Meet Apple M1 Ultra

Meet Apple M1 Ultra

Ila mkuu intel na Tsmc wanahesabu tofauti sababu ya intel inaitwa 10nm na Tsmc ni 7nm haimaanishi ya tsmc ni superior. 10nm ya intel ni superior kidogo kwa 7nm ya TSMC na na 5nm ya TSMC ndio imepita 10nm ya Intel. Hivyo 7nm ya Intel inaweza kuwa on par with 5nm ama hata 3nm ya Tsmc.

Hii size ya transistor na node density
tsmc-density-with-7nm.png

Source hapa

Na hata Hio 7nm na 5nm ya Tsmc bado intel ameonesha uwezo wa process yake ku scale.

Mpaka sasa M1 ya Apple na Ryzen za Amd hazina uwezo wa kuscale vizuri na power, tutumie graph la juu

31.png

Hapo i7 12700H katika 35W imeanza vizuri na ryzen 5900H wote wapo Around 10k mpaka 12k kwenye cinebench score, the more zinavyotumia umeme zaidi unaona zinavyoachana ukifika 75W hapo tayari Intel amefika zaidi ya 16000 na Amd yupo chini ya 14,000 na Amd kaishia hapo, Intel anaendelea zaidi hadi karibia watts 100 na score karibia 20,000.

Hivyo hio process node si cha mtoto mkuu, na cpu za Alderlake zinakuja na power level configuration kwenye Bios means kilaptop chako cha bei rahisi siku una mishe mishe unaset power level 1 inakula umeme mdogo na perfomance ya kawaida siku upo na kazi ya maana unaseti power level 2 inakula umeme zaidi na perfomance kubwa.
Sawa mkuu maana haya mambo siko deep sana kwenye kuyajua.
Ila nikizurura huko mtandaoni kwenye magadget reviewers naona almost wote wanaisifia M chips.
Mkbh anakwambia anakuja replace mic mini pro na zile alizonazo hapo studio.
Japokuwa alikili kuwa sifa alizotoa apple na kwakutumia benchmark zake so anasubiri kufanya testing na matokeo ya external sources.
 
Mkbh ni pro Apple, na kazi zake M1 inamfaa. Kwenye Kazi ambazo Apple wenyewe wame optimize M1 ni nzuri.

Ila kuna mambo mengi tu M1 sio ideal mfano kwenye gaming inapitwa mpaka na vi Laptop chini ya dola 1000.
 
Kwenye windows unatumia dedicated Gpu, sababu M1 ultra ina dual gpu compare it na Rtx 3090 mbili. Rtx moja ina uwezo wa kudrive monitor 4 za 4k pia.

Mkuu M1 ni Arm architecture ni same cpu kama inayotumika kwenye iphone ambayo Apple anatengeneza zaidi ya miaka 10 sasa. Alichofanya ni kuanza tu kuitumia kwenye Computer thats why inakula umeme mdogo.

Na sababu ni cpu ya simu ina limitation kibao ikiwemo uwezo wa ku upgrade. Kila kitu kwenye vifaa vya M1 kimeungwa humo humo kama simu.

Na haina Tishio lolote kwa Intel sababu Apple ana Ecosystem yake na Intel ana yake pia,

Angalia marketshare hapa

Mwaka juzi mwishoni 2020 wakati M1 inatoka Apple alikuwa na 8.7% Marketshare na mwaka Jana mwishoni Marketshare ya Mac imeshuka hadi 7%, ina maana Vendor wengine kama HP na Dell mauzo yao yanakua Zaidi kuliko Apple kwa lugha Nyengine Intel na Amd zimefanya Vizuri zaidi kwa kipindi hicho ma M1 imefeli kuteka Soko.

Hio M1 ultra ikiwa na hio 64 ni kama $5000 hivi wangapi wapo tayari kutoa hio Hela?
I think it's all about power and efficiency.

Hata hapo kabla, apple alikuwa anatumia chip toka intel na bado device zake zilikuwa expensive.

Suala la bei liwekwe pembeni.

And am sure high end pc zenye high end chip za intel bei yake inaanzia $2000.
 
Mkbh ni pro Apple, na kazi zake M1 inamfaa. Kwenye Kazi ambazo Apple wenyewe wame optimize M1 ni nzuri.

Ila kuna mambo mengi tu M1 sio ideal mfano kwenye gaming inapitwa mpaka na vi Laptop chini ya dola 1000.
Yes anakili kuwa apple hajalenga gaming kabisa
 
Kwasasa , ninavyoona hii chip ya M1 Ultra 2022 iliyotoka iko vizuri yani ni very powerful, na performance nzuri sana , kikubwa zaid matumizi madogo ya power..

Sasa wanaleta mac studio badala ya ile mac mini..

Hii mac studio itakuja na 128GB Ram na GPU yakushiba yenye uwezo wa ku output zaidi ya screen 4 , za 8k resolution..!

Tukiachana na Youtubers wengi wakijihusisha na affiliate marketing na makampuni mbalix2 , lakini kwenye issues za hii chip aisee nipo kwenye forum za producers musi/video /photography.. wote walionunua hizi M1 mac wamezikubali performance,

Mashine zinakaa charge hadi 20hrs bila kuchaji hazi overheat kama intel processor inapojaribu kuchakata kazi kubwa kama rendering
 
Intel ashukuru tu kuwa Apple doesn’t share their chips with other devices manufacturers vinginevyo angepotea mazima, japo kuna watu watabisha kwa kuwa ubishi ni asili yao
 
Bei ya mac mpya yenye M1 ultra
-desktop yenye M1 ultra full 64 core gpu na maxed specs dola 8000 (kama milioni 20)
-m1 ultra full 64 core gpu basic specs ni dola 5000 kama milioni 12
-m1 ultra yenye 48core gpu ni dola 4000 kama milioni 10.

Even M1 ambayo ni basic Kabisa si Chini ya Milioni 2.

Ukiwa na 1.5m tu kwa Intel na Nvidia unapata i5 H version na Gpu kama gtx 1650, rtx 3050 ti, etc ambayo ni much much better.

Siku zote ecosystem ambayo imefungwa, huwezi ku upgrade vitu, mchezo wote unafanya wewe na wenzako wanakutegemea wewe basi wewe ndo unafaidika na wenzako wote hawatakua stable.

Nakupa mfano ecosystem ya Google na Oem wake wa Android.

Wakati Android inaanza Kulikuwa na Motorolla, HTC, Sony Ericson, Samsung, LG, Huawei etc

Wapo wapi hao jamaa? Kabaki tu Samsung, and funny thing kampuni mbili hapo HTC na Motorolla zimekufa kwa mkono wa Google mwenyewe.

Then Angalia Ecosystem ya Wintel (windows na Intel) toka Nakua mkuu napata fahamu na kufuatilia mambo ya Tech kuna HP, Dell, Acer, Asus etc kampuni Pekee ya pc ambayo ilikuwa kubwa na sasa Haipo ni IBM na hao IBM si kama wamekufa Bali division yao ya Computer imekuwa lenovo kwa sasa (Thinkpad).

Why Hawa manufacture wa Wintel wapo Stable?
1. Design za hardware zipo wazi kwa Oem kufanya anachotaka, Intel ama Nvidia hatengenezi soc anaweka tu chipset yake, its up to manufacture kuamua ram, Gpu, wifi, bluetooth, cooling na karibia kila kitu, Oem wana re brand na kupata Faida nzuri tu. Soc kama M1 ama za kwenye Android ecosystem ni one man show ukinunua ndani unakuta Kila kitu, huwezi kujitofautisha kabisa.

2. Kina Wintel wanarudisha wanachopata Toka oem ni jambo la kawaida kabisa kuona Microsoft akitangaza bidhaa za Hp ama Dell. At other Point una Apple ambaye ukiiga hata mfuko wa sh 50 anakupeleka mahakamani.

3. Kina Wintel wana price point nyingi as i told you before computer ya Bei rahisi Macbook Air ni kama Milioni 2, Wakati kina wintel wapo radhi ku subsidize hardware na software unakuta hadi $100 price point wanafika.

Hivyo mkuu kwa model ya Biashara ya Apple sasa hawezi shindana na Wintel, unless kampuni ifumuliwe fumuliwe na Ninavyowajua Apple wanathamini sana Volume ya Profit kuliko idadi ya vitu wanavyouza.
 
Nje kidogo ya mada, kuna hizi mini pc naziona mtandaoni nani ambaye anaweza kunipa taarifa za uhakika juu ya utendaji kazi wake? Mfano kuna hizi kutoka 4K Mini PCs, 14-15.6" Portable Monitors (4K w touch/FHD) & Accessories – GMK

Kampuni gani au aina gani ni nzuri kwa matumizi ya kiwango cha kati tu, Je kwenye maduka yetu ya hapa bongo zinapatikana au hadi kuagiza?
20220225_090708.jpg
 
Nje kidogo ya mada, kuna hizi mini pc naziona mtandaoni nani ambaye anaweza kunipa taarifa za uhakika juu ya utendaji kazi wake? Mfano kuna hizi kutoka 4K Mini PCs, 14-15.6" Portable Monitors (4K w touch/FHD) & Accessories – GMK

Kampuni gani au aina gani ni nzuri kwa matumizi ya kiwango cha kati tu, Je kwenye maduka yetu ya hapa bongo zinapatikana au hadi kuagiza?View attachment 2149006
Bongo zipo used na Kampuni nzuri kama Nuc (intel wenyewe) unapata kama laki 2 hivi. Kwa processor low end kama i3 ama celeron na pentium.

Inategemea pia na matumizi kama una matumizi makubwa waweza Tengeneza mwenyewe, kampuni kama Asrock wana barebone case kama Deskmini ambazo ni ndogo sana unanunua case, ram na processor. Inaweza cost kama 1m ama zaidi.

asrock-deskmini-002.jpg
 
Bei ya mac mpya yenye M1 ultra
-desktop yenye M1 ultra full 64 core gpu na maxed specs dola 8000 (kama milioni 20)
-m1 ultra full 64 core gpu basic specs ni dola 5000 kama milioni 12
-m1 ultra yenye 48core gpu ni dola 4000 kama milioni 10.

Even M1 ambayo ni basic Kabisa si Chini ya Milioni 2.

Ukiwa na 1.5m tu kwa Intel na Nvidia unapata i5 H version na Gpu kama gtx 1650, rtx 3050 ti, etc ambayo ni much much better.

Siku zote ecosystem ambayo imefungwa, huwezi ku upgrade vitu, mchezo wote unafanya wewe na wenzako wanakutegemea wewe basi wewe ndo unafaidika na wenzako wote hawatakua stable.

Nakupa mfano ecosystem ya Google na Oem wake wa Android.

Wakati Android inaanza Kulikuwa na Motorolla, HTC, Sony Ericson, Samsung, LG, Huawei etc

Wapo wapi hao jamaa? Kabaki tu Samsung, and funny thing kampuni mbili hapo HTC na Motorolla zimekufa kwa mkono wa Google mwenyewe.

Then Angalia Ecosystem ya Wintel (windows na Intel) toka Nakua mkuu napata fahamu na kufuatilia mambo ya Tech kuna HP, Dell, Acer, Asus etc kampuni Pekee ya pc ambayo ilikuwa kubwa na sasa Haipo ni IBM na hao IBM si kama wamekufa Bali division yao ya Computer imekuwa lenovo kwa sasa (Thinkpad).

Why Hawa manufacture wa Wintel wapo Stable?
1. Design za hardware zipo wazi kwa Oem kufanya anachotaka, Intel ama Nvidia hatengenezi soc anaweka tu chipset yake, its up to manufacture kuamua ram, Gpu, wifi, bluetooth, cooling na karibia kila kitu, Oem wana re brand na kupata Faida nzuri tu. Soc kama M1 ama za kwenye Android ecosystem ni one man show ukinunua ndani unakuta Kila kitu, huwezi kujitofautisha kabisa.

2. Kina Wintel wanarudisha wanachopata Toka oem ni jambo la kawaida kabisa kuona Microsoft akitangaza bidhaa za Hp ama Dell. At other Point una Apple ambaye ukiiga hata mfuko wa sh 50 anakupeleka mahakamani.

3. Kina Wintel wana price point nyingi as i told you before computer ya Bei rahisi Macbook Air ni kama Milioni 2, Wakati kina wintel wapo radhi ku subsidize hardware na software unakuta hadi $100 price point wanafika.

Hivyo mkuu kwa model ya Biashara ya Apple sasa hawezi shindana na Wintel, unless kampuni ifumuliwe fumuliwe na Ninavyowajua Apple wanathamini sana Volume ya Profit kuliko idadi ya vitu wanavyouza.
Hakuna siku biadhaa za Apple zikawa bei rahisi.

Hizo pc unazosema za $100 hazipo realistic.

Bei za bidhaa za Windows nyingi zinacheza arround 2.5M - 3M.
 
Nafahamu mkuu ndio maana ikaja hoja Yangu Apple hana time na Intel na hatakuja kupambana nae.

Kwa gaming na heavy Duties $600 unapata i5 H version sio hizi dual/quad core na pia unapata dedicated Gpu kama 3050ti ama 1650 Nvidia.

Na kwa laptop za kawaida zenye i3 ama i5 mainstream ambazo si H series unazipata $300 mpaka $500. Kuna laptop kibao mpaka gen za kisasa zina i3 kwa chini ya Milioni hapa hapa Tz.

Na hizo za $100 mpaka $200 inategemea na matumizi, kuna Mtu ananunua laptop ya Chuo tu anafanyia assignment kwenye microsoft office na kuangalia movies kwanini kwake isiwe realistic?
 
Mkuu Apple anampiga intel kwenye game lake huku chip zikitumia power kidogo.
Yes m1 ultra kaunga chip mbili so double cpu and double gpu lakini implimemtation yake imekuwa tofauti na effective zaidi ya hiyo unayosema.
By the way watu wanasubiri more reviews watakapoitumia.
Chief kama Apple hajachange hili game kwanini intel alipotoa processor yake latest alikuwa anaicompare na processor ya apple m1 akidai inaipita?
Tena hata hivyo intel processor yake ya mwisho ilifanikiwa kufanya hivyo kwa kutumia power kubwa sana compared na m1 chip
Tatzo fake reviews zimekuwa nying
 
Kwa uhalisia m1 ultraa italia mbele ya intel 12000k an litakufa jitu watabakiza point ya power consumption ambaya huwa n pointless to me
I hate benchmarks
 
Tangu nidanganywe kwenye m1 n bora kulko kila kitu af akachapwa fimbo saf na ryzen 5900 sitak kuskia uongo wa m1 max utra pro
 
Intel ashukuru tu kuwa Apple doesn’t share their chips with other devices manufacturers vinginevyo angepotea mazima, japo kuna watu watabisha kwa kuwa ubishi ni asili yao
Mambo ya AIM (Apple, IBM , Motorola) na PowerPC kujaribu kui-challenge intel halafu mwisho WA siku chali.
 
Nafahamu mkuu ndio maana ikaja hoja Yangu Apple hana time na Intel na hatakuja kupambana nae.

Kwa gaming na heavy Duties $600 unapata i5 H version sio hizi dual/quad core na pia unapata dedicated Gpu kama 3050ti ama 1650 Nvidia.

Na kwa laptop za kawaida zenye i3 ama i5 mainstream ambazo si H series unazipata $300 mpaka $500. Kuna laptop kibao mpaka gen za kisasa zina i3 kwa chini ya Milioni hapa hapa Tz.

Na hizo za $100 mpaka $200 inategemea na matumizi, kuna Mtu ananunua laptop ya Chuo tu anafanyia assignment kwenye microsoft office na kuangalia movies kwanini kwake isiwe realistic?
Hizo ni bei ya used au mpya?

Nimezunguka maduka mengi, pc za uhakika zenye windows zinaanzia 2.5M.
 
Bei ya mac mpya yenye M1 ultra
-desktop yenye M1 ultra full 64 core gpu na maxed specs dola 8000 (kama milioni 20)
-m1 ultra full 64 core gpu basic specs ni dola 5000 kama milioni 12
-m1 ultra yenye 48core gpu ni dola 4000 kama milioni 10.

Even M1 ambayo ni basic Kabisa si Chini ya Milioni 2.

Ukiwa na 1.5m tu kwa Intel na Nvidia unapata i5 H version na Gpu kama gtx 1650, rtx 3050 ti, etc ambayo ni much much better.

Siku zote ecosystem ambayo imefungwa, huwezi ku upgrade vitu, mchezo wote unafanya wewe na wenzako wanakutegemea wewe basi wewe ndo unafaidika na wenzako wote hawatakua stable.

Nakupa mfano ecosystem ya Google na Oem wake wa Android.

Wakati Android inaanza Kulikuwa na Motorolla, HTC, Sony Ericson, Samsung, LG, Huawei etc

Wapo wapi hao jamaa? Kabaki tu Samsung, and funny thing kampuni mbili hapo HTC na Motorolla zimekufa kwa mkono wa Google mwenyewe.

Then Angalia Ecosystem ya Wintel (windows na Intel) toka Nakua mkuu napata fahamu na kufuatilia mambo ya Tech kuna HP, Dell, Acer, Asus etc kampuni Pekee ya pc ambayo ilikuwa kubwa na sasa Haipo ni IBM na hao IBM si kama wamekufa Bali division yao ya Computer imekuwa lenovo kwa sasa (Thinkpad).

Why Hawa manufacture wa Wintel wapo Stable?
1. Design za hardware zipo wazi kwa Oem kufanya anachotaka, Intel ama Nvidia hatengenezi soc anaweka tu chipset yake, its up to manufacture kuamua ram, Gpu, wifi, bluetooth, cooling na karibia kila kitu, Oem wana re brand na kupata Faida nzuri tu. Soc kama M1 ama za kwenye Android ecosystem ni one man show ukinunua ndani unakuta Kila kitu, huwezi kujitofautisha kabisa.

2. Kina Wintel wanarudisha wanachopata Toka oem ni jambo la kawaida kabisa kuona Microsoft akitangaza bidhaa za Hp ama Dell. At other Point una Apple ambaye ukiiga hata mfuko wa sh 50 anakupeleka mahakamani.

3. Kina Wintel wana price point nyingi as i told you before computer ya Bei rahisi Macbook Air ni kama Milioni 2, Wakati kina wintel wapo radhi ku subsidize hardware na software unakuta hadi $100 price point wanafika.

Hivyo mkuu kwa model ya Biashara ya Apple sasa hawezi shindana na Wintel, unless kampuni ifumuliwe fumuliwe na Ninavyowajua Apple wanathamini sana Volume ya Profit kuliko idadi ya vitu wanavyouza.
Ana haki ya kuuza bei anayotaka maana ni bidhaa ya kwake, mteja ndo ataamua
Na kama hujui watu wengi wanaonunua bidhaa za Apple ni ubora wa ecosystem yao tu, hebu fikiria kitu kama continuity vitu vidogo vidogo unamalizana navyo pasipo tabu
 
Back
Top Bottom