auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,294
Kwa hiyo biblia inapingana?
niombe radhi malyenge mimi walah sio mtukanajiUnachokiandika wala hukijui. Huu uzi utafungwa maana umwkuja mzee wa matusi.
Mungu yupi?anayesema hivyo wewe. Mungu muumba wa mbingu na nchi anasema haipingani. lakini mwanadamu akitaka ipingane inapingana. I go for God's opinion.
Hivi hizi picha huwa una wakala anakuleteaga? Hasa zile za nyama ya nguruwe huwa unazitoa wapi.?niombe radhi malyenge mimi walah sio mtukanajiilaha Ni Mtumishi wa Allah Yesuref hiyo post yangu nimetukana ninihawavai ihramView attachment 688151sasa masharti ya ihram isiwe na mshonochupi gani haina mshonojee hawanyoi kipalajibu hilo hapoView attachment 688153 hawafagi wakati wanamshughulikia kumpopoa mawe shetani?! ushahidi huoView attachment 688154 nimetukana wapi?¡
ViPi pale penye msikiti wa quds?, mbona jamii yote ya kiislm inapapigia kelele?Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
Kama ni kukariri ina maana tumesoma mahali kisha tukakariri.
Wewe inakuuma nini?Mecca haiko kati ya dunia, never!
shetani ni roho, utampigaje na mawe? halafu iringa hayupo shetani mpaka upande pipa wende mecca uvue suti ubaki nusu uchi ununue sare na na mawe ili umtandike shetani? nakuomba dogo hebu fuata maagizo ya mtume wako ktk kuuliza maswaliKanisani hamumpigi shetani!
Labda ungependa kujua kuwa hekalu la sensoji na meiji Japan linatembelewa na "watu walioamua kuacha dhambi" milioni thelathini kila mwaka.. Hekalu la Kashi Vishwanath lilopo mji wa Varanasi, India hutembelewