Mei Mosi ya mwakani tukiwa na Rais mwingine na akaja na sababu zake za kutoongeza mshahara,watumishi wa umma watapaswa kusubiri tena?

Sasa wewe unataka tu mishahara ipande. Ikipanda halafu haulipwi hio hela kuna haja gani..!

Embu kwanza tuboreshe miundombi u.
 
Leo unaniita mchawi,lakini kesho unaweza kuniita Nabii kumbe ni kanuni tu za Ulimwengu ndio nimezitumia.
Naomba huu unabii usitimie tafadhali kabla ya hiyo 2025! Maana utashangaa na yule Muha naye anaokota dodo chini ya mlimao! Kirahisi tu huku akiwa hajachaguliwa na wenye nchi! Si katiba inamruhusu!!!

Wakati mwingine ni bora tukaweka kipindi cha mpito cha siku 90! Badala ya huu utaratibu wa kumjaribu Mwenyezi Mungu.
 
Achana basi na hizi akili za kimagufuli ili na wewe uonekane upo kwenye karne ya 21! Kiufupi hakuna uhusiano kati ya kuongeza mishahara na suala la miundombinu!
Miundombinu bora. Inasaidia kukuza uchumi kwa kasi. Hivyo tukiwa na uchumi imara. Tunaweza kuongeza mishahara hata zaidi ya maradufu.!
 
Aongeze mshahara wakati hajui makusanyo halisi ya mwaka mzima ni kiasi gani au unawasikiliza wale wa BOT wanaosema kila siku tuna dollar za kutosha huku mafuta ya kupikia na sukari zikitutoa jasho swala la uongozi sio rahisi kama unavyodhania Mzee...
 
Miundombinu bora. Inasaidia kukuza uchumi kwa kasi. Hivyo tukiwa na uchumi imara. Tunaweza kuongeza mishahara hata zaidi ya maradufu.!
Mbona wakati wa kipindi cha JK, hiyo miundombinu ilijengwa, na wakati huo huo wafanyakazi walipata stahiki zao?

Acha kupandisha watu hasira kwa kukumbushia mambo ya kipuuzi yaliyo fanywa na magufuli. Ni wakati sasa wa kusahau yaliyopita. Please!!
 
Mbona wakati wa kipindi cha JK, hiyo miundombinu ilijengwa, na wakati huo huo wafanyakazi walipata stahiki zao?

Acha kupandisha watu hasira kwa kukumbushia mambo ya kipuuzi yaliyo fanywa na magufuli. Ni wakati sasa wa kusahau yaliyopita. Please!!
Mbona walikuwa wakilalamikia malimbikizo ya miezi kadhaa...? Ilikuwaje..?
 
Katiba haimlazimishi raisi kuongeza mishahara ya watumishi wa umma hivyo msisumbue mama muacheni afanye afanye kazi zake kwa Uhuru

Kama JPM alishindwa kuongeza mishahara kwa muda wa miaka 5 vipi mama aweze kuongeza kwa muda wa miezi 2
 
Sasa hayo siyo majibu ya mtu muungwana. Unachafua hewa kabla ya kutoa hoja. Soma vizuri mada za huyu jamaa. Kuna mengi ameandika yametokea baadaye. Hata Lema walimfunga lakini ndicho kilichotokea. Mungu katupa maono tofauti hivyo ni kosa kupuza maono ya wengine. Wewe kama huamini soma na upite zako lakini kumkashifu mtu si ungwana
Hiyo mimba uliyodungwa huko chato itakutoa roho.

Mama Samia alikuwa makamu wa rais wa Magufuli ,hivi haujui kazi za makamu wa rais?
 
Hiyo mimba uliyodungwa huko chato itakutoa roho.

Mama Samia alikuwa makamu wa rais wa Magufuli ,hivi haujui kazi za makamu wa rais?
Wewe choko unalindwa kuharibu mijadala kwa comment yako hii unayoirudia kila mahali. Hivi nyie mods mna manufaa gani na huyu shoga Kinuju anayevuruga mijadala kwa kuchomekea hii comment yake hii hii kila kwenye mjada?
 
SAHIHISHO: Yule ni Mhutu.
 
Mimi nadhani tusimzungumzie rais kama rais binafsi tuzungumzie mfumo mzima hasa wa chama! Chama kilichopo madarakani si ni kilekile? Je, kinaweza kujitenga na ahadi za rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala? Unajua tunawapa unafuu CCM kwa kuwaacha katika hili la mishahara! Na wao wametulia tuli kama hawapo vile kw sababu wanajua hili ni gumu! Je, ahadi za hiki chama kwa wananchi hazina mwendelezo? Chama kinatuchezea akili kwa kutaka tuamini kwamba tunaanza upya na rais mpya wakati chama ni kile kile!

Tukibane chama kwenye hili! Kwa nini wanatoa ahadi za uongo kwa wafanyakazi? Ccm wasijifanye haliwahusu hili. Ni miaka sita sasa mnapiga porojo kwenye hili!
 
Kwani wewe unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…