Medicine vs Pharmacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Medicine vs Pharmacy

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fidelis zul zorander, Apr 7, 2012.

 1. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wadau naombeni msaada kuhusu hizi carrier mbili medicine au pharmacy ipi wewe utaiprefer, ipi ndo utamake more money regardless on the time you spent on working
   
 2. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pharmacy
   
 3. b5-click

  b5-click JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 1,969
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  una uhakika na unach0ongea?
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  kuweka cheti tu kwenye duka la mtu unabeba m kwa mwezi, mshahara wako mfukoni, bado hujaanzisha la kwako, watu wakuconsult wakati wa uanzishaji wa madvka yao. Hizo zote ni za halali ukiongeza na zile za kuagiza dawa na kuzificha, procurement procedures! Medicine utaishia kulalamika tu wagonjwa wanakufa kizembe kwa kukosa dawa,unaamshwa usiku, mshahara mdogo, marupurupu mpaka uvuje mpaka serum, uko exposed kwenye magonjwa zaidi.
   
 5. R

  Ray2012 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu policy zinabadilika! be careful!
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  medicine unachance ya kwenda nchi yeyote ile kufanya kazi... na pia hutafuti kazi ... kazi inakutafuta wewe..

  heshima! katika jamii... watu watakuheshimu na utajukikana sababu wewe ni dactari .. itafika mahala utapata feva flan hutotarajia either sababu mmiliki au muhusika aliwahi kuwa mgonjwa wako kitambo...

  kama unakichwa cha dactari go for medicine
   
 7. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  i would advice u, go for something u like,, listen to ur heart,, money is everywhere,and if u are desperate kutafuta pesa,usidhani kwamba degree yako peke yake ndo itakayokupa pesa, there are a lot of things to give u money other than just ur degree,, soo, just do what ur heart feels like doing,,, kitu ambacho hata ukianza kazi,utafurahia na kuipenda kazi yako, ukishaipenda kazi yako,pesa zitajileta zenyewe,,,
   
 8. m

  msafi Senior Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Well said Mkuu. Ni vizuri kufanya kile moyo unapenda. Lakini si vibaya tukawapa ushauri baadhi ya mambo ukizingatia utamaduni wakwetu, maana nchi za wenzetu mtoto anaandaliwa akiwa bado mdogo, anajua akiwa mkubwa atakuwa nani, hapa kwetu, mtoto akisoma arts anataka kuwa mwanasheria, PCB anataka kuwa daktari na PGM kuwa rubani ect ect.Katika kozi hizi mbili (Medicine Vs Pharmacy) inategemea unataka nini. Kama unataka heshima katika jamii, chukua medicine, ila kama unataka maisha mazuri na una entrepreneurship skills, chukua pharmacy. Pharmacy unaweza ukafanya maeneo mengi sana, hasa nje ya Tanznia na ukatengeneza pesa haraka sana, kumbuka pharmacy is business oriented, wakti medicine itakubidi ule CCD sana na kukuondolea heshima. Lakini cha msingi, angalia moyo wako unataka nini.
   
 9. m

  msafi Senior Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Si muda mrefu kutoka sasa sera zinakwenda kubadilika, na masuala ya kutundika cheti itakuwa historia. Hata hivyo Pharmacist katika Tanzania hawatumii elimu yao ipasavyo, nadhani ni kama 2-5% ya elimu yao. Kwa nini bado tunaangiza dripu toka nje?? kwa nini tunaangiza gauze wakti tuna pamba ya kutosha?? kwa nini mnawadanganya watanzania kwa kuwauzia quinine syrup wakati stability yake ni ndogo, kwa nini hfanyi compounding? kwa nini mnauza Eusol wakti inatakiwa iwe freshly prepared??
  Inabidi wafamasia wa kitanzania muone kwa jicho la tatu, thereis a lot of oppurtunity katika nchi hii, wake up.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  CIA Dogo achana na hao wazee wa descriptionns
   
 11. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana nawe kuwa policy zinabadilika ila kwa sasa ambapo hazijabadilika wafamasia wanakula bata sana kwa vile policy zilizopo zinawapendelea.Kwa wastani wafamasia wengi wanakula mishahara mitatu kwa mwezi.Unakuta mtu anapokea hela ya kuweka cheti kila mwezi,anapokea mshahara wa sehemu aliyoajiriwa na anapokea mshahara wa sehemu anayofanyia part time.Labda hapo sera zitakapobadilika ndo mambo yanaweza kwenda tofauti.
   
