fieldmashal
Member
- Nov 22, 2015
- 78
- 3
- Thread starter
- #21
wale wa udom nackia tayar majina 35 ivo cjui km ndo yametosha au wanaendelea
Yanapatikana wap hayo majina ya udom na ukumbuke udom ni pana je hayo majina niyacoed au wap taarifa please
wale wa udom nackia tayar majina 35 ivo cjui km ndo yametosha au wanaendelea
Majibu ambayo yanatolewa na Heslb ni kwamba wao wanapokea majina kutoka TCU kwa wanafunzi walochaguliwa vyuo na kuwafanyia allocation ya mkopo. Kwa contineous student ndio tumeomba mkopo lakin hatuna admission kweny system na wao hawawez tambua kua wew ni contineous unaonekana ndio uliomba mkopo lakin hukupata chuo so wameshindwa kufanyia allocation kwa ajiri ya mkopo. Majibu niliopewa inabidi uende chuoni kwenu hasa kwa undergeaduate director akupe barua au awatumie barua inayoonesha wew ni contineous kama wanaweza wakupe mkopo.
Yanapatikana wap hayo majina ya udom na ukumbuke udom ni pana je hayo majina niyacoed au wap taarifa please
So what should we do?
Read as Continuing students not continues
ngoja magufuli atawatumbua majipu walionayo sio mda mrefu wameshafanya ela za walpakodi kua nizao kwa kuleta kejeri na nyege za nguruwe kwa kutujibu kwa matako yao walootea ofisin kwa kula rushwa
Sikatai hoja yako unachokisema wewe ni sawa pia ni sahihi upande mwingine kabisa lakini majibu ndo hayo yanayotolewa na mimi ni muhanga wa tatizo hilo na niko mwaka wa pili. Shida hapa tujaribu fikiri hebu imagin mmoja kati ya uliombo mkopo akawa hayuko chuoni au akawa tu amekosa sifa za kuendelea na masomo(kadisco) kwa lugha ya kawaida afu aliomba mkopo na loan wakawa wamemdanyia allocation kwa kujua ni contineous. Hilo ndilo wanahofia ndo maana wanahitaji taarifa zako sahihi kutoka kwa ubdergraduate director ili wajue upo chuoni. Unapofika kwa undergraduate director anakuambia ufate matokeo yako kwa dean wa scul yako agonge muhuli then upeleke hapo ndipo taarifa zako zinakua sahihi na heslb wanaweza kukufanyia allocation ndo utaratibu huo niliopewa.
So what should we do?
HAWA BOARD KIUKWELI WANAKERAAAA SANA.. KAMA MWESHIMIWA JPM KAJIZATITI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU wapate mikopo... Shidaaa ipooo kwaa hawa wazandiki wa heslb.... hizo pesaaa heslb sio as baba zenu bali ni jasho la Mtanzania...It is better to meet here and discuss what to do with this matter remember the rich man's fate does not stink, you never know the tragedy till you have tried no one knows your safferings rather than you the victim!
HAWA BOARD KIUKWELI WANAKERAAAA SANA.. KAMA MWESHIMIWA JPM KAJIZATITI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU wapate mikopo... Shidaaa ipooo kwaa hawa wazandiki wa heslb.... hizo pesaaa heslb sio as baba zenu bali ni jasho la Mtanzania...Mwenye information kuhusu continues walioomba mkopo coz mpaka sasa kimya Sijui kama wametusahau au la, loan officer mpaka sasa hajapata majina.