MediaTek ni nini?



hahahaaaa my jesus fucking crist.
Kuna dogolasi kihome aliulizwa shuleni kwenye paper "Juma ana Mbuzi wanne na Kondoo sita, je juma ana Mifugo mingapi jumla" akajibu Miwili.... Akapewa Kosa.
Lakini kimantiki alikua sahihi.

Mediatek inaleta utata tena sio kidogo. Binafsi ninachojua hakuna Processor inayoitwa Mediatek ila mediatek wanatengeneza processor na wala haziitwi Mediatek ila zinaitwa Mediatek Processor (Chipset) lakini kuna aina nyingi za Mediatek Processor na sio aina nyingi za Mediatek.

Ni sawa na bwana mkubwa pale juu aliyesema kuna simu inaitwa Nokia, kitu ambacho ni Black Lion.

We shall end there i think without anyone to make a conclusion.
 
Ok thenx kw wote mlionipa ujuzi ila pia nmefurahishwa san n uo ubishan wenu makak yan CHIEF na SNIPA ambapo nlikuw najua hadi mwsho ningepata jibu zuri sana ya hichi nachotak kufaham....

ok ngoja niludi kwetu sasa CHIEF umeolodhesha aina kadha ya processor kma nitakuw saw ni tatu(3)

swali langu lingine je processor ipi ni nzur kat ya hzo kw maono yako na pia ni zip huw zinatumika sana kwny haya masimu yetu na kma zote,mmi huw naon

mfano(juct kma mifano tuuu)


MTK27896
MTK38749 n.k


hapo ipo vip na hyo mabadiliko ya hzo processor ni kulingana n toleo la sim au vip
Naomb nifumbueni jaman nnami niwe na uelewa kma wenu.....
Thnx
 
hapo ipo vip na hyo mabadiliko ya hzo processor ni kulingana n toleo la sim au vip
Naomb nifumbueni jaman nnami niwe na uelewa kma wenu.....

Mi nikujibu hapo kwanza, mengine ataelezea Chief.

Processor hazibadiliki kulingana na simu.
Mfano wewe unatengeneza Risasi mi natengeneza bastola.
Na siwezi tumia bastola bila Risasi kwahiyo wewe ukitengeza risasi ya aina flani kulingana na bei utakayoiona wewe mimi ntakuja kununua kulingana na bastola yangu nataka ni iuze kwa bei gani sokoni.

Kwahiyo hutatengeneza risasi flani kwasabu umeona mimi nimetengeneza Bastola flani, la hasha, we piga kazi mi ntakufuata kununua.

Mediatek wanatengeneza processor kwaajili ya hizi simu za bei Rahisi (low end) na ndo alicho kitarget yeye.

Ndomana ukiangalia kampuni kama Xiaomi simu zinazotumia chip za mediatek anaziuza kwa bei ya kawaida..

Leo hii Samsung utaona anaingia ubia na MediaTek ili auziwe processor zakuweka kwenye simu zake zitakazotumia OS yake ya Tizen kwasabu anajua ataziuza kwa bei ya kawaida.

MediaTek exec hints at future partnership between Samsung and MediaTek
 

before kuzijua hizo processor unatakiwa ujue processor za simu zote ni technology ya arm. hii kampuni inadesign processor then wanazieka kama open source halafu makampuni kama apple, samsung, qualcom, allwiner, nvidia na mediatek wanazitumia kutengeneza hizo processor zao. processor hizi za arm zinaitwa cortex na zipo cortex nyingi kama

-cortex a5
-cortex a7
-cortex a8
-cortex a9
-cortex a12
-cortex a15
-cortex a17
-cortex a53
-cortex a57
-cortex a72

hapo zipo processor za 64 bit na 32 bit.

kati ya hizo processor zipo za simu za highend, middle end na low end.

processor zenye speed ni cortex a15 na cortex a57 wakati processor zinazotunza chaji ni cortex a7 na cortex a53. jinsi unavyotunza chaji basi hupati perfomance kubwa na kama unapata perfomance kubwa then chaji inaisha mapema.

kuhusu processor bora
processor bora inategemea na hayo makampuni hapo juu yatawezaje kuzi improve design hapo juu. na kwa mwaka huu samsung ndio amewapiga bao wenzake na exynos 7 inayotumia design maarufu kama big little ambapo kunakuwa na processor yenye core 8 kwenye simu, nne za cortex a57 zenye peromance kubwa na nne zenye cortex a53 inayotunza chaji. unapokuwa unafanya matumizi madogo kama kuchat, sms na kuperuzi basi processor ndogo zinafanya hio kazi. unapoangalia hd video, kucheza games na kutumia apps kubwa basi cortex a57 mwenye perfomance kubwa anahandle hio issue


kama unaniuliza mimi utumie processor gani basi hili ndio jibu langu

1. kwenye tablet tumia tegra x1 au k1
2.kwenye simu high end tafuta galaxy s6 na exynos 7
3. simu za midrange tafuta snapdragon 615
4.simu za low end aka bei rahisi tafuta snapdragon 410 kama vile moto e 2015 na huawei y550

mediatek? unless huna option ndio uende huku
 

Wee jamaa unajua mpaka unakera
 
unaweza kuwa na jina moja linamaanisha mambo mawili. nakaa mkoa wa tanga na pia nakaa wilaya ya tanga
Pia siishi kuTanga Tanga,na mara nyingi masikini huTANGA na njia,kama TANGA lajahazi linavyo shughulishwa na upepo wa kaskazi .
Halafu y ni lini tunaanua TANGA la marhum mzee Hamduni?
 
Chief-Mkwawa,

Aisee sijui apo nikushukuru vip ila maelezo yako perfect sana tena e bana big up sana kaka.. hapo nmekupata
thnx.
 
Last edited by a moderator:
Na snipa pia nashukuru kwn umenidokolea vya uku na nikijumlisha na vya Chief bas unakuw mmoja wa bonge la mchango.

Nashukuru san kaka.
 
Last edited by a moderator:
snipa,

Unajua kwa ubishi wako nilidhani ni siku ya wajinga duniani, kwamba you are just messing with us... lakini nimegundua unahitaji msaada zaidi wa kiundani. Hii siyo thread ya kwanza kubishana na ukweli wa dunia.
 
Last edited by a moderator:
Tuache kuwa wavivu na wategemezi kupita kiasi watanzania wenzangu.Yote yanapatikana kwenye mtandao sio degree za chuo kikuu. Ndio maana wengi wetu hurubuniwa na kutapeliwa mtaani kwa ujinga wetu na uvivu wa kutafuta habari. Tunasimu zenye uwezo wa kuperuzi mtandao, bas tuzitumie zitupe maarifa na ujuzi.
 
Mimi huwa nikiona posts au uzi wa CHIEF MKWAWA yaani lazima niutupie macho. Kuanzia leo tena huyu snipa naye siyo wa kumpuuza na shabaha zake!

Umeona ehhh mkuu na SNIPA anakuja kwa kasi ,na yuko vizuri sema ndo vile hajawa na jina kuubwa kama CHIEF MKWAWA.
 
Mpagani wewe acha kumtukana Yesu.
 
snipa,

Unajua kwa ubishi wako nilidhani ni siku ya wajinga duniani, kwamba you are just messing with us... lakini nimegundua unahitaji msaada zaidi wa kiundani. Hii siyo thread ya kwanza kubishana na ukweli wa dunia.

ni migongano tu ya hoja na mitizamo chanya, unapoona snipa anapinga ukweli uwe unajaribu kumwelezea kwa hoja zilizosimama.

By the way sidhani kama ni sahihi sana kumterm snipa kama ni mbishi ikiwa anaobishana nao wanamwelewa vizuri kwa hoja zilizo sahihi huwezi kuniambia hii ni Jamii afu nikakuelewa bila kuniambia ni Jamiiforums/forum.

Pole na majukumu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…