Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

Najua umepanic bro afu wabongo sijui hua tukoje ila sikulaum wew nailaum familia ilokulea badal ujadir tatzo unafatilia ujinga huo si ulimbukeni
 
Unajua watu tunashngaza kitu kimoja kwanin usijitokeze ukasema nin unachojua ili hata mwenzio apate taswira ya nn kinaendea kuliko kukaa na kuanza jadir mtu na kuona anachokisema si kitu hayo majibu ulionayo wew yako wapi km wew unaona javikusaidii jenga hoja pia msaidie mwingine
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
wadau napenda kuuliza mimi nimeambiwa nilipie %25 ya mkopo ndipo nipewe nakiangalia mwaka 2011 sikutumiaka huo mkopo sasa nifanyaje[/QUOTE
ni hivi kaka huenda ulisaini boom then hukupew au ukaacha chuo hivyo sometym vyuo hutumia pesa yk nii ibox no yako nikuelekeze namna ya kufanya
 
me nawaombea Mungu tuu washkaji zangu, nawaambua HIV kwa sababu nimepitia changamoto nying mno lakn kwa Baraka zake mambo yamekua swafi kila kona I appreciate that na sasa ni kumalizia mzuka wangu kule haki yangu napo amini iliibiwa na walimweng. eeeh Mungu nisaidie
 
Japo kukata tamaa ni dhambi, ngoja binafsi niishie hapa. Loan officer wangu kazi yake ni kunitwanga tarehe za matumaini mara kesho, rudi saa nane n.k. Mungu nibariki mimi lkn pia wabariki wenye authority kwa sasa...
 
balaa
icon9.png
 
Back
Top Bottom