Mechanical engineers wa Tanzania wana msaada gani kwa nchi?

Haya mainjinia ingieni MAABAR mutengenezeVENTILLATORS
Uwezo watautoa wapi wakati hata ndoo za kunawia hawawezi kutengeneza tunatengeneza sisi ambao hatuna vyeti vya uhandisi.Mfano kuna jamaa kagundua njia salama ya kunawa kwa kutengeneza mtambo bora. Huenda hata hana elimu ya uhandisi bali ni kijana wa mtaani tu mwenye ujuzi wake. Ngoja nimfuatilie ili niwe na uhakika zaidi.
 
CCM NDIO TATIZO, du! Kwa mawazo haya tutafika kweli

Hii mada ipo juu ya uwezo wa akili yako kiasi kwamba hujuwi kwanini

1. Tunalipa kodi

2. Tunakuwa na vipaumbele vya taifa

3. Tunakuwa na bajeti kukidhi vipumbele ambavyo tumechaguwa tukajadili nakupitisha kama chama tawala kwa wingi bungeni..ccm

4. Kwanini tuna chama tawala ccm, kazi zake ni nini kwa watanzania, kinafaidagani katika kutuongoza hususani mrejesho ya kodi zetu?
Nk nk nk

Akili za hovyohovyo hukurupuka nakujadili mambo mazito kimhemko bila staha, uelewa wala subra
 
Uwezo watautoa wapi wakati hata ndoo za kunawia hawawezi kutengeneza tunatengeneza sisi ambao hatuna vyeti vya uhandisi.Mfano kuna jamaa kagundua njia salama ya kunawa kwa kutengeneza mtambo bora. Huenda hata hana elimu ya uhandisi bali ni kijana wa mtaani tu mwenye ujuzi wake. Ngoja nimfuatilie ili niwe na uhakika zaidi.

Kwa haraka haraka anaweza kutengeneza ngapi kwa siku na ananunua bei gani kila moja kabla ya kutengeneza
 
Toa hoja mkuu ni kwanini watu wa kada hii wamekuwa useless wakati wengi wao serikali iliwapa mikopo kuhakikisha wanakuwa tija kwa taifa letu. Lakini leo hii wamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa sababu jamii inazalisha incompetent engineers ambao hata penseli hawajui kutengeneza.

Siyo dharau but the truth must bed told.

Hakuna haja ya kuwafumbia macho.

Lazima niwaeleze ukweli hata kama mtaumia ila you gonna change your mind.

Hizo ventilators wanatengenezea P*mbu zako?? Acha dharau wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa hoja mkuu ni kwanini watu wa kada hii wamekuwa useless wakati wengi wao serikali iliwapa mikopo kuhakikisha wanakuwa tija kwa taifa letu. Lakini leo hii wamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa sababu jamii inazalisha incompetent engineers ambao hata penseli hawajui kutengeneza.

Siyo dharau but the truth must bed told.

Hakuna haja ya kuwafumbia macho.

Lazima niwaeleze ukweli hata kama mtaumia ila you gonna change your mind.

Jana nimekuuliza maswali yote hujayajibu

Nasubiri majibu au niyarudie tena umemsahau?
 
Toa hoja mkuu ni kwanini watu wa kada hii wamekuwa useless wakati wengi wao serikali iliwapa mikopo kuhakikisha wanakuwa tija kwa taifa letu. Lakini leo hii wamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa sababu jamii inazalisha incompetent engineers ambao hata penseli hawajui kutengeneza.

Siyo dharau but the truth must bed told.

Hakuna haja ya kuwafumbia macho.

Lazima niwaeleze ukweli hata kama mtaumia ila you gonna change your mind.
Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?

Pamoja na kuipaka rangi hiyo fani ya ulawyer lkn eneo la UDSM kuna mjanja kawapiga eneo la Mlimani city kuanzia wanafunzi mpaka Maprofesa hawaelewi walisaini nini,sasa huo unoble unaupima kwa nini?

Kesi kibao kubwa za serikali na makampuni makubwa tunashindwa mahakamani huo unoble unaupima kwa nini?

Hiyo accountants inafanya vizuri wapi?Hela kibao kwenye taasisi binafsi na mashirika ya uma zinapigwa na kama hujui accountants kazi zao zitaanza kufanywa na Maprogrammer ambao hawa unawaponda wewe watu wa Computer Science,Computer Engineer,Software Engineer ,Bussines Information System nk na wanafanya hivi sababu kurahisisha ukaguzi nakupunguza upotevu wa hela.

Engineer watanzania unamlaumu je umemuwekea mazingira gani?

Kuna mainjinia kibao nje ya nchi O level na A level wamesoma Tanzania ila Degree wamesomea nje na wanafanya mambo makubwa mf kuna Mtanzania yupo Boing USA kasoma Azania na Ilboru so husiwalaumu mainjinia wa Tanzania kwani mazingira yenyewe mabovu.

Hebu watembelee wanafunzi wa Engineering ambao wapo mwaka wa mwisho wanao andaa hizi projects zao,waulize bajeti zao kiasi gani na serikali wamewapa kiasi gani? na projects zao wanafanya kwenye mazingira gani?

Alafu jaribu kusearch USA au nchi yoyote iliyopiga hatua alafu angalia miundo mbinu na wanafunzi wao wa Engineering wanapewa kiasi gani kwa projects zao wanazozifanya mwaka wa mwisho,ndipo utagundua elimu yetu na yao mbingu na ardhi.

Tanzania kuna watu wa Historia lkn vumbuzi zote za historia za masalia ya kale wamefanya wazungu toka nje,vipi hawa nao vilaza au hawajui?Mwisho wa siku tumekubali na kuamini KWAMBA MWAFRIKA KATOKANA NA NYANI.Wanashindwa kukanusha hata hii statements ya unyani inayotukandamiza Africa.Mpaka historia yetu imeandikwa na wazungu mpaka baadhi ya mafuvu ya machifu wetu wameyachukua na kuyaweka katika majumba yao ya makumbusho ulaya huko.Tuna makabila zaidi ya 126,lkn hamna hata kabila moja historia yake imeandikwa na kuelezewa in deep na wanahistoria wa Tanzania ,tunarukia rukia historia za watu mara Vasco Dagama,mara sijui nani,tumewasahau machifu wa Wazaramo,Wamatumbi,Wandengereko,Wagogo,Wapogoro nk.

Unawakejeli mainjinia na madokta lkn ukiumwa hawa ndio wanakutibu,sometimes una surrender mpaka kalio lako kuchomwa sindano,unawakejeli mainjinia lkn bado unapita kwenye barabara waluzotengeneza wao ,unatumia simu ambayo miundo mbinu yao baadhi imekuwa designed na kuwa maintained na wao.
 
Kwa haraka haraka anaweza kutengeneza ngapi kwa siku na ananunua bei gani kila moja kabla ya kutengeneza
Ingia twitter utaona Demo na utaona anavyotangaza bidhaa zake.
Anazo nyingi mkuu. Ni ubunifu mkubwa sana ambao umetumia teknolojia rahisi.
kwa bei ya rejareja anauza Tshs 95000/=, bei ya jumla ni Tshs 75000/=
 
Umasikini mmbaya sana jmn acha tu.

Mtu unasoma kwa uchungu apo apo anawaza ajira, hamna anae soma masomo magumu ana maisha mazur kama MO, wengi ni wa maisha ya chini na kati.

Kwa hiyo wote tunakariri madesa plus Module ili tunufaishe tumbo zetu na sio ugunduzi kwenye majanga kama haya
 
Ingia twitter utaona Demo na utaona anavyotangaza bidhaa zake.
Anazo nyingi mkuu. Ni ubunifu mkubwa sana ambao umetumia teknolojia rahisi.
kwa bei ya rejareja anauza Tshs 95000/=, bei ya jumla ni Tshs 75000/=

Tsh 95000
Unafaham kipato cha mtanzania wa kawaida ili aishi kwa siku?

Unadhani watanunua wangapi? Yule anayepata Wastani wa dollar 1 kwa siku?

Hapo ndipo tunawaambia hizi mambo government has to subsidise to make things happen/affordable.... ila kwa vile mnaakili za panzi you guys hamuwezi kuona tunajadili nini at far end
 
Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.

1. Unafaham bei ya lathe machine moja japo ndogo tu ?

2. Unafaham mechanica workshop ndogo kabisa ya utafiti inapaswa kuwa na machine ngapi na za aina gani? How much it cost at optimal cost?

3. Unafaham unahitaji initial cost kiasi gani kucover design systems /facilities

Ukielewa hizi limiting factors utaelewa kwani serikali inatajwa
 
Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.

expand...
Hebu nikuulize maswali madogo sana mawili

1. Mataala wetu wa Elimu kumundaa kijana kujiandaa kujiajili kwa fani anayosomea umekaaje?

2. Unaweza kuniambia factors za ushindani wa mahitaji kwa mteja na masoko kwenye soko huria?

Jadili haya maswali mawili kulingana na hoja yako. Labda utanielewa naongelea nini ninaposema capital na sera wazeshi kimkakati za serikali.

Kumbuka sipo hapa kushindana ikiwa hunielewi basi ndio matokeo ya ubishi bila hoja.
 
Habari wanaJF?

Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?

Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19 ambapo tunatakiwa tuwe na vifaa vya kutosha kama VENTILATORS. Cha kushangaza hawa wenye ujuzi wao wamekaa tu na vyeti vyao badala ya kuingia maabara kutengeneza hivi vifaa ili kusaidia watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa COrona.

