Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
kaitisha Press Conference na waandishi wa habari
tutarajie uteuzi wa Waziri Miundombinu
Mkuu wa nchi kaitisha Press Conference na waandishi wa habari ghafla na itakuwa saa 7 unusu mchana wa le kwa mida ya Tanzania. Nini tutarajie? Ajenda bado kitendawili
kuelezea MAFANIKIO NA MATATIZO YA MUUNGANO,kwani hamjui leo ni MUUNGANO DAY.
kama kumteua waziri mpya wa miundombinu,i guess atakuwa ENGINEER fulani.
Si angesubiri tu Mei Mosi, ndio akaungurume kule kwa wafanyakazi wa taifa, sasa eti yuko busy hawezi hudhuria huko lakini sasa hivi atajimwaga majuu kujitambulisha!
Sana sana ataongelea juu ya vijisent jingine sijui ni lipi