Meeting with Mr. President

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Mkuu wa nchi kaitisha Press Conference na waandishi wa habari ghafla na itakuwa saa 7 unusu mchana wa le kwa mida ya Tanzania. Nini tutarajie? Ajenda bado kitendawili
 
Zimbabwe issue lazima ipo, Mafisadi wake nao wamo.
 
Si angesubiri tu Mei Mosi, ndio akaungurume kule kwa wafanyakazi wa taifa, sasa eti yuko busy hawezi hudhuria huko lakini sasa hivi atajimwaga majuu kujitambulisha!
 
Thanx invisible...
We'll keep our ears & eyes open!!!
bravo....
 
ningemshauri akae kimya tu,na amtumie yule rweyemamu kuelezea anachotaka kutuchekesha,au ndio anataka kuunda kamati ya kuchunguza vijicent
 
Auambie ni kiasi gani cha pesa za walipa kodi kinatumika per day kule COMORO

maana African Union hawajatoa hata senti tano kwa ajili ya ile operesheni

Dont hold your breath, there's nothing "new" about JK and this government. Just the same old bunch of chancers and yes-men, albeit with a different 'crook' at the helm.


You can wrap a bag of rubbish up in ribbon and sprinkle it with glitter, but it's still a bag of rubbish!

Serikali haina ajenda yoyote sasa hivi zaidi ya UFISADI LEFT AND RIGHT...ile ilani yao ya uchaguzi wameitupa kapuni na wameamua kuwasahau kuwaendeleza wananchi kule vijijini

In short naweza kusema kuwa JK looks distinctly uncomfortable in his new role as Prime Minister. I have very serious reservations about his suitability for the job.Na kadri siku zinavyozidi kwenda anaonyesha jinsi gani alivyo kuwa OUT OF TOUCH na REALITY ZINAZOWAKUMBA WA tanzania ambao hawajui the point ya kuwa na serikali ambayo mawaziri wake wana account za PAUNDI MILIONI 15 huko JERSEY
 
Mkuu wa nchi kaitisha Press Conference na waandishi wa habari ghafla na itakuwa saa 7 unusu mchana wa le kwa mida ya Tanzania. Nini tutarajie? Ajenda bado kitendawili


kuelezea MAFANIKIO NA MATATIZO YA MUUNGANO,kwani hamjui leo ni MUUNGANO DAY.

kama kumteua waziri mpya wa miundombinu,i guess atakuwa ENGINEER fulani.
 
Usanii mtupu utakaongelewa pale ila laiti tungalikuwa na waandishi wa habari makini wangelimkunguta maswali ya maana hasa vijana wangu wa BBC,DW,CNN.
Anyway lets wait ingawa najua hakuna jipya zadi ya kututonesha kidonda cha ufisadi.
 
Si angesubiri tu Mei Mosi, ndio akaungurume kule kwa wafanyakazi wa taifa, sasa eti yuko busy hawezi hudhuria huko lakini sasa hivi atajimwaga majuu kujitambulisha!

Sawa na ile scenario ya Zimbabwe ati wakoloni vibaraka, sisi sio koloni etc. with a lot of crap on it ...... lakini kila uchwao wanaficha pesa zao ulaya na safari za nguvu kwenye shopping.

Kwani hizo pesa wanazoweka huko wizi wao unajulikana lakini wakianza kuulizwa ohhh vibaraka. I can gurantee you wale watemi waliouza wenzao utumwa kwa sukari hawana tofauti na hawa wezi uchwara. Alafu hebu angalia suti zao wanazovalia kifuani! LOL.
 
Back
Top Bottom