Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

Yaani ushirikina kwenda kuzimiwa mahali nayo ni heshima? Hayo matambiko ya karne ya 20 bado kuna watu wanayaendekeza karne hii!
Ahaaa, mbona unakuwa na chuki na Chato? Tangia lini mwenge ni ushirikina?
 
Tumia akili ya kawaida taa au kibatari huwashwa kwa kazi gani?

Taa huwashwa usiku kukiwa na giza, huo ushirikina mnaowasha mchana ni ili kumpumbaza nani? Bila kuitoa ccm madarakani kwa machafuko, hilo tambiko bovu la ccm litaendelea kunajisi hii nchi.
 
Taa huwashwa usiku kukiwa na giza, huo ushirikina mnaowasha mchana ni ili kumpumbaza nani? Bila kuitoa ccm madarakani kwa machafuko, hilo tambiko bovu la ccm litaendelea kunajisi hii nchi.
Mkuu acha kuchochea machafuko. Ule unawashwa mchana na usiku kumulika mengi.
 
Hauna faida yyt,
Zile perdiem, meal, diesel nk kama zingewekezwa kwenye miradi ingefaa sana.

Kuna miradi inazinduliwa na Mwenge hata diwani hawezi kuzindua kwa udogo (immaterial) ubora na umuhimu wake.
Sana sana wanaenda kuzindua pump ya maji ya kijiji kweli? mbaya zaidi kila halmshauri wanalala unakuta halmshauri nzima wana madarasa 2 na kisima cha maji kimoja. Over
 
Mkuu acha kuchochea machafuko. Ule unawashwa mchana na usiku kumulika mengi.

Ww ni mtu wa mashambani ambako bado ushirikina una nguvu, hivyo sioni ni kwa vipi utaacha kuamini ushirikina. Wanaccm walio kwenye mlo, na wajinga ndio huvutiwa na mwenge. Hakuna mtu ambaye sio mshirikina, na hayo makundi niliyotaja anayejua mwenge ni nini karne hii.
 
Mtu wa mashambani ni yupi? Mwenge na ushirikina wapi na wapi? Tumia akili acha kashfa.
 
Kwani budget ya shughuli za mwenge imekaaje?

Kwa anayefahamu atililike basi, ili tuanzie hapo!
Mfano katika District councils gharama za kukimbiza Mwenge ni za wilaya husika.
-Diesel kuzungukia wilaya na miradi kusudiwa
-Posho za wakimbiza mwenge na viongozi wengine wa kimkoa na wilaya,
-Accomodation+posho za wakimbiza mwenge na viongozi wa kimkoa na kiwilaya hasa wanapokiwa nje ya eneo la makazi yao
-Chakula kwa wote kuanzia day one wanapokuwa katika eneo husika.

Gharama zote hizi ni kutokana na michango inayokusanywa kwa wananchi, wafanyabiashara etc wa wilaya hiyo, wakati mwingine hata watumishi huchangishwa 1k-5k inategemea.

Roughfly inaweza gharimu 26M hadi 42M inategemea na ukubwa wilaya na umbali wa kila mradi utakaohusika.

Council huchangia kiasi kidogo kutoka kwenye own source collection zao mathalani in 26M budget unaeza kuta council ikaweka 2-4M.....

Mzigo mkubwa anabakiwa nao mwananchi wa kawaida...
 
Mtu wa mashambani ni yupi? Mwenge na ushirikina wapi na wapi? Tumia akili acha kashfa.

Nasema hivi, ww ni mtu wa mashambani anayeamini bado ushirikina, na mwenge ni tambiko chafu la ccm dhidi ya nchi hii fullstop.
 
Nasema hivi, ww ni mtu wa mashambani anayeamini bado ushirikina, na mwenge ni tambiko chafu la ccm dhidi ya nchi hii fullstop.
Kwa hiyo wewe kukaa Dar ndio unajiona borntown? Kumulika mipaka na ndani ya nchi ndio tambiko?
 
Mfano katika District councils gharama za kukimbiza mwenge ni za wikaya husika kwa maana ya diesel kuzungukia wilaya husika, posho za wakimbiza mwenge, accomodation, meals ni za michango inayokusanywa kwa wananchi, wafanyabiashara etc wa wilaya hiyo. Wakati mwingine hata watumishi huchangishwa 1k-5k inategemea.

Kwa mfano ninaweza gharimu 26M hadi 42M inategemea na ukubwa wilaya.

Council huchangia kiasi kidogo kutoka kwenye own source collection zao.
Kwa namna ulivyochambua na kuelezea, gharama ya kuendesha shughuli hizo za mwenge zimeangushwa kwa wananchi.
Kulingana na hali harisi ya uchumi tulionao unaosemekana ni wa Kati, nadhan tufikie mahala suala la mwenge liondolewe tu, maana kwa akili ya kawaida hata Kama mwenge una faida, sidhani Kama tutapata hasara tukiutupilia mbali ili tuokoe matumizi yasiyo ya lazima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom