Mecca ndio mji bora duniani

Anza na ukristo. Biblia inasema hilo ni jina la kupanga tu maana limetokana na imani za kipagani!!!!!
kwa hiyo hata muhammad aliyewatambua Wakristo kwamba ni wacha Mungu na wasomi ametokana na wapagani
tena amewahamishia pepo
hebu badilika...
 
Ulio yaandika umeyafanyia uchunguzi au unakuja na uzi ulio kosa mantiki....
Una uhakika mtume alizikwa macca? Prove
Una uhakika macca ndo mji ulio katikati ya dunia?prove
Una uhakika kibla ipo macca?prove
Na hii mada kama umeandika kwa niaba ya muslim..useme,maana kwa uelewa wangu mdogo naona kama haupo sahihi..
 


Mkuu, kumbe hujuwi history....haujasoma?
 
Mwandishi mwenyewe alicho kiandika hakitambui naona kwenye comment huna facts kabisa...bila shaka wewe ni christian ila umekuja na uzi huu kutufarakanisha tu..
Kwa msaada tu,,,judaism,christianity,and islam can all be tied to the same individual....hizi dini zote tatu zinaitwa abrahamic religion,all arise from the same parent..abraham ndo chanzo na baba wa hizi dini zote...sasa kama wewe utaendelea kutoa povu endelea ila,,,ila ujue sijasema mimi haya yote kasema baba ako wa imani na the father of jihad around the global.
Ukinibishia mimi ni sawa nakumpinga yeye maana haya maneno sijayatoa akili kwangu.
 
Mmeanza kukimbia hoja.
 
makkah ndio mji pekee unaoonekana kwa satellite usiku ukiwa una'ngaa kama nyota iliyoko duniani
 
Mmeanza kukimbia hoja.
Tunakimbiaje hoja,kuna hoja umetoa hapo tukaikimbia?hebu tuoneshe
Jibu maswali ya wana jf usichukulie masiala kwenye vitu vya usiliazi kama huna uwezo wa kumudu ulicho kiandika ni vyema ukawa msomaji,naona una maneno ya vijembe sana,yamkini watu wanauliza wanataka kujifunza kitu lakini unajibu bra!bra! Hauelewek unapinga unatetea au unatoa ufafanuzi..mkuu tunahitaji utueleweshe sio porojo zako
 
Bra bra bdio nini?
 
Ukiwa unaishi Tabora ukitaka kwenda marekani utaenda DSM, hii sio DSM ni bora zaidi ya tabora ni miundmbinu ya kukufikisha marekani
 
Oyooo nakuuliza pia tena mama yake Yesu alikuwa Mkristo?
wee umekaa Hapo kibarazani kupiga porojo za mudi. Fanyeni kazi.

Umeulizwa dingi lake mudi Mzee ABDALAH lilikuwa LIISLAM?

Kamoooonn jibu swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…