Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,515
Sio kuongea, sema kutema "BOKO" a.k.a kutema "UPUPU"jiwe limeshaanza kuongea?
Wewe umejibu hoja gani hapo?Quantify your opinion...
Mwaka jana walipita kwa muda gani...na mwaka huu wamepita kwa muda gani?
Kipindi cha Nyerere walipita kwa muda gani?
Haraka haraka ni dakika au muda kiasi gani?
Hao si walimu serikali imewachukua wahuni tu kitaani na kuwavisha nguo za c.w.t na kuwapa mabango hayoAise3ee mpka natetemeka kweli ndio walimu hao
Wastaafu wengi wanalia hawajalipwa mafao yao, mifuko ya hifadhi haina hela, serikali imekopa/imechukua zote.kwahiyo na shirikisho limeingia chaka hapa?
Unaposema nisikimbilie kukujibu kwa...au kwa...maana yake unanitisha sasa! unanitishia.... unanitishi nini mkuu, kunifata na Noah? kwamba umesoma sana kuliko wengine? au kwamba unanipangia cha kuandika hapa JamiiForums?Nimejibu ' Hoja ' yako hasa juu ya kile ulichokiuliza na narudia tena kusema kwamba hicho ulichokiuliza hasa yale ' Mabango ' kupitishwa haraka kama ulivyosema ungekuwa angalau tu umepata hata a, b. c's za mambo ya ' Itifaki ' ya Rais wala usingepata nalo tabu hivi. Siku zingine usiwe unakimbilia kunijibu kwa hasira au kunikasirikia bali jaribu tu kuchukuwa na kujifunza yale ambayo kidogo nami najitahidi ' Kushea ' nawe kuhusiana na ' issues ' mbalimbali. Hayo ' Mafumbo ' yako ya Uswahili wako sijui ya Siafu mara nini hayanihusu sana ila ni imani yangu kuna kitu umejifunza juu ya niliyokuambia. Rais hajiongozi Yeye bali anongozwa na ' Itifaki ' ambayo inajumuisha mambo mengi sana ya msingi ikiwemo kuanzia Ratiba zake, Utaratibu mzima wa Siku na Tukio lililopo lakini kubwa suala zima la Usalama huwa linachukua nafasi kubwa sana. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kuweni wavumlivu watz mambo mbona yapo poa leo lazima mfurahi ndugu zangu.daah mzee hana jipya