Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,742
7,697
Takribani Wachezaji wa 4 wa Al Ahly kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,

Wachezaji hao ni
Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim

Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya hivi karibuni vya Horoya na Jwaneng.

20240323_095001.jpg
 
Dah ukilewa au ukivuta bangi usi comment, angalia ulichoweka. Final score 3:0 halafu kwenye info kuna magoli mawili kwa Simba na kadi nyekundu kwa Chama huku Al Ahly ukawapa goli moja kwenye info
Acha kukurupuka na wewe kama kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa,huoni kwamba hilo goli la El shanawy ni own goal🤔🤔
 
Hao sio Medeama ndugu yangu.

Kushinda hiyo mechi sio rahisi kama unavyodhani.
Unakumbuka uliongea nini kuhusu Belouizdad dhidi ya Yanga na nini kikatokea? Upe mpira heshima yake, ni mchezo usiotabirika
 
Unakumbuka uliongea nini kuhusu Belouizdad dhidi ya Yanga na nini kikatokea? Upe mpira heshima yake, ni mchezo usiotabirika
Unafikiri bahati ya asilimia 1 ndio yakunifanya niache kuongea ukweli kuwa mwenye 99 anauhakika wa kushinda?
 
Takribani Wachezaji wa 4 wa Al ahly Kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,

Wachezaji hao ni

Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim

Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya hivi karibuni vya horoya na jwanengView attachment 2942386
HATUDANGANYIKI
 
Unafikiri bahati ya asilimia 1 ndio yakunifanya niache kuongea ukweli kuwa mwenye 99 anauhakika wa kushinda?
Wewe ni mganga au ni Mungu unayejua kuwa Mamelod wana asilimia 99 ya kushinda? Au wewe ndio unayecheza uwanjani?
 
Takribani Wachezaji wa 4 wa Al ahly Kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,

Wachezaji hao ni

Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim

Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya hivi karibuni vya horoya na jwanengView attachment 2942386
Huyu aliambiwa ajifanye kaumia
 
Wewe ni mganga au ni Mungu unayejua kuwa Mamelod wana asilimia 99 ya kushinda? Au wewe ndio unayecheza uwanjani?
Kwenye football Siku zote timu bora ndio inayopewa nafasi kubwa.

Mamelody ni timu bora dhidi ya Yanga. Karata ya ushindi lazima iende upande wa Mamelody.
 
Kwenye football Siku zote timu bora ndio inayopewa nafasi kubwa.

Mamelody ni timu bora dhidi ya Yanga. Karata ya ushindi lazima iende upande wa Mamelody.
Haya njoo na list ya makapuni ya kubeti iliyothubutu kumpa Mamelod asilimia kubwa ya ushindi mbele ya Yanga.
 
Back
Top Bottom