meet the real beauty!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
3.jpg
 
ahsante sana mie hawa nawakubali hapo tu in nature
hata mie gf wangu yupo kama huyo
Conquest-realy black is bt
 
ahsante sana mie hawa nawakubali hapo tu in nature
hata mie gf wangu yupo kama huyo
Conquest-realy black is bt
safi sana unajua kuchagua vitu vizuri,sio wengine wanakimbilia mkorogo na nywele za bandia!
 
Dada Cheusimangala..huyu Binti ni mrembo wa haja na wa asilia kweli kweli..
lakini hizo bangiri naona zinzmuharibu mkono sijui ni uzito?
Vijana wa kileo wanavyopenda wadada atifisho wakikutana na huyo hata hawageuki:rolleyez:
 
BLACK IS BEAUTY my brotha's and Sita's.... and that photo is proof enough...
 
Dada Cheusimangala..huyu Binti ni mrembo wa haja na wa asilia kweli kweli..
lakini hizo bangiri naona zinzmuharibu mkono sijui ni uzito?
Vijana wa kileo wanavyopenda wadada atifisho wakikutana na huyo hata hawageuki:rolleyez:

Yapo baadhi ya Makabila wanawake bado wapo "proud" na vile walivyo kwa asili ya uumbwaji na mazingira yao. Hizo funguo mama ndo staili ya huko..hakuna bangili zile zinazobabua mikono..

Nadhani kama hii vita ya wanaharakati ya kupinga mila potfou ya uondoaji wa uasilia wa mwanamke ikiwemo "ile kitu inaleta radha katika tendo la ndoa (FGM)" ikifanikiwa na kueleweka vyema kwa baadhi ya makabila ambayo bado yana wanawake wanaothamini sura zao za asili, itakuwa jambo jema kwani hizi sura nyingine za "kichina" zinazong'arishwa kwa brashi kila dakika kupitia malaika wa sura (angel face) kukwepa jasho zinaweza kupoteza kabisa umaarufu kabisa.

masai-girl.jpg masaigirl-m.jpg young_masai_girl3.jpg MasaiGirl3.jpg

alek.jpg

kenya_children0.jpg
 
...Lazima radha zitatofautiana jamani.....Humu nako kuna raha zake ati. Hayo ma-style yule mmasai anaweza kukimbia kiwanja akavuruga mechi......Kila shetani na mbuyu wake!!

Kama mtu umezoea kuku wa kisasa wa kienyeji huwezi.
 
...Lazima radha zitatofautiana jamani.....Humu nako kuna raha zake ati. Hayo ma-style yule mmasai anaweza kukimbia kiwanja akavuruga mechi......Kila shetani na mbuyu wake!!

Hivi hapa si tunaongelea urembo wa asili bwana sajent....huyu kwenye urembo wa asilia hayupo... Ray C atifisho zimejaa
 
hawa mazee ukimchukua mara ya kwanza inabidi kumlia timing kwanza taratibu.......maana usishange unazáma chumvini akakukaba kumbe hajui kuendewa chumvini......!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom