hahahahahahhh. Whatever Mkuu.Mkuu, naona leo umenigusa kwenye kilindi cha moyo wangu. Lakini bahatimbaya sana sijaelewa ama nahisi umechanganya mambo mbili zinazo shabihiana.
Kwani ulitaka kumaanisha Ventilations ama Oxygen..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay. You have to change your mind. Una shahada ya uhandisi/udaktari/Phamasia lakini bado huna msaada ila wataalamu wote tunaenda kuwachukua nje ya nchi kutusaidia mambo nchini.Basi na nyie watu wa sociology muanze kuwabeba wagonjwa hata mgongoni jamani, kuliko kuendelea kukoleza lawama kwa mainjinia, madaktari na pharmacists, tusaidiane kubeba lawama..
Kumbe wataalamu waliopo huko wametolewa nje ya nchi? kumbe hii nchi ina fweza sana. Inaajiri wataalamu kutoka nje ya nchi! vipi nyie magwini hata kubembeleza wagonjwa mgongoni na kuwa peti peti hamuwezi, mnataka scientists ndo wasugue vichwa peke yao, punguzeni lawama...Okay. You have to change your mind. Una shahada ya uhandisi/udaktari/Phamasia lakini bado huna msaada ila wataalamu wote tunaenda kuwachukua nje ya nchi kutusaidia mambo nchini.
Unaweza kuzitaja hizo KADA nyingine ambazo zinafanya vizuri?hahahahahahhh. Whatever Mkuu.
Mkuu inaniuma sana kuona mainjinia hapa Tz ni wa hovyo sana wakati kada zingine zinafanya vizuri na wanatumia elimu yao vizuri.
Kwanza, ulichokisema hakinishawishi hata kidogo mkuu. Uwezo na ujuzi wako ni mtaji tosha kabisa. Show your ability/skills the world will support you. Sasa jitu linakaa ndani na kulalia mavyeti yake. haliwezi hata kuweka ujuzi wake into practice ila anapambna na theories tu ambazo hazina manufaa yoyote.
Pili, unaposema utayari wa serikali unamaanisha nini? kama wewe haupo tayari kuonesha ujuzi na uwezo wako kivipi serikali itakuwa tayari na wewe?
Tatu, Umesoma taaluma ya Uhandisi, Udaktari/Phamsia bado unataka uajiriwe? huo ni uoga wa maisha na uzwazwa na kutokuamini uwezo na ujuzi wako ulioupata huko mshuleni. Smart and intelligent people cannot be employed kwa sababu hawatakuwa huru kuonesha uwezo na ujuzi wao na ndiyo maana huwa wanataka wawe huru na siyo kutumikishwa.
Nne, sitaki uje na lame excuse kwamba mfumo wa elimu yetu mbaya. Kama mfumo mbaya ulienda shule ili iweje? ulienda kupoteza muda wako au? Maana ya mtu msomi ni kwamba ukishapata maarifa yatumie vyema kuisaidia jamii, rekebisha na kuyaweka sawa yale mambo ambayo hayko sawa.
Tano, ukiona msomi mwenye shahada ya uhandisi, Udaktari n.k analalamika kuhusu mfumo wa elimu tambua kwamba wewe bado ni mjinga wa kutupwa na ulienda shule kupoteza muda wako huko shuleni kusoma kitu ambacho hakikusaidii.
Hahahahhhhh! siyo lawama bali ni ukweli mtupu ambao ukiufanyia kazi unaweza ukafika mbali na ukakusaidia.Kumbe wataalamu waliopo huko wametolewa nje ya nchi? kumbe hii nchi ina fweza sana. Inaajiri wataalamu kutoka nje ya nchi! vipi nyie magwini hata kubembeleza wagonjwa mgongoni na kuwa peti peti hamuwezi, mnataka scientists ndo wasugue vichwa peke yao, punguzeni lawama...
Dah umekumbusha wakati nipo DIT, wanafunzi wa mechanical engineers wazee wa vyuma, dah kifupi ni kukalili madesa na kupata cheti tu basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhhhh! siyo lawama bali ni ukweli mtupu ambao ukiufanyia kazi unaweza ukafika mbali na ukakusaidia.
Sijasema kuwa serikali inaajiri watu bali makampuni makubwa yanayojihusisha na viwanda, phamacy au hospital kubwa kama Regency, Aga khan huwa naona wafanyakazi wao ni kutoka nje ya nchi. Pia huwa wanaona wanavyoomba Work permit, Residence permit kwa ajili ya experts wao. Huu ni ushahidi mojawapo kwamba hawatuamini sisi watanzania licha ya kuwa na elimu kubwa. Pia huwa naona mtu wa india/Cuba mwenye Diploma ana uelewa mkubwa sana kuliko daktari,injinia, phamasia wa Tanzania mwenye PHD yake.
Okay. Ingawa sina uhakika na unlichokiongea. So I need evidence to prove your allegations.kuna wabongo wengi wamesoma vyuo vya hapa TZ kozi hizo hizo lkn wapo mambele huko wanafanya maajabu ktk nyanja mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wabongo wengi wamesoma vyuo vya hapa TZ kozi hizo hizo lkn wapo mambele huko wanafanya maajabu ktk nyanja mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay. Ingawa sina uhakika na unlichokiongea. So I need evidence to prove your allegations.
Ujumbe wangu ni kwa wale ambao wamefunga ubongo wao na hawataki kuufungua ili kufanya maajabu.
Habari wanaJF?
Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?
Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19 ambapo tunatakiwa tuwe na vifaa vya kutosha kama VENTILATORS. Cha kushangaza hawa wenye ujuzi wao wamekaa tu na vyeti vyao badala ya kuingia maabara kutengeneza hivi vifaa ili kusaidia watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa COrona.
Nyie ni watu wa aina gani? kwanini mnataka tuagize hivi vifaa huko nchi za nje wakati tuna wataalamu wanakula mishahara ya bure? changamkeni acheni uzwazwa wa kulalalia mavyeti yenu.
kwanini mnapenda kuwa nyuma na kujifananisha na watu waliosoma Political Science?
Hakika aliyesoma Political Science au Sociology nchini Tanzania ana msaada mkubwa sana kuliko engineers na doctors.
Kweli elimu siyo vyeti, elimu ni kile ulichonacho kichwani mwako.
Karibuni kwa michango wakuu,
Ahsanteni.
Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
Dah umekumbusha wakati nipo DIT, wanafunzi wa mechanical engineers wazee wa vyuma, dah kifupi ni kukalili madesa na kupata cheti tu basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
Walisomea sifa na sio kwamba walisoma ili waje kutukomboa kwenye majanga Kama haya