Meet The Ujas.....

Meet The Ujas.....

Kimtazamo inaelekea waTz wengi wanaogopa au kuheshimu wanasheria sana kwa Uanasheria wao!! hao wanaweza kuolewa na hata mpiga debe na bado wakakubali mziki tu.
 
sheria zao wapeleke huko kwao na sio kwenye ndoa
 
Kupitisha hukumu ya kunyongwa sio kazi, kazi ni kuninyonga maana shingo imekomaa kama mota ya mashine ya miwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unabahati sijasoma ningesoma ungenyongwa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupitisha hukumu ya kunyongwa sio kazi, kazi ni kuninyonga maana shingo imekomaa kama mota ya mashine ya miwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii yani wewe
Basi ya kukatwa kichwa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom