Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?

Exactly.
Kwa miaka mingi, mtu anafanya course ya miezi mitatu, anaitwa Mwaandishi.
Wenzetu, wanasoma miaka minne chuo.
Sisi tunastuka leo.
It's a joke really.
Mkuu Tokyo, usemayo ni kweli.
Sisi tulipoingia media miaka ile ya 90, the highest qualification ni Diploma. Entry ni IV ya points 31!. Vyou vilikuwa viwili tuu, TSJ na Nyegezi. Mass Media zilikuwa mbili tuu, Redio moja RTD na magazeti 2 daily, Daily New na Uhuru na matatu weekly Sunday News, Mzalendo na Mfanyakazi.

Sasa tumendelea tuna magazeti zaidi ya 100, redio zaidi ya 100, TV zaidi ya 50. Elimu hadi Ph.D vyuo zaidi ya 10. Hivyo we have the capacity and the means kuwa na strong media na strong journalists.

It was a joke then, now it's not a joke.

Paskali
 
TBC inapoitete serikari na chama kilichopo madarakani si ndiyo hivyo kuwatetea wananchi? Serikali ni nini? wapo kwa ajili gani? so kama TBC haiweza kusimamia misingi ya upinzani kwa kuwa upinzani unaipinga serikali na serikali inafanya kazi ya kuwatumikia wananchi... iacheni TBC ifanye kazi yake ya kuelimisha umma.
Mkuu Sijazaliwa, TBC haipaswi kuitetea tuu serikali hata katika madudu, TBC ni TV ya umma ambayo inapaswa kuweka mbele maslahi ya taifa.
Inapaswa kuhudumia watu wote na vyama vyote wakiwemo wapinzani ambao wajibu wao ni kuikosoa serikali iliyopo madarakani ambao nao wana haki sawa kabisa kiitumia TBC kutangaza ukosoaji huo.

Paskali.
 
Hamna tofauti ya haki ya binadamu inayotegemea na rangi ya ngozi!
Aidha nchi ina demokrasia au haina!
There is no such thing as "African" and "non-African" democratic system.
Basic Human Rights is a UNIVERSAL right, as declared by the United Nations.
Get your facts straight, please.
Mkuu Tokyo kuna kitu kinaitwa nature, yaani asili, huwezi kushindana na asili yako.
Mfano African Man ni polygamous in nature. Mzungu katuletea dini yake yenye ile amri ya sita na mke mmoja mume mmoja. Maana yake usiivunje ile amri na uoe mke mmoja sealed! . Wangapi wanatekeleza hayo? .

Vivyo hivyo kwenye democracy, kuna democracy ya wazungu yenye kufuata misingi ya demokrasia na tuna African democracy ambayo udikiteta of some sort kwa wazungu, mfano Mugabe, Kagame, Museveni and the like ndio maana tunapendekeza tubadili katiba Magufuli aendelee. Chaguzi za rais ni wastage of time, ,money and resources.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
 
Pascal Mayalla Shukrani sana nimesoma uzi ulioambatanisha kwa umakini sana. Kukwambia kiukweli nimehamasika na mtazamo na maono yako. Ila kuna kitu nigusie na kukufungua macho kupitia michango ya wanabodi kweye uzi ule.

Kaka yangu Paskali unachoona wewe sicho ninachoona mimi au kuna nichoona mimi na nitamani niwe wewe. Kutafuta muongozo kwenye mijadala hususani humu niwe muwazi ni kupoteza muda kwa sababu hatuko sawa.

Wakati Nokia imetawala soko la dunia Steve Jobs aliwaambia watu wake wa karibu kuwa "nakwenda kutengeneza simu so sexy kiasi watu watalamba buttons zake" na akapingwa lakini hakukata tamaa akaendelea na leo Apple Phone iko wapi???

Ukitaka kufanya mambo makubwa dont ask "the average" watakukatisha tamaa, wewe ndiye mwenye maono hivyo usiulize ushauri wa mtu wanonaje maono yako ila uliza utafikaje kule unakoona?

Usisubiri 2020 anza sasa, kwanini nasema hivyo sababu ulishawahi kuamka asubuhi ukasema sitatoa gari yangu mpaka taa zote ziwe za kijani barabarani?

Utasema resources zinakukwamisha ila unashindwa kutambua kuwa wewe ni resourceful tayari na kama hujui kuna watu wanatamani wawe wewe. Kuna watu wako tayari kufanya kazi na wewe na unataka muongozo nitakushika mkono kaka na utashangaa watavyokugombania.

Kama utaanzisha hicho kipindi kwa maslahi ya taifa utatoboa sababu ni kipindi endelevu ila hivyo tisa vingine vina time limit na hicho cha siri ya mafanikio watanzania wengi kitafanana na kipindi kama Mkasi na Vingine.

Start simple but aim Big Brother utatoboa, mfano Sporah Show started from a back room show to main stream media. Tafuta vitabu na naweza kusema be like Jeremy Pax wa tanzania in your own way unaweza Paskali. Miaka ya nyuma M.M. Mwanakijiji alikuwa na podcast zake sijui ziliishia wapi lakini kama angepata mwongozo angekuwa mbali sana.

Stop procrastinating do it now Paskali, this is your time, its a very exiting time kwa Tanzania ya leo Paskali.

N.B: Nimeandika kwa haraka sababu napeleka familia sehemu ila nitarudi hapa
Mkuu EWGM's, nimeguswa sana na nimehamasika, imebaki utekelezaji. Muswada wa "Kwa Maslahi ya Taifa" uko on the pipeline kwenda kwa wafadhili, asante sana for encouragement. Nitakutafuta.

Paskali
 
Mkuu Tokyo, usemayo ni kweli.
Sisi tulipoingia media miaka ile ya 90, the highest qualification ni Diploma. Entry ni IV ya points 31!. Vyou vilikuwa viwili tuu, TSJ na Nyegezi. Mass Media zilikuwa mbili tuu, Redio moja RTD na magazeti 2 daily, Daily New na Uhuru na matatu weekly Sunday News, Mzalendo na Mfanyakazi.

Sasa tumendelea tuna magazeti zaidi ya 100, redio zaidi ya 100, TV zaidi ya 50. Elimu hadi Ph.D vyuo zaidi ya 10. Hivyo we have the capacity and the means kuwa na strong media na strong journalists.

It was a joke then, now it's not a joke.

Paskali

Paskali,

Uandishi wa habari, investigative journalism, bado sana Bongo.

Wewe mwenyewe umeandika, una zaidi ya miaka 20 katika hii kazi lakini hujaweza kuandika kwa kufikiri kama mwandishi.

Makosa yako:

1. Poor analysis. (FREE speech is part of universal rights of all people. No permission is needed to practice it).

2. Poor research.(number of newspapers and TV stations in America and The UK).

3. Poor use of grammar in your articles.

Sasa, kama waandishi wa calibre yako wenye uzoefu wa miaka mingi sana wanafanya makosa kama hayo, unategemea tutakuwa na waandishi wa habari wa calibre ya Peter Jennings, Mishal Hussein, Dan Rather au Anderson Cooper lini?

Quantity of media outlets does not mean quality of journalism has improved.

That comes with good education and respect for basic human rights, something which we lack in Tanzania.

Kuna uoga na "self-censorship". Kuna ununuzi wa waandishi wa habari. Kuna tatizo katika elimu ya kusomesha waandishi wa habari ili wafikiri "analytically".
Kuna NJAA katika fani yako.

Hivyo vyote, vinasaidia kuita "journalism quality" ya Tanzania, kama ni ya utani.

So, yeah, it's a joke. I stand by my words.

I apologise if I offended you in any way, Pascal Mayalla. I'm trained to speak directly and honestly at all times. I never mince my words.
 
Ni Wivu gani huo juu ya alichonacho Makonda unaouzungumzia? Huyo disgraced RC Makonda ana kitu gani wanachokosa wengine hadi watu wamwonee wivu unaoupigia jaramba?
Yaani hapo ndipo unapojiingiza katika kundi la brown envelope journalists aka wachumia tumbo.
Jaribu kutafari maneno 3 katika fani ya uandishi
1. Integrity
2. Credibility
3. Objectivity

Ukiyazingatia hayo matatu yakuongoze utafanikiwa katika fani yako
Obrigado!
Mkuu "SHERRIF ARPAIO
Integrity ni weledi, mimi mweledi.
Credibility ni kuaminika, ninaaminika sana tuu .
Kwenye Objectivity niko very objective, tatizo wasomaji wengi wa jf wana uwezo mdogo kusoma in between the lines.
Kwa vile hii sio mada kuhusu Bashite, ukipata muda tembelea nyuzi hizi kama una level ya kiwango cha uelewa kuweza kusoma in between the lines vinginevyo utaishia chaka.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-ni-watu-wa-ajabu-sana-
wanamwaminije-gwajima-kuliko-rais-wao.1212636/

Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kila bandiko lina central message kuelekezwa kunakohusika.

