Medical Students are not Creative than engineering students?

Sasa wewe kama ulijua kuna google mbona hukuenda kutafuta mpaka unalinganisha engineer na mtu alojifunzia mtaani bila hata kujua principal?
principal zipi izo unazozungumzia
 
wewe hunijui Mimi acha kujifanya unanifahamu!! Mimi na wewe tumefahamiana hapa jf nashangaa hayo majigambo yako yakujifanya wanijua tangu nasoma yanatoka wapi? Mi sipendi siasa zako uchwara bhana jirekebishe
wewe ustadhijuma si unasoma basic certificate in clinical medicine pale city college tandika?
Wewe bado mchanga sana kwenye fani ya afya,tuliza akili mdogo wangu angalau ufike ata MD
 
aaaah wapi.......barabara inafumuliwa na Magufuli au umesahau kuwa zinafumuliwa....na sio barabara tu hata vitu vingne engineer akikosea mfano akikosea kutengeneza simu anaweza kurudia before haijaingia sokoni
Engineer tukikosea katika design ni hatari mno kuliko hata dokta anaepoteza uhai wa mtu wa mmoja , Gari ikikosewa itaua zaidi ya mtu mmoja,Ghorofa likidondoka hizo nuclear power station ndo usiseme zikileta figisu habaki mtu
 
Engineer tukikosea katika design ni hatari mno kuliko hata dokta anaepoteza uhai wa mtu wa mmoja , Gari ikikosewa itaua zaidi ya mtu mmoja,Ghorofa likidondoka hizo nuclear power station ndo usiseme zikileta figisu habaki mtu
umesahau before hamjakabidhi hayo maghorofa ,barabara na nyukilia uwa zinakaguliwa kwnza...zikileta figisu zinafumuliwa.....je mtu akifa anafufuliwa???
 
umesahau before hamjakabidhi hayo maghorofa ,barabara na nyukilia uwa zinakaguliwa kwnza...zikileta figisu zinafumuliwa.....je mtu akifa anafufuliwa???
Bwana mdogo acha kutumia kichwa kufugia nywele tu ebu jifikirishe kidogo nimepitia huu uzi unaongea utoto utoto grow up
 
Bwana mdogo acha kutumia kichwa kufugia nywele tu ebu jifikirishe kidogo nimepitia huu uzi unaongea utoto utoto grow up
izo ni siasa ...toa fact
 
Humu jf kuna watu waongo sana,mtu bila chembe ya aibu anakwambia amesomea udaktari pamoja na engineering

inawekana....japo hapa Tz nawafahamu wawili tu wachache sana kule Nigeria wapo wengi sana ..ila wa tz nimegundua wengi ni waongo
 
Mie sio mtaalam ila angekuja mtu kueleza majukumu ya Engineer (mhandisi) ni yapi, Technician (fundi mchundo) ni yapi alafu na Fundi Sadifu ni yapi maana hii component ya engineering imegawanyika sana yaani kuna mtu mmoja kazi yake ku-design na kusimamia, alafu mwingine kazi yake kutafsiri design ya kitu flani na kukiweka katika hali ya utekelezaji na mtu mwingine kazi yake kufanya utekelezaji. Na ili utekelezaji uwe mzuri pande zote bila kujali nani kasoma zaidi ya mwenzake kukaa kwa pamoja na kuangalia namna ya kufanya kazi na kutatua changomoto na hapo issue ya creativity inapokuja

Kwa madoctor napo kuna mtu anaitwa Daktari bingwa (nae ana majukumu gani), kuna daktari wa kawaida ana majukumu gani, dakatari msaidizi nae ana majukumu gani, na kuna nesi nae ana majukumu gani. Katika kutoa huduma kila mtu anamtegemea mwenzake kutokana na aina ya tatizo linalojitokeza hasa kunapotokea complication ambayo ipo nje ya uwezo wa mhusika.

Kwa asilimia kubwa wote hawa wawili wanatakiwa wawe vizuri kitaaluma lakini pia kwa upande wa pili unatakiwa usietegemee akili yako ya darasani kwani kuna watu wengine wana uzoefu kwenye baadhi ya mambo ambayo unayafanya hivyo ukikaa nao vizuri na kuchanganya na utaalamu wako unakuwa vizuri kabisa katika utendaji kazi wako na kutoa maelekezo kwa wengine
 
mkuu katk mechanical engineerng kuna basic electronics kama moja ya somo pia iko automation na mechatronics hvyo tengua kauli
 
mkuu katk mechanical engineerng kuna basic electronics kama moja ya somo pia iko automation na mechatronics hvyo tengua kauli

Ili linasomwa na fani zote za engineering? Kama ndio natengua ingawaje sijui content yake.
 
.
SODOKA NAWE!
 
Kwa tz engineering ni sawa na fundi wa kawaida tu wamtaani au hata zaidi so huwezi kunfananisha hata kidogo na doctors ila kwa mbele kama europe, america na asia ehao ndo kweli huwezi kucompare na doctors wako creative sana hapa bong wameshawahi kucreate kitu gani bora hata wale wanaotengeneza majiko na masufuria mtaani kuliko ma engeneer jina
 
Cha ajabu unaweza kuta wanao argue katika mada hii,hakuna hata mmoja aliye mhandisi au daktari.
Kwa mtazamo wangu tu aliyeanziaha mada inaonyesha bado ana ufahamu mdogo na masuala ya taalamu za watu sana sana kama amesoma mwisho kidato cha nne.
 
Dogo sijakuelewa lengo lako ni nini kufanya comparison ya watu ambao wako fani tofauti.Kila fani ni nzuri awe mwalimu,doctor,Mhasibu au Engineer inategemea wewe unapendelea nini.Huwa tunasema tu mara nyingi Doctor Fulani ni mzuri kuliko Doctor Fulani labda kwa upande wa kinamama.watoto n.k. Pia huwa tunasema Engineer Fulani ni mzuri sana kwenye mambo ya Automation au Design nk kuliko Engineer Fulani, Au tunasema Fulani ni mzuri kwenye mambo ya IT SECURITY kuliko fulani. Huwezi kumlinganisha Engineer na Fundi wa VETA. Fundi atabaki kuwa fundi na Engineer atabaki kuwa Engineer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…