Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Leo unaniita mchawi,lakini kesho unaweza kuniita Nabii kumbe ni kanuni tu za Ulimwengu ndio nimezitumia.Salary slip endelea tu, ukiongeza juhudi kidogo utahitimu kuwa mchawi kamili
Au nyie ndio mnamuhujumu kwa kumshauri vibaya?Bavicha si mlisema matatizo yote kaondoka nayo Magufuli?
Hivi vilio vinatoka wapi tena?
Duh....!. Hii ni kama ile ramli chonganishi!. Tuchunge sana kauli zetu, kauli nyingine huumba hadi vifo!.Kama ambavyo leo hii Magufuli hayupo, nani ana uhakika mwakani Mama Samia atakuwepo au yeye mwenyewe atakuwepo?
Ukweli ni kwamba, anaweza asiwepo Mama Samia na hata makamu wake
Hakuna jipya nililoongea hapa lisiloelewaka/iisilowezekana kutokea zaidi tu ya ukweli kwamba binadamu tumeumbwa kusahau.Duh....!. Hii ni kama ile ramli chonganishi!. Tuchunge sana kauli zetu, kauli nyingine huumba hadi vifo!.
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Wanabodi, Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo...www.jamiiforums.com
P
Yes hakuna jipya ulilosema, ila hata ile kuwaza tuu kuwa kuna uwezekano aliyeahidi asiwepo, na ukaenda mbali zaidi hata kwa makamu wake, then huko kuwaza na kuandika ni tayari umetoa kauli!.Hakuna jipya nililoongea hapa lisiloelewaka/iisilowezekana kutokea zaidi tu ya ukweli kwamba binadamu tumeumbwa kusahau.
Sasa kauli kama hizi ni ramli ...zinaweza kutuumbia majanga tena, please!.Wanabodi,
Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negatives kuwa positives.
Tupendane, tuombeane mema hata maadui zetu, tuwaombee mema hivyo kutengeneza positive karma effects.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Wasalaam.
Paskali