Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
Alieleze jins ya kutumia throat ku awake the eyeMean?
Alieleze jins ya kutumia throat ku awake the eyeMean?
Ndio hicho kitabu niliwahi kumrekebishia mtu baadhi ya maelekezo humo yapo kishirikina,Alieleze jins ya kutumia throat ku awake the eyeView attachment 1100302
Humo kilicho sawa ni third eye mengine yana mushkelAlieleze jins ya kutumia throat ku awake the eyeView attachment 1100302
Naomba unirekebisha na mm nisije nikawa shetanHumo kilicho sawa ni third eye mengine yana mushkel
Rakims
Umefikia wapi na umepractice hadi wapi?
PoaEndelea, ila kuna sehemu zipo shida ni kitabu nilisoma muda sana mkuu,
Rakims
Shukrani Sana mkuu[emoji120]. Nimejifunza mengi Sana kupitia wewe. Threads zako mbalimbali zimetuamsha ufahamu tulio wengi na bado binafsi naendelea kujifunza kwako.Endelea kujifunza na rakims
Habari mkuu, meditation unafanya siku yoyote saa yoyote muda wowote na bila kuhofia chochote, na vile vile huna la kuogopa kwa maana negative energies zipo muda wote na popote.Shukrani Sana mkuu[emoji120]. Nimejifunza mengi Sana kupitia wewe. Threads zako mbalimbali zimetuamsha ufahamu tulio wengi na bado binafsi naendelea kujifunza kwako.
Naomba kufahamu hili tena mkuu,
Je, nikifanya meditation ya kufungua Third Eye "Usiku" nitakua sahihi? au Third Eye huwa inafunguliwa mchana tu? (Nikiwa na maana nimesikia kuna nadharia kuwa usiku unaweza ukavamiwa na Nguvu mbaya {negative energy} kwasababu hakuna Nuru ya mwanga {Jua})
Nahitaji muongozo wako mkuu Rakims
Habari Mkuu Rakims samahani tena Mkuu nisaidie Nina Swali tena nahitaji kujua;Yah, ni kweli maana wengine huona meditation ni stori tu za kale na wachina waliopinda zamani, lakini ni elimu pana sana yenye kumfanya mtu awe vile alivyoumbwa awe...
rakims
Ndio anaweza mkuu pia kuvisit kambi za wachawi kama gambush lakini jitahidi kustrength your vibration.Habari Mkuu Rakims samahani tena Mkuu nisaidie Nina Swali tena nahitaji kujua;
"Je, mtu aliefungua Jicho la Tatu anao uwezo wa kumkomboa/ kumrudisha mtu aliyechukuliwa kama msukule kutoka (kwenye u-mateka) mikononi mwa mchawi?"
😁🤣🤣Just a long time college swagga... it means concept so uwingi wake tujaita vyo-ncept
Haya mambo ya kufikirika tu. Umelala na malue lue unaamka unadai umefanya meditation🤣Ndio anaweza mkuu pia kuvisit kambi za wachawi kama gambush lakini jitahidi kustrength your vibration.
Rakims
Hivi we Rakims ni mchawi au mganga wa kienyeji au wewe ni jini? Maana unajua mambo mengi yasiyoyakawaidaSawa mkuu.
Kila mtu ana uelekeo wake wa akili kama yako imekupeleka kuona hivyo upo sahihi