya mwisho yaliyosikika kutoka kwa Hitler akiwa ndani ya Handaki, alisema " Naamini leo kwamba mwenendo wangu ni kwa mujibu wa mapenzi ya Muumba Mwenyezi Mungu"

ADOLF HITLER alikufa Spain mwaka 1978
 
Hii nadharia ya kufia Argentina, hili jabari la vita...ndo kwanza naiskia kwa kweli
Na hao wamarekani walikuwa na makubaliano nae gani mpaka wamtoroshe
 
ni kweli aise lijamaa lilifia argentina.........kilichowaponza ujeruman na japan walikua na maadui weng kuliko marafiki bila hvyo pengine leo hii dunia ingekuwa na historia tofauti kabisa tungekua na superpowers kama tatu hivi au nne na dunia ingekua salama sana maana BIG BROTHER asingekuwa msumbufu na mavita yake
Kama adolf angeshinda vita.dunia ingekuwa si sehemu salama kuliko sasa.maana japan nayo ingeshinda pia na china ingetawaliwa kimabavu na japan.pia america labda kingewaokoa ni umbali labda wajeruman na wajapani wangetumia nguvu nyingi kuattack marekan.au nayo pia ingeokolewa na mabomu yake ya nyuklia ambayo ndio ilikuwa nchi pekee iliyonayo wakat huo.
ukija kwetu huku africa kwa ubaguzi wa hitler,musolin,na emperor wa japan.tungechinjwa kama kuku.kusingekuwa na israel na pia waislam waarabu wangechinjwa maana jamaa walikuwa na chuki ya ngozi hadi imani.
kwa kifupi bora walikuwa na madui wengi kiasi yankurahisisha vita.vinginevyo dunia ingetapakaa damu
 
Back
Top Bottom