Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,947
Usisambaze wala kupost taarifa ambayo hujaithibitisha. Hao wahusika wote ulowataja hapo juu Bodi ya Ligi, Simba na Yanga wote wana official sites, websites au hata social network accounts ambako ndo ulitakiwa kuanzia huko kuthibitisha then ndo uje kupost. Haraka ya nini?! Lengo ni kuonekana wa kwanza kupost afu umepost uongo na upotoshaji?!