Mediatek ni jina la processor za simu. na processor ni kama ubongo wa simu inatumiwa na simu kwenye kufikiri mambo yote ya kihesabu na kimantiki.
Mtu akisema mediatek ni kama anasema intel
Mkuu MediaTek ni jina la kampuni inayotengeneza Mediatek Chipset.
Ni sawa na useme Nokia ni simu.
kampuni inaitwa mediatek inc
Hakuna simu zinaitwa Nokia? Yes Nokia ni simuMkuu MediaTek ni jina la kampuni inayotengeneza Mediatek Chipset.
Ni sawa na useme Nokia ni simu.
Hakuna simu zinaitwa Nokia? Yes Nokia ni simu.
Nitajie jina la simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.
Nokia Lumia
Niwekee picha ya simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.
Nimejibu angalia tena.hamna simu inayoitwa Nokia wala Nokia Lumia, kama ipo weka picha hapa.
Nimejibu angalia tena.
Niwekee picha ya simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.
snapdragon 810
exynos 7420
mediatek mt6585
mediatek, exynos, snapdragon ni majina ya processor na herufi za mbele ni aina za processor
Ukieka MediaTek itasimama kama kampuni na ukieka MediaTek MT6585 itasimama kama processor ya Mediatek.
Na huezi kusema MT6585 ukimaanisha processor lazma usieleweke mpaka useme Mediatek MT6585
ila ukisema MediaTek kimantiki iliyosahihi itasimama kama Kampuni.
Kesho nitaweka or just googleEka picha ya Nokia Lumia
unaweza kuwa na jina moja linamaanisha mambo mawili. nakaa mkoa wa tanga na pia nakaa wilaya ya tanga
Kesho nitaweka or just google
Hapo nikikuuliza Tanga ni nini unaeza nijibu ni wilaya utakua sahihi na ukijibu ni Mkoa utakua sahihi.
Lakini nikikuuliza MediaTek ni nini huwezi kunijibu Ni Processor afu ukawa sahihi. Kwasabu ukiambiwa ulete processor inayoitwa MediaTek hutoweza kuileta.
Niwekee picha ya simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.