Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

Mh. rais akihutubia kuutambua mchango wa sekta binafsi, anasema iliajiri wafanyakazi zaidi ya milioni mbili, huku mpaka kufika sasa ndani ya utawala wake sekta binafsi zimeongeza ajira zaidi ya laki5..... najiuliza, wale wafanyakazi wa migodini waliotimuliwa huko ACACIA na kwingineko enzi za makinikia, wafanyakazi waliopunguzwa NSSF, BAKHRESA GROUP, kiwanda cha MO cha mafuta ghafi kilichofungwa n.k hawa wafanyakazi wanapungua au wanaongezeka????? Hizi data anazotoa mheshimiwa sidhani kama zinaendana na hali halisi mtaani.
Nimeshangaaaaaaaaaa!!!!
 
Kuishi kote Tz Bado hujamwelewa JIWE????
 
Waajiri tunawataka wafanyakazi kutekeleza kazi wa uadilifu ns bidii na kujiepusha na rushwa. Tunalojukumu la kushirikiana na serikali ili kuleta maandamano.
Safi sana hii, nimeipenda ila inaudhi sana pale serikali inapotumia nguvu nyingi kuyazuia badala ya kuwalinda waandamanaji.
 
Mh. rais akihutubia kuutambua mchango wa sekta binafsi, anasema iliajiri wafanyakazi zaidi ya milioni mbili, huku mpaka kufika sasa ndani ya utawala wake sekta binafsi zimeongeza ajira zaidi ya laki5..... najiuliza, wale wafanyakazi wa migodini waliotimuliwa huko ACACIA na kwingineko enzi za makinikia, wafanyakazi waliopunguzwa NSSF, BAKHRESA GROUP, kiwanda cha MO cha mafuta ghafi kilichofungwa n.k hawa wafanyakazi wanapungua au wanaongezeka????? Hizi data anazotoa mheshimiwa sidhani kama zinaendana na hali halisi mtaani.
Unashindwaje kumuelewa malaika?
 
Msigwa naye utafikiri mgeni nchi hii, mbona hili la kawaida tu kwa ccm? Misiba inageuzwa ya ccm, sherehe za Uhuru zinageuzwa za chama, Ziara za kiserikali zinageuzwa za chama??? Bado Msigwa anashangaa!!
 
Yani nasikiliza speech ya huyu jamaa. Eti vieanda 3,000 yani kama ni kweli hata china tumeizidi kwa viwanda.

Rais anaongelea viwanda na bara bara.
Kasema hataki kuajiri watu. Atajenga uwanja wa ndege. Stigla goji .
Ila wafanyakazi hataajiri.

Hivi huyu msukuma alipataje urais?
 
hahahahahaha nimecheka sana, kwamba mkubwa anatuaminisha vyeti feki walikuwa nafasi za juu tena wenye mishahara minono

sio waalimu, ma nesi, wahudumu na kada kama izo. porojo porojo
 
......ngoja kwanza Mzee afanye miundombinu iwe sawa, mambo yakishatulia mishahara itakuwa mizuri tu.
 
Back
Top Bottom