Nyie ni watu wa aina gani? kwanini mnataka tuagize hivi vifaa huko nchi za nje wakati tuna wataalamu wanakula mishahara ya bure? changamkeni acheni uzwazwa wa kulalalia mavyeti yenu.
kwanini mnapenda kuwa nyuma na kujifananisha na watu waliosoma Political Science?

Hakika aliyesoma Political Science au Sociology nchini Tanzania ana msaada mkubwa sana kuliko engineers na doctors.

Kweli elimu siyo vyeti, elimu ni kile ulichonacho kichwani mwako.

Karibuni kwa michango wakuu,

Ahsanteni.
Hawana mtaji
 
Someni fani zote mwishoni mtarudi tu kwenye IT angalau kupata mlo wa siku
 
Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?

Pamoja na kuipaka rangi hiyo fani ya ulawyer lkn eneo la UDSM kuna mjanja kawapiga eneo la Mlimani city kuanzia wanafunzi mpaka Maprofesa hawaelewi walisaini nini,sasa huo unoble unaupima kwa nini?

Kesi kibao kubwa za serikali na makampuni makubwa tunashindwa mahakamani huo unoble unaupima kwa nini?

Hiyo accountants inafanya vizuri wapi?Hela kibao kwenye taasisi binafsi na mashirika ya uma zinapigwa na kama hujui accountants kazi zao zitaanza kufanywa na Maprogrammer ambao hawa unawaponda wewe watu wa Computer Science,Computer Engineer,Software Engineer ,Bussines Information System nk na wanafanya hivi sababu kurahisisha ukaguzi nakupunguza upotevu wa hela.

Engineer watanzania unamlaumu je umemuwekea mazingira gani?

Kuna mainjinia kibao nje ya nchi O level na A level wamesoma Tanzania ila Degree wamesomea nje na wanafanya mambo makubwa mf kuna Mtanzania yupo Boing USA kasoma Azania na Ilboru so husiwalaumu mainjinia wa Tanzania kwani mazingira yenyewe mabovu.

Hebu watembelee wanafunzi wa Engineering ambao wapo mwaka wa mwisho wanao andaa hizi projects zao,waulize bajeti zao kiasi gani na serikali wamewapa kiasi gani? na projects zao wanafanya kwenye mazingira gani?

Alafu jaribu kusearch USA au nchi yoyote iliyopiga hatua alafu angalia miundo mbinu na wanafunzi wao wa Engineering wanapewa kiasi gani kwa projects zao wanazozifanya mwaka wa mwisho,ndipo utagundua elimu yetu na yao mbingu na ardhi.

Tanzania kuna watu wa Historia lkn vumbuzi zote za historia za masalia ya kale wamefanya wazungu toka nje,vipi hawa nao vilaza au hawajui?Mwisho wa siku tumekubali na kuamini KWAMBA MWAFRIKA KATOKANA NA NYANI.Wanashindwa kukanusha hata hii statements ya unyani inayotukandamiza Africa.Mpaka historia yetu imeandikwa na wazungu mpaka baadhi ya mafuvu ya machifu wetu wameyachukua na kuyaweka katika majumba yao ya makumbusho ulaya huko.Tuna makabila zaidi ya 126,lkn hamna hata kabila moja historia yake imeandikwa na kuelezewa in deep na wanahistoria wa Tanzania ,tunarukia rukia historia za watu mara Vasco Dagama,mara sijui nani,tumewasahau machifu wa Wazaramo,Wamatumbi,Wandengereko,Wagogo,Wapogoro nk.

Unawakejeli mainjinia na madokta lkn ukiumwa hawa ndio wanakutibu,sometimes una surrender mpaka kalio lako kuchomwa sindano,unawakejeli mainjinia lkn bado unapita kwenye barabara waluzotengeneza wao ,unatumia simu ambayo miundo mbinu yao baadhi imekuwa designed na kuwa maintained na wao.

Kwanza, sipo kwa ajili ya kukejeli taaluma ya mtu hapa bali kukumbushana tu kwamba hata kama uwezo wa kufanya mambo makubwa hawana kwa sababu ya mtaji n.k basi waoneshe ujuzi wao hata kwa kutengeneza vifaa ambavyo havihitaji mitaji mikubwa sana.

Pili, scope ya uzi huu ni wahandisi waliosoma nchini Tanzani tu. Wahandisi hao siyo competent, hawana soko hata kidogo. Kama wana uwezo kwanini msiuoneshe katika mambo madogo tu ambayo hayahitaji mtaji mkubwa?

Tatu, msomi ushindwe kutengeneza mazingira yako mwenyewe unasubiri serikali ndiyo ikutengeneze na ikupe ujuzi. Si ndiyo? we have to change our mind. Uwezo na ujuzi ni mtaji tosha kabisa. na ukionesha uwezo na ujuzi hakika Dunia itakusapoti.

Nne, Wahandisi wa U.S walianza kuonesha uwezo wao ndipo serikali ikaamua kuwawasapoti kutokana na jitihada zao.
 
Back
Top Bottom