 12. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Maduka mangapi yaliyopo? Utapeleka cheti mpaka duka la dawa muhimu!!! Naamini aangalie kile moyo wake upendacho.
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  sheria iliyopo ni duka moja. Lakini huoni kwa mtu anayesaka hela ajakuwa m zaidi ya daktari anayesubiria mwisho wa mwezi. Dr frustrations wagonjwa kibao wanakufa kwa mambo ambayo yanatibika kama system imetengamaa. Kwanza drs wives wengi wanabebwa na wasela kwani waume wako bizy na wagonjwa zaidi. DOGO UKITAKA HESHIMA SOMA MEDICINE, UKITAKA KUWA MASKINI KWA SABABU YA ELIMU KUWA DAKTARI WA BINADAMU!
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  kuna famasi nyingi sana watu wanafungua. Mwaka jana kuna jamaa anaitwa maranatha alinambia nimsaidie kutafuta vyeti kumi kwa m 1 kwa mwezi,tuliishia kupata viwili tu. Wote walikuwa wanasema vimeshachukuliwa. Pia kumbuka hawa jamaa wanafanya tempo kwenye chemical industries zinazotengeneza consumables za binadamu. Watu msiote kwenda nje kwa kusikia tu kwamba kuna kwenda nje!
   
 15. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Naomba upokee LIKE! Natumia simu.
   
 16. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  siku hizi mambo yamechange hata madaktari wanakosa ajira, juzi tu wizara ya afya imeshindwa kuwaajiri na vyuo vimeongezeka miaka mitano ijayo sijui hali itakuwaje the same kwenye pharmacy japo kuna chance kubwa ya kujiajiri, halafu kuhusu heshima inategemea na wewe unapractise namna gani unaweza ukafungua community pharmacy ukawa na heshima ya kutosha tu ina tegemea huduma yako kwa jamii, nchi kama state madaktari ndio wanalipwa hela nyingi na hakuna uhuni wa kuweka cheti na kufanya kazi zingine kama mafamasia wa bomgo, lakini pia pharmacy inakupa time kubwa ya kufanya shughuli zingine
  kuhusu mapharmacist kuwa underemployed nafikiri sababu hakuna competetion ila wakiongezeka wengi watu wataanzisha viwanda vya infusion na kuanza kucompound
  changanya na zako!
   
 17. b5-click

  b5-click JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 1,969
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  wandugu heshma yenu...
  Hivi kwa m2 anayetaka kusoma medicine inategemea na matokeo yake ya 4m four pia or ni 4m six 2?
  Kama yanategemea matokeo ya 4m four kwa m2 mwenye C-Phy C-Chem B-Bios D-Eng F-Math anaweza kwenda medicine kama matokeo yake ya 4m 6 yatakaa vizuri?
  Kama haiwezekani kwa tokeo hilo hapo juu ni kwa nini?
   
 18. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  medicine unaenda bila shida kikubwa ufaulu form six labda competetion iwe kubwa kuliko maelezo ila pharmacy kama competetion kubwa na mswaki wako wa math itakuwia ngumu kidogo.
   
 19. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  naumia sana! Hivi mtu unapataje mswaki wa hesabu na kufaulu physics.? Au kwa sababu hesabu huwezi kukariri majibu uliyoibiwa?. Dah! Itabidi hesabu liwe optional ili kuwapunguzia vijana bendera.
   
 20. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Angalia mwenyewe unapenda nini.Na je akili yako itamudu?Ndiyo muhimu kuliko mengine.Watu wa famasi bila shaka watakuvutia upande wao na wa medicine hali kadhalika.Kama utaanza mwaka wa masomo ujao,una miaka minne ya kufanya Pharmacy kama sikosei na mitano ya medicine kwa Tanzania.Hiki ni kipindi kirefu na mabadiliko yanaweza kutokea hapo katikati.Ukifanya kile unachopenda,hutaathirika.
   
Loading...