Paskali
 
Sina shaka na waandishi...katika tasnia ya habari hakuna kitu kibaya kinachoua tasnia kama chombo cha habari kuwa biased.ukiangalia historia ya uandishi hasa kwenye magazeti utaona jinsi watu binafsi wananunua media houses kwa manufaa binafsi....nakumbuka gazeti la Rai lililokuwa limesheheni waandishi wabobezi na kutoa makala mbali mbali na habari matukio na kuaminika lakini likaja kuuzwa kwa matajiri...na hasa katika kipindi tulipokuwa tuna kasheshe na mambo ya Richmond...ipo mifano mingine kama jambo leo nk..lakini tatizo hapa tunakuwa na biased media zinazotoa wrong information kwa watu...na habari zote zinakuwa kama udaku...ni jambo la wazi kabisa magazeti ya ccm yatatoa habari kwa lengo la kuipa nguvu ccm au Tanzania Daima kwa upinzani na hasa Chadema...uandishi wa haya magazeti mimi kama msomaji nikiyasoma najua nitapata message gani....shida ni mhayo magazeti au vyombo vya habari vingine ambayo kwa mtazamo wa juu yanaonekana kama neutral kumbe yapo kwa sababu ya mtu au kikundi fulani....nilishtushwa na gazeti moja lilitoa habari kuhusu mmiliki wake ambaye alikuwa akituhumiwa kutenda kosa...na kutumia cover page yote kumsemea,kumtetea ,kuonesha kama kaonewa nk....this is irresponsible journalism
 
Mkuu "SHERRIF ARPAIO
Integrity ni weledi, mimi mweledi.
Credibility ni kuaminika, ninaaminika sana tuu .
Kwenye Objectivity niko very objective, tatizo wasomaji wengi wa jf wana uwezo mdogo kusoma in between the lines.
Kwa vile hii sio mada kuhusu Bashite, ukipata muda tembelea nyuzi hizi kama una level ya kiwango cha uelewa kuweza kusoma in between the lines vinginevyo utaishia chaka.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-ni-watu-wa-ajabu-sana-
wanamwaminije-gwajima-kuliko-rais-wao.1212636/

Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kila bandiko lina central message kuelekezwa kunakohusika.

Paskali

Mkuu Mayalla
Kwa uandishi huu bado una Safari ndefu sana
 
Waandishi wenyewe hawa akina sudi brown...
Mkuu Konsciouz, Sudi ni kipaji, na nadhani kwenye kusaka vipaji hapo ndipo Clouds inapopiga bao media nyingine na kuwa people's station kwa kuchukua vipaji from street hivyo kufanya vipindi vinavyo kusa nyonyo za watu.

Namkumbuka late Amina alizungusha shule Ruge akakibaini kipaji akampa nafasi akapaa. Sina uhakika kama watangazaji wake wamepiga shule ila Kibonde na Gardner shule ni hakuna ila vipaji vya hali ya juu. The same applies kwa Sudi naambiwa Shilawadu ndio the best TV program kwa sasa.

Paskali
 
Mkuu Tokyo kuna kitu kinaitwa nature, yaani asili, huwezi kushindana na asili yako.
Mfano African Man ni polygamous in nature. Mzungu katuletea dini yake yenye ile amri ya sita na mke mmoja mume mmoja. Maana yake usiivunje ile amri na uoe mke mmoja sealed! . Wangapi wanatekeleza hayo? .

Vivyo hivyo kwenye democracy, kuna democracy ya wazungu yenye kufuata misingi ya demokrasia na tuna African democracy ambayo udikiteta of some sort kwa wazungu, mfano Mugabe, Kagame, Museveni and the like ndio maana tunapendekeza tubadili katiba Magufuli aendelee. Chaguzi za rais ni wastage of time, ,money and resources.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
Mkuu Pascal,

Ndio maana nilikujibu kuwa hufanyi utafiti vizuri katika uandishi wako.

Mwaafrika sio pekee anaopenda kuoa zaidi ya mke mmoja.

