Meet Apple M1 Ultra

Meet Apple M1 Ultra

Mkuu nimetoa link ya 1.6-1.7m mjini kisutu lenovo, ipo juu hapo.

Kuna maduka kibao mjini nimewahi zunguka around 1.3m mpaka 1.5m i5 unapata.

Issue nyie mnataka kuforce maduka fulani.

Nyengine hii hapa Capricon duka kubwa tu mjini 1.3 mpaka 1.4m

Hizi ni refurb siyo mpya . Unakuta ipo kwenye box na warranty Unaweza pewa ila ni refurb acha ubishi
 
Pc nayoweza linganisha na MacBook kwa quality labda hizi specter na pc za mtindo huo ambazo bei yake ni kubwa sana . Otherwise Kama mnaongelea processor tu Kwa maana ya core i5 na 7 zipo cheaper than Mac lakini quality ndogo sana , charge haikai portability majanga maana ni zile pc za plastic na kioo tft. Sasa usichukue laptop kama hii ukaiweka group moja na mac ni mbingu na ardhi .

Apple wako very serious kwenye product zao yan hata vitu kama speaker wanatengeneza sound ya maana sasa ndo uje ulinganishe na dell Inspiron kisa tu ina core i7 ???
 
nimetoa link ya amazon hio ideapad inauzwa dola $430, mnataka muuziwe kiasi gani hapa Tanzania? kwa muono wangu hio 1.7m bado ni expensive nyie muonaona haiwezekani kuwa mpya?

na Capricon ni duka kubwa linaloheshimika kama ni refurb watasema refurb kama ni mpya watasema mpya.

pia mkuu refurb ni bidhaa za zamani, gen ya 10 na 11 refurb ni chache mno hasa kwa laptop kutokana watu hawabadili mara kwa mara.

hizo hapo kibao gen ya 10 as cheap as 1.4m

na hizi gen ya 11 as cheap as 1.48m
 
thats the beauty of pc, unachagua unachotaka, mimi binafsi i dont care muonekano wa laptop, perfomance ni priority, hivyo display ikiwa 720p kwangu ni sawa natumia Monitor nzuri tu, umbo laplastic i dont care etc.

na premium za windows pia unazipata kama $100 ama $200 cheaper than Macbook Air, kama vile Zenbook 14 ni $694 sasa hv Amazon with ryzen 5 na mx 450, na ukiongeza kidogo zenbook 13 unapata dola 800 ambayo display yake ni oled, envy x360, galaxy book, lg ultra,acer swift etc zote unapata chini ya $800 with gen ya 11 ama ryzen 5.
 
Mkuu itachukua muda kuelewa haya mambo yanavyoenda. Kununua kitu Bei ndogo haimaanishi umechagua unachotaka, ni price range tu umepewa unachagua accordingly , kuchagua unachotaka maana yake uende kiwandani u customize pc yako hapo ndo umechagua unachotaka, otherwise Sema umechagua kulingana na mfuko wako na product zilizopo.

Apple walishasema hawatotengeneza inferior products kwa hiyo wamechagua premium products, bidhaa zenye calibration za kutosha kumfaa mtumiaji. Hizo pc unazozisema kwamba ni Cheap ni cheap kweli interms of everything. Usishangae macho yanauma Kwa kukaa kwenye hizo pc muda mrefu , distorted speakers na mambo mengine mengi. Hizi ni pc manufacturer anakusanya vitu huku na huko anaunda pc anapeleka sokoni . Products ya namna hii usitegemee ikawa na viwango mkuu hamna anayetaka kupata hasara.
 
Mkuu Apple wanatumia Mini led ambazo zina suffer Bleeding light and will never reach quality of Oled, wao pia wanachakachua, at same time Laptop kama zenbook hapo juu unapata quality oled display na almost same perfomance.
 
So far, intel is playing a catch up game.
Kama kawaida Isheep mkadanganywa na Apple kwamba Apple M1ultra ni bora kuliko Intel mkajaa, hamtaki hata kutafiti kujiridhisha.

Apple chochote anachowawekea nyie hilo ni neno la bwana limejaa ukweli mtupu.

Angalieni hapa analysis inayoonyesha kua isheep mmepigwa.
 
Mnapoleta hizi link muwe mnazipitia, hawa the verge wamekubali M1 ni next level na hapa nimeweka screenshot zao zisome Kwa umakini. Zipitie Kwa umakini utaona jinsi gani amei praise M1 ultra kama ni breakthrough hasa ukizingatia size na form factor na power pia . Imagine hapo anailinganisha na dude kubwa in size lakini kuna baadhi ya maeneo M1 anashinda . Hizo hapo screenshot soma mwenyewe

IMG_1196.jpg

IMG_1195.jpg

IMG_1194.jpg

Hapo anasema “3090 is nearly the size of an entire mac studio” Hii ilitakiwa kukupa picha how powerful M1 is .
 
View attachment 2155018
View attachment 2155019
View attachment 2155020
Hapo anasema “3090 is nearly the size of an entire mac studio” Hii ilitakiwa kukupa picha how powerful M1 is .
Hata Nokia Ya Tochi inaipita rtx 3090 linapokuja suala la power consumption, logic hapo ni kwamba Apple wamedanganya kwenye uzinduzi wao, na fans wengi wa Apple hamfanyi research.

