Allah hana uwezo wa kujidhalilisha. Yaani aache shughuli zake akuje duniani na kujibadili awe binadamu ili amsaidie binadamu? Hilo hawezi kulifanya maana udhalilishaji wa aina hiyo haujapata kutokea....maana umekiri Yesu aliumbwa na Allah kwa hiyo Yesu kujidhalilisha haishangazi maana yeye si Allah!

Wewe kuyajua haya bado sana ila hao mnao waona viongozi wenu wanayajua vizuri,nikuongeze na hili pia,Jini MAALUNI ndilo mnalotumia kuwatia watu vichaa,bisha nikuongeze lingine,yani ni majini majini majini+