Mfalme Henry wa VIII wa Uiingereza alikuwa na wake wengi vile vile.

Kuna wanaume wa majimbo ya Utah, USA, na British Columbia, Kanada, wameoa wake wengi na wanapigania haki yao na wamepeleka kesi isikikizwe mahakama kuu za nchi zao.

Kupiga kura sio "waste of resources".
Narudia, haki ya binadamu, ni haki ya kila mtu, haitegemei rangi ya ngozi.

Kutokana na elimu, njaa za wananchi, "exposure" ndogo, kubanwa kwa vyama vya upinzani, kuiba kura na nguvu za chama tawala za kutumia kila mbinu "kushinda", ndio maana utakuta bado tuna kina Mseveni na Mugabe wapo kwenye uongozi.

Kufikiri kuwa si lazima mtu mweusi kupiga kura au kuandaa kura ni kupoteza fedha za nchi, basi aidha utakuwa umenunuliwa na CCM au hujajifunza kitu chochote shuleni kuhusu umuhimu wa kuishi kidemokrasia na kuheshimu haki za binadamu.

Kwa bahati mbaya, kuna Watanzania wengi wana mawazo kama yako vijijini ambapo ndipo kura zilipo.

Ni jambo la kusikitisha sana.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali
Hakuna
 
Tanzania kuna waandika habari tu na hatuna waandishi wa habari. Tafakari kwa kina mkuu Pascal Mayalla
Mkuu
MeinKempf, Tanzania tunao wote
Watengeneza habari
Wasaka habari
Wabuni habari
Wapika habari
Watunga habari
Waandishi wa habari
Waandika habari
Maripota habari
Watayarishaji habari
Watangaza habari
Wasoma habari
Wapiga picha habari
Wachambuzi habari
Wasomaji wa habari
Watumiaji wa habari
Etc, etc
Paskali
 
Serikali yetu ikiamua kusikiliza itasikiliza yeyote awe strong au weakling. Hawana kanuni. Ila kwa sasa wameamua hawataki kusikiliza mkosoaji yeyote. Maneno ya Nape ni debe tupu, hakuna ukweli wowote.
Mkuu Utotole, let's be positive na maneno ya Nape.

Paskali
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali
Aisee mm naomba nikubal kuwa hatuna vyombo vilivyo strong wala waandish wa habar wanaofanya utafit...wandish wetu wa habar n either ccm ama ukawa...na vyombo vyetu vya habar pia vko hvyo...n either ccm ama ukawa...

Kwa mfano mawio, tanzania daima (ukawa haswaa). Wakat ccm ndo ving zaid...

Pascal kwa nn hujajiuliza nchi hii inaendeshwa kwa habar za udaku na matukio zaid....?

Bado safari ya Taifa hil n ndefu sana...maana kila kitu n politics...
 
Mkuu "SHERRIF ARPAIO
Integrity ni weledi, mimi mweledi.
Credibility ni kuaminika, ninaaminika sana tuu .
Kwenye Objectivity niko very objective, tatizo wasomaji wengi wa jf wana uwezo mdogo kusoma in between the lines.
Kwa vile hii sio mada kuhusu Bashite, ukipata muda tembelea nyuzi hizi kama una level ya kiwango cha uelewa kuweza kusoma in between the lines vinginevyo utaishia chaka.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-ni-watu-wa-ajabu-sana-
wanamwaminije-gwajima-kuliko-rais-wao.1212636/

Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kila bandiko lina central message kuelekezwa kunakohusika.

Paskali
 
Mkuu "SHERRIF ARPAIO
Integrity ni weledi, mimi mweledi.
Credibility ni kuaminika, ninaaminika sana tuu .
Kwenye Objectivity niko very objective, tatizo wasomaji wengi wa jf wana uwezo mdogo kusoma in between the lines.
Kwa vile hii sio mada kuhusu Bashite, ukipata muda tembelea nyuzi hizi kama una level ya kiwango cha uelewa kuweza kusoma in between the lines vinginevyo utaishia chaka.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-ni-watu-wa-ajabu-sana-
wanamwaminije-gwajima-kuliko-rais-wao.1212636/

Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kila bandiko lina central message kuelekezwa kunakohusika.

Paskali

Lakini, why should you embark on self-exaltation? Do you write solely to promote yourself or for a course? Of course, you will always be judged by your readers.
 
Back
Top Bottom