Link nilioweka Juu ni ya Arstecnica ni rtx 3070, na M1 ultra imeshindwa kufikia level za Rtx 3070, sembuse 3080 na 3090.
 
Nokia tochi inatumia power ndogo kufanya nini ? Hili ndiyo swali la msingi . Siyo tu kufanya comparison lazima kuwe na rationale behind otherwise maana nzima inakuwa haina maana
 
As i said above mkuu, Ni claim Ya Apple mwenyewe mkuu na wala sio mimi kwamba m1 ultra Gpu yake ni fastest in the world wakatoa hadi na graph hili.
m1-ultra-performance-chart.jpg

So vyombo vya Habari vina discredit tu hio claim.

Na hapo unaona power consumption ni kubwa sana sababu ni against Rtx 3090 ambayo ipo league yale kipekee, wait review mbalimbali zitoke against rtx 3060, 3070, 3080 etc.

Pia hizo result zina originate Theverge ambao ni pro Apple, wait kina linus, Hardwareunboxed, computerbase na wengineo ambao ni hardcore users wanaodeal sana na hizi hardware wafanye test zao nao.
 
Hiyo graph iko clear kabisa kwamba ni performance vs power mbona inaonekana hapo clear. Apple wako sahihi Kwa kile wanachoki market na ndo maana wameandika hapo performance vs power .
Alafu kila mtu anayeleta review kuonesha Apple wako vizuri unawaita Apple pro , mwisho dunia nzima itakuwa Apple pro sasa yan hao the verge ni Apple pro ???

Review zikija real life experience mtajionea wenyewe , na mnajua Apple ni mabingwa wa software na hardware integration na hapa hawana mpinzani

Kwa combination ya factors zote M1 ultra iko juu. All factors considered
 
Unajua kusoma mkuu? Hilo vertical graph ni perfomance ama ni power? Horizontal ndio inaongelea power usage na vertical ni actual perfomance, hilo graph linaclaim ina perfomance kubwa na sio perfomance per watt. Kupata perfomance per watt ndio unagawanya value za Vertical na horizontal.

Na website zote za fans wa Apple wanaclaim kuna mislead ila wewe unajua zaidi

nimetoa link ya amazon hio ideapad inauzwa dola $430, mnataka muuziwe kiasi gani hapa Tanzania? kwa muono wangu hio 1.7m bado ni expensive nyie muonaona haiwezekani kuwa mpya?

na Capricon ni duka kubwa linaloheshimika kama ni refurb watasema refurb kama ni mpya watasema mpya.

pia mkuu refurb ni bidhaa za zamani, gen ya 10 na 11 refurb ni chache mno hasa kwa laptop kutokana watu hawabadili mara kwa mara.

hizo hapo kibao gen ya 10 as cheap as 1.4m

na hizi gen ya 11 as cheap as 1.48m
Hizo pc ndo za kushindana na chip za M1?
 
Bei ninazoongelea nyingi ni za maduka ya mjini.

Dell & hp brand new hupati kwa chini ya 2M kwa core i5 & i7.

Hata wale authorized dealers kama reddot, hawakupi bei ya chini ya 2M.
HP envy 360
13inch
i5 11th gen
8GB ram
512GB SSD
Win 10

1.7mil dubai
 
Unajua kusoma mkuu? Hilo vertical graph ni perfomance ama ni power? Horizontal ndio inaongelea power usage na vertical ni actual perfomance, hilo graph linaclaim ina perfomance kubwa na sio perfomance per watt. Kupata perfomance per watt ndio unagawanya value za Vertical na horizontal.

Na website zote za fans wa Apple wanaclaim kuna mislead ila wewe unajua zaidi

Kwani mimi siwezi kujua zaidi yao ? Una uhakika gani kwamba sijui zaidi yao mkuu ? Ungeangalia keynote ungeelewa jamaa . Angalia keynote verge wenyewe wamekubali suala la performance vs power na wamekuelezea vizuri na angalizo wameweka. Fuata link ya hapo juu ya jamaa aloyoweka ya verge utaelewa. Wameiweka vizuri sana kuna sehem anaongelea speed ya Lamborghini soma hapo ule mfano kamaliza kila kitu
 
Hizo pc ndo za kushindana na chip za M1
Hio ni latest gen ya intel mkuu. Its the best sokoni kwa intel ultrabook low powered series unless unasubiria gen ya 12 yaani alderlake.

Gen ya 11 vs M1 ni mixed review, kama unataka ambayo inaipita M1 subiria gen ya 12.
 
Kwani mimi siwezi kujua zaidi yao ? Una uhakika gani kwamba sijui zaidi yao mkuu ? Ungeangalia keynote ungeelewa jamaa . Angalia keynote verge wenyewe wamekubali suala la performance vs power na wamekuelezea vizuri na angalizo wameweka. Fuata link ya hapo juu ya jamaa aloyoweka ya verge utaelewa. Wameiweka vizuri sana kuna sehem anaongelea speed ya Lamborghini soma hapo ule mfano kamaliza kila kitu
Hakuna anaekataa suala la power mkuu, ila Apple wamezungumzia raw perfomance, link nimekuekea na graph nimekuwekea zamu yako na wewe leta ushahidi Apple hawakuzungumzia perfomance bali walizungumzia watts.
 
Back
Top Bottom