Mechanical engineers wa Tanzania wana msaada gani kwa nchi?

Mechanical engineers wa Tanzania wana msaada gani kwa nchi?

Huwezi kupuuza na kudharau ama kudhalilisha watu bila proper foundation otherwise hujitambuwi
Jenga hoja mkuu.

Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.

Just prove me wrong.
 
Kama ndiyo hivyo kwanini nini sasa upoteze muda wote huo mkuu kusoma nadharia ambayo haina manufaa? unajiita mhandisi/daktari/phamasia wakati hujui hata kutengeneza penseli, huna uwezo wa kugundua hata chanjo ya COVID19, hujui hata kutengeneza dawa ya kutibu COVID19.

Mnajidanganya sana. Nani kasema haviwezi kutengenezwa?
In essence what was lacking is good policies to protect local production of things.
We despise our local engineers, and yet they do wonders everywhere they go
 
Jenga hoja mkuu.

Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.

Just prove me wrong.

Umemijibu nini👇
Hebu nikuulize maswali madogo sana mawili

1. Mataala wetu wa Elimu kumundaa kijana kujiandaa kujiajili kwa fani anayosomea umekaaje?

2. Unaweza kuniambia factors za ushindani wa mahitaji kwa mteja na masoko kwenye soko huria?

Jadili haya maswali mawili kulingana na hoja yako. Labda utanielewa naongelea nini ninaposema capital na sera wazeshi kimkakati za serikali.

Kumbuka sipo hapa kushindana ikiwa hunielewi basi ndio matokeo ya ubishi bila hoja.
[/QUOTE
 
Jenga hoja mkuu.

Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.

Just prove me wrong.

Ukijibu ndio huko nakuprove wrong 👇

1. Naomba uweke hapa ratio ya wageni vs wazawa viwanda vifutavyo

A) Tanga cement

B) mbeya cement

C) Atlascopco

D) Geita gold mine

2. IP reference yako kusema hayo unayoyasema by company names
 
1. Tulishinda kule SA farmers kwa kutumia wanasheria mahiri wa serikali.

2. Wakati wa ukoloni Nyerere alishitakiwa kwa kosa la uhaini na mwisho wa siku alishinda kesi kwa sababu aliwajiri mawakili mahiri wa kujitegemea na ikapelekea kuanzisha na kuruhusu PRIVATE PRACTITIONER ATTORNEYS/ADVOCATES eg. Tundu Lissu, Mabere Marando, Lamwai, Fatuma karume, Kibatala etc.

3. Negotiation iliyofanywa na waziri wa mambo ya nje mpaka imeleta matunda ya kugawana faida 50/50

4. Kesi ya Malawi vs. Tanzania ICJ tulishinda kupitia mawakili wetu mahiri wa serikali. (Ulikuwa hujazaliwa)

Kesho nitaendeleza mkuu. Nimechoka so nahitaji kupumzisha akili.


Are you sure?
Kwanini tumekuwa na
1. Makosa mengi ya kitaalamu zingatia CAG report.

2. Tupatie mifano sahihi kesi 10 tulizoshinda kimataifa huko nje tuposhitaki ama kushitakiwa?



Nitaendelea nijibu kwanza haya
 
Jenga hoja mkuu.

Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.

Just prove me wrong.

1. Unafaham bei ya lathe machine moja japo ndogo tu ?

2. Unafaham mechanica workshop ndogo kabisa ya utafiti inapaswa kuwa na machine ngapi na za aina gani? How much it cost at optimal cost?

3. Unafaham unahitaji initial cost kiasi gani kucover design systems /facilities

Ukielewa hizi limiting factors utaelewa kwani serikali inatajwa.
 
Habari wanaJF?

Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?

Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19 ambapo tunatakiwa tuwe na vifaa vya kutosha kama VENTILATORS. Cha kushangaza hawa wenye ujuzi wao wamekaa tu na vyeti vyao badala ya kuingia maabara kutengeneza hivi vifaa ili kusaidia watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa COrona.

Nyie ni watu wa aina gani? kwanini mnataka tuagize hivi vifaa huko nchi za nje wakati tuna wataalamu wanakula mishahara ya bure? changamkeni acheni uzwazwa wa kulalalia mavyeti yenu.
kwanini mnapenda kuwa nyuma na kujifananisha na watu waliosoma Political Science?

Hakika aliyesoma Political Science au Sociology nchini Tanzania ana msaada mkubwa sana kuliko engineers na doctors.

Kweli elimu siyo vyeti, elimu ni kile ulichonacho kichwani mwako.


Karibuni kwa michango wakuu,

Ahsanteni.
Kwanini na wewe ukusoma hio Engineering ama doctors ukasaidia nchi?wewe ni ngwini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maabara za.mechanical Engineering zinapatikana wapi?
Waswahili wanasema usione vyaelea, vimeundwa. Kama hakuna guidance ya kuwafanya wawe motivated, kwanini wasihamie fani nyingine? Mechanical engineers wengi wamekuwa sales people, software people and some do not know even what they do for living.
And yet, industrialisation cant happen without these people
Wamekuwa sales people?

Mkuu maabara ni sehemu yoyote ambayo unaweza kufanya mazoezi kwa vitendo.

Nani akufanye uwe motivated if you don't show what you have? show your skills the world will support you.
 
1. Tulishinda kule SA farmers kwa kutumia wanasheria mahiri wa serikali.

Wewe ndugu uelewa wako ni zero
Hii ilijirudia Canada na tumelipa a lot

2. Wakati wa ukoloni Nyerere alishitakiwa kwa kosa la uhaini na mwisho wa siku alishinda kesi kwa sababu aliwajiri mawakili mahiri wa kujitegemea na ikapelekea kuanzisha na kuruhusu PRIVATE PRACTITIONER

ATTORNEYS/ADVOCATES eg. Tundu Lissu, Mabere Marando, Lamwai, Fatuma karume, Kibatala

Unaongelea wakati wa mkoloni? Je mada yako hii inaongelea current situation au history?


3. Negotiation iliyofanywa na waziri wa mambo ya nje mpaka imeleta matunda ya kugawana faida 50/50

Uko na Elimu gani? Kesi huwa negotiations?

Ulielewa swali? Kabla huja jibu understand the question

Usitupotezee muda very low
 
Mimi binafsi serikali ilivyotangaza na kukazia watu kutumia sanitizers nilikuja na wazo la kutengeneza ndoo ya maji ambayo itakuwa na sensors pindi mtu akitaka kunawa sabuni itatoka bila kufungua na pia akiweka mkoni kwenye bomba maji yatatoka bila kufungua hii ingesaidia sana kutokuchukua baadhi ya vimelea wakati wa kufunga bomba nia yangu nili aim taasisi kubwa kubwa ila shida challenges ni nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?

Pamoja na kuipaka rangi hiyo fani ya ulawyer lkn eneo la UDSM kuna mjanja kawapiga eneo la Mlimani city kuanzia wanafunzi mpaka Maprofesa hawaelewi walisaini nini,sasa huo unoble unaupima kwa nini?

Kesi kibao kubwa za serikali na makampuni makubwa tunashindwa mahakamani huo unoble unaupima kwa nini?

Hiyo accountants inafanya vizuri wapi?Hela kibao kwenye taasisi binafsi na mashirika ya uma zinapigwa na kama hujui accountants kazi zao zitaanza kufanywa na Maprogrammer ambao hawa unawaponda wewe watu wa Computer Science,Computer Engineer,Software Engineer ,Bussines Information System nk na wanafanya hivi sababu kurahisisha ukaguzi nakupunguza upotevu wa hela.

Engineer watanzania unamlaumu je umemuwekea mazingira gani?

Kuna mainjinia kibao nje ya nchi O level na A level wamesoma Tanzania ila Degree wamesomea nje na wanafanya mambo makubwa mf kuna Mtanzania yupo Boing USA kasoma Azania na Ilboru so husiwalaumu mainjinia wa Tanzania kwani mazingira yenyewe mabovu.

Hebu watembelee wanafunzi wa Engineering ambao wapo mwaka wa mwisho wanao andaa hizi projects zao,waulize bajeti zao kiasi gani na serikali wamewapa kiasi gani? na projects zao wanafanya kwenye mazingira gani?

Alafu jaribu kusearch USA au nchi yoyote iliyopiga hatua alafu angalia miundo mbinu na wanafunzi wao wa Engineering wanapewa kiasi gani kwa projects zao wanazozifanya mwaka wa mwisho,ndipo utagundua elimu yetu na yao mbingu na ardhi.

Tanzania kuna watu wa Historia lkn vumbuzi zote za historia za masalia ya kale wamefanya wazungu toka nje,vipi hawa nao vilaza au hawajui?Mwisho wa siku tumekubali na kuamini KWAMBA MWAFRIKA KATOKANA NA NYANI.Wanashindwa kukanusha hata hii statements ya unyani inayotukandamiza Africa.Mpaka historia yetu imeandikwa na wazungu mpaka baadhi ya mafuvu ya machifu wetu wameyachukua na kuyaweka katika majumba yao ya makumbusho ulaya huko.Tuna makabila zaidi ya 126,lkn hamna hata kabila moja historia yake imeandikwa na kuelezewa in deep na wanahistoria wa Tanzania ,tunarukia rukia historia za watu mara Vasco Dagama,mara sijui nani,tumewasahau machifu wa Wazaramo,Wamatumbi,Wandengereko,Wagogo,Wapogoro nk.

Unawakejeli mainjinia na madokta lkn ukiumwa hawa ndio wanakutibu,sometimes una surrender mpaka kalio lako kuchomwa sindano,unawakejeli mainjinia lkn bado unapita kwenye barabara waluzotengeneza wao ,unatumia simu ambayo miundo mbinu yao baadhi imekuwa designed na kuwa maintained na wao.
 
Kwanza, ulichokisema hakinishawishi hata kidogo mkuu. Uwezo na ujuzi wako ni mtaji tosha kabisa. Show your ability/skills the world will support you. Sasa jitu linakaa ndani na kulalia mavyeti yake. haliwezi hata kuweka ujuzi wake into practice ila anapambna na theories tu ambazo hazina manufaa yoyote.

Pili, unaposema utayari wa serikali unamaanisha nini? kama wewe haupo tayari kuonesha ujuzi na uwezo wako kivipi serikali itakuwa tayari na wewe?

Tatu, Umesoma taaluma ya Uhandisi, Udaktari/Phamsia bado unataka uajiriwe? huo ni uoga wa maisha na uzwazwa na kutokuamini uwezo na ujuzi wako ulioupata huko mshuleni. Smart and intelligent people cannot be employed kwa sababu hawatakuwa huru kuonesha uwezo na ujuzi wao na ndiyo maana huwa wanataka wawe huru na siyo kutumikishwa.

Nne, sitaki uje na lame excuse kwamba mfumo wa elimu yetu mbaya. Kama mfumo mbaya ulienda shule ili iweje? ulienda kupoteza muda wako au? Maana ya mtu msomi ni kwamba ukishapata maarifa yatumie vyema kuisaidia jamii, rekebisha na kuyaweka sawa yale mambo ambayo hayko sawa.

Tano, ukiona msomi mwenye shahada ya uhandisi, Udaktari n.k analalamika kuhusu mfumo wa elimu tambua kwamba wewe bado ni mjinga wa kutupwa na ulienda shule kupoteza muda wako huko shuleni kusoma kitu ambacho hakikusaidii.
J jjjjjnnj nnnnjnnnnnnnjnjnnnnnnnnn jnjnjnjjjjjjnjjjnjnjjjjnjjnnj jjnnnnjjnnnjjknob nnnjjnjjjn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhhhh! siyo lawama bali ni ukweli mtupu ambao ukiufanyia kazi unaweza ukafika mbali na ukakusaidia.
Sijasema kuwa serikali inaajiri watu bali makampuni makubwa yanayojihusisha na viwanda, phamacy au hospital kubwa kama Regency, Aga khan huwa naona wafanyakazi wao ni kutoka nje ya nchi. Pia huwa wanaona wanavyoomba Work permit, Residence permit kwa ajili ya experts wao. Huu ni ushahidi mojawapo kwamba hawatuamini sisi watanzania licha ya kuwa na elimu kubwa. Pia huwa naona mtu wa india/Cuba mwenye Diploma ana uelewa mkubwa sana kuliko daktari,injinia, phamasia wa Tanzania mwenye PHD yake.
Pia kuna shirika moja pendwa nchini wataalamu wake hawana hizo B of Sc huwezi amini ila ndo mpaka Engine wanavua wao aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao unaowasifia hapo ndio watunga sera na wenye madaraka. Wanafeli wao kutunga sera nzuri za kuaccomodate vumbuzi na sayansi kiujumla.. tusitegemee mavuno kwenye shamba hambalo hatulihudumii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom