taira la mirembe
Senior Member
- May 29, 2015
- 188
- 65
We All do mistakes but when someone realized that he was passing through hard times and had not forget what he is done and going to collect it dat isnt mistake that is called unlimited thinking if i were someone who you think i am, were i bn using this username?? like what others do i were did it too...
but i am who i am, and it will always be me....
japo kuwa mnatumia fake username na avatars haiwabadilishi u are still you...
"Rakims"

Ndio hivyo mkuu alafu anajaribu kudanganya watu kuwa hakutuchukulia hela zetu, yani huyu jamaa ana roho ngumu!! Maana kusema uongo mbele za watu na wakati anajua ukweli ulivyo hapo ndio nazidi kumuona mtu wa ajabu zaidi.Mimi niliona manyoya kumbe watu wameshaliwa??? Duh! Lakini sio ustaarabu.
Ndio hivyo mkuu alafu anajaribu kudanganya watu kuwa hakutuchukulia hela zetu, yani huyu jamaa ana roho ngumu!! Maana kusema uongo mbele za watu na wakati anajua ukweli ulivyo hapo ndio nazidi kumuona mtu wa ajabu zaidi.
Hahahahaha jamaa unajaribu kijisafisha wewe lakini wapi, watu ndio tushakujua kuwa we ni mwizi tuu hata uongee nn
keep talking
Huna cha kujitetea sasa, me nataka ukatae hapa kwamba hujachukua hela zetu.
Ni mtaalam wa haya mavitu lakini kaingiza tamaa 🙁
Rakims nilishakusamehe kwahiyo na hata kwenye post yangu nimekuambia hivyo....!unaweza kuniita majina yote mabaya lakini ukweli utabaki kuwa ukweli
Hebu na wengine waseme maana naona malalamiko ni ya watu wawili tu. Kama magroup yalikuwa mengi, watu nao walikuwa wengi. Sasa Mshana jr na mwenzako mbona ndio mnalalamika tu?
Rakims nilishakusamehe kwahiyo na hata kwenye post yangu nimekuambia hivyo....!unaweza kuniita majina yote mabaya lakini ukweli utabaki kuwa ukweli
Nimekaa kimya kwasababu as a meditator najua nini maana ya kufanya hivyo
Nimeona unajaribu kwa nguvu nyingi kukanusha na kurusha vijembe mpaka mada na post nyingi za meditation zimegeuka uwanja wa mipasho na hii yote imesababishwa na wewe...post hii ni mfano hai Rakims as a meditator kubali mapungufu na kutengeneza pale ulipoharibu lugha za mipasho majigambo na kujisifu kwingi kunazidi kukudidimiza badala ya kukujenga
Tunajifunza hii elimu ili tuweze kuwa viumbe bora zaidi wema zaidi na wenye hekima na busara zaidi....majina kama tapeli mwizi nk si sehemu ya meditator ni majina mabaya mno ni majina ya mtu ambaye hajajitambua
Nilikuwa nafuatilia replies zako nyingi zilikuwa za majigambo vitisho na ujuaji mwingi sikutaka kuingilia chochote bali nilikuwa napacha picha pana na angavu zaidi kuhusu wewe....
Nimekusamehe na namaanisha Nimekusamehe kwakuwa najua nini maana ya kusamehe na msamaha
Ok, haya tuyamalize tuungane tuwe kitu kimoja. Tafadhali nombeni muacheni hasira kwa sababu nyie ndio walimu, sasa mkigombana wanafunzi tutapotea.
Onyesheni mshikamano.
Sijagombana na mtu nimekueleza ufuatilie replies zangu upate picha
Ok, haya tuyamalize tuungane tuwe kitu kimoja. Tafadhali nombeni muacheni hasira kwa sababu nyie ndio walimu, sasa mkigombana wanafunzi tutapotea.
Onyesheni mshikamano.