Medicine vs Pharmacy

Bro doctor ni kazi toka moyoni sio after money,
ukiwa na tamaaa hutafanya kazi vizuri,
utaishia kushinda ktk duka/dispensary binafsi, kufanya biashara haramu kama kuiba dawa au even abortion kwa watoto wa shule.
change that attitude bro!
 
jamani je mtu mwenye form 4:phy-B,biol-C,chem-B,math-B,eng-A...hiyo c ya biology ina effect kwenda medicine.??

Medicine wanaangalia matokeo ya ADVANCE ...! BUT kama unataka kutumia matokea ya O-lveal nadhani itabidi uanze mbali kidogo! kwenye Certificate .. clinical officer ...... AMO..... baada ya AMO you can apply for bachelor nadhani hiyo ni altenative ya kuingia medicine na matokeo ya form 4 ..... ni njia ndefuu
 
medicine unachance ya kwenda nchi yeyote ile kufanya kazi... na pia hutafuti kazi ... kazi inakutafuta wewe..

heshima! katika jamii... watu watakuheshimu na utajukikana sababu wewe ni dactari .. itafika mahala utapata feva flan hutotarajia either sababu mmiliki au muhusika aliwahi kuwa mgonjwa wako kitambo...

kama unakichwa cha dactari go for medicine

sawa mkuu...
 
Bro doctor ni kazi toka moyoni sio after money,
ukiwa na tamaaa hutafanya kazi vizuri,
utaishia kushinda ktk duka/dispensary binafsi, kufanya biashara haramu kama kuiba dawa au even abortion kwa watoto wa shule.
change that attitude bro!

sawa ni kazi ya moyo lakini still huwezi ukasoma miaka yote na usiangalie maslai
 
Angalia mwenyewe unapenda nini.Na je akili yako itamudu?Ndiyo muhimu kuliko mengine.Watu wa famasi bila shaka watakuvutia upande wao na wa medicine hali kadhalika.Kama utaanza mwaka wa masomo ujao,una miaka minne ya kufanya Pharmacy kama sikosei na mitano ya medicine kwa Tanzania.Hiki ni kipindi kirefu na mabadiliko yanaweza kutokea hapo katikati.Ukifanya kile unachopenda,hutaathirika.

nimekupata mkuu..
 
i would advice u, go for something u like,, listen to ur heart,, money is everywhere,and if u are desperate kutafuta pesa,usidhani kwamba degree yako peke yake ndo itakayokupa pesa, there are a lot of things to give u money other than just ur degree,, soo, just do what ur heart feels like doing,,, kitu ambacho hata ukianza kazi,utafurahia na kuipenda kazi yako, ukishaipenda kazi yako,pesa zitajileta zenyewe,,,

i lyk that advice..big up
 
kuweka cheti tu kwenye duka la mtu unabeba m kwa mwezi, mshahara wako mfukoni, bado hujaanzisha la kwako, watu wakuconsult wakati wa uanzishaji wa madvka yao. Hizo zote ni za halali ukiongeza na zile za kuagiza dawa na kuzificha, procurement procedures! Medicine utaishia kulalamika tu wagonjwa wanakufa kizembe kwa kukosa dawa,unaamshwa usiku, mshahara mdogo, marupurupu mpaka uvuje mpaka serum, uko exposed kwenye magonjwa zaidi.

Alafu wanasiasa wakichakachua unawalaumu kama wewe una mawazo ya kuvunja taratibu za procurement
 
medicine unachance ya kwenda nchi yeyote ile kufanya kazi... na pia hutafuti kazi ... kazi inakutafuta wewe..

heshima! katika jamii... watu watakuheshimu na utajukikana sababu wewe ni dactari .. itafika mahala utapata feva flan hutotarajia either sababu mmiliki au muhusika aliwahi kuwa mgonjwa wako kitambo...

kama unakichwa cha dactari go for medicine

sio kweli, kuna nchi huwezi kufanya kazi
 
Kwani recently pharmacist na medical doctor wana tofautiana kiasi gani kwenye take home zao?
Na mshahara wa pharmacist ni kiasi gani?
 
hawako mbali sana ila MD z somehow ahead japo mi naipenda sana pharmacy than MD...A level nilikuwa CBG now naingia second year may GOD bles me
 
hawako mbali sana ila MD z somehow ahead japo mi naipenda sana pharmacy than MD...A level nilikuwa CBG now naingia second year may GOD bles me

Zote zimekua za kawaida sana,kama ni mapenzi ya fani it's wise to take that lakini kama ni pesa,huwezi kufanya kitu cha maana...hata ajira saaiv ni kwa kujuana aseee....
 
Jaman nna F,E,E(PCB) ya form 6 na C,C,C(PCB) ya form 4...niliomba diploma ya pharmacy muhimbili.Je kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa?na kweli muhimbili wanaangalia matokeo ya form 4 tu sio ya form 6 kwa upande wa diploma?msaada tafadhali...
 
safi kaka nami CBG nimepata MD bugando!

kumbe sometimes phys ni kuumza tyu kchwa....ila hakikisha unapga one au two ya alfajir na kene bio na chem atleast flat C.,usifel bam coz huyu ndo refa wako instead of phys...ila pia o-level anzia C ya phys baada ya hapo habar ni njema.....nambie LUFE ndo unaingia 1st year?..
 
yap MD 1 bugando hapo 12 oct! nlijazaga hiyo st john pharmarcy pia
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom