Kwa logic yako mkuu ya kutumia laptop city kama benchmark ya Bei
CORE I9-9TH GEN 16 INCHES 16GB 1TBSSD 4GB GRAPHICS TOUCH BAR TOUCH ID
laptopcitystore.co.tz
Macbook pro hio tena ya intel ambayo inapatikana kama $2200 kwenye masoko mengi ulimwenguni inauzwa milioni 8 laptop city.
Hio bei unaenda Dubai unakaa siku kadhaa unanunua laptop unarudi na Change inabaki.
Angalia Avechi kenya bei
Latest Lenovo laptops in Kenya at Avechi are thinkpad E480 i5, X1 carbon G6 and Think book 14 G2. In stock ; Pay on delivery: 1-Year warranty
avechi.co.ke
Hapo i3 ni around laki 9 na i5 around 1.3m mpaka 1.5m gen za kisasa ya 10 ama 11 na iris Graphics.
Nimekupa Avechi sababu ndio naweza kukuthibitishia hapa, ila humu jukwaani hizo i3 za gen ya 10 tumei discuss sana na wengi wanapata kwa hio bei na i5 definetely unapata pia kwa around 1.3m. Capricon, laptop city na maduka mengine makubwa wana Vitu vingi na rare ila bei zao almost ni double ya Bei halisi.