Mecca ndio mji bora duniani

Fact yani ukiugusa uislamu tu ni shida tu....thread ya kawaida BT imekuwa nongwa...
 
Waisilam wanavumilia na kuthamini sana uwepo wa ndg zetu wakristo. Lakini hali ni tofauti kwa hawa wa upande wa pili, thread nyingi humu hata a kawaida wakristo huzihusisha na dini yao lkn waisilamu huungana nao, kwa mfano mtu anaanza kwa kusema tumsifu yesu Kristo, wote tunaungana kwa kuitikia bila ubaguzi au mtu anaweza kuomba ushauri utasikia rudi kwa bwana, kana kwamba anaeomba ushauri ni wa imani yako. Lkn uwezi kukuta matusi kutoka kwa isilam, hali ni tofauti kwa wenzetu mbona km hamjiamini hivi!!? Mbona km mna stress hivi?
 
We noumaaa kete v2
 
Ziko sawasawa. Angalia anayovaa padri jumapili kisha linganisha na zetu. Au ile anayovaa papa mtakatifu. Halafu huo upuuzi wa kujifanya kanzu ni tofauti ulitaka ziweje labda?
Kwa mfano zikiwa tofaut lakin si ni kanzu
 
umenena kweli tupu
 
Saudia imepata kitega uchumi kizuri hasa tunakoelelea Ambako mafuta yanakosa bei
 
Kabisa mkuuu, lazima wenyej kwanza wawe mfano sio wewe wa third world ndio washabikia
 
Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Mungu wenu wa kujilipua
 
edwayne
Pole sana kwa kudhani kuwa Yesu alipaa.
Tatizo tujijadili la kupaa Yesu mada itafungwa. Maana hapo wazungu ndipo walipotutawala kiakili kwa kutuaminisha Mungu alimchukua Yesu mbinguni kwa kupaa. Huo ni uongo mkubwa kabisa kupata kutokea. Anyway huko sitaki kwenda. Kwenye Quran imeandikwa kila binadamu lazima atakufa. Sasa kama Quran ilisema hivyo halafu Mtume Muhammad apae mbinguni wakati alikuwa binadamu Quran ingekuwa imesema uongo mkubwa kama ambavyo biblia isivyo na ushahidi kuhusu kupaa kwa Yesu.
Nitafafanua kwa kirefu mtu akitaka kujifunza.
Kwa hiyo kwa Mtume Muhammad kufa ni faraja kubwa maana hapo hakuna udanganyifu wa kiimani kama ilivyo kwa ukristo.
 
Amstrong alipokua juu mwezin dunia huwa nyeusi aliona mwanga katikati ya dunia alipotumia scope akaona ni mji wa mecca
naomba watu wanaojua Geography waachiwe watujuze.Wanaota ndoto za mchana hatuwataki
 
Umejuaje kuwa ni uko katikati ya dunia wacha kuleta habari za kufikirika na hiyo qibla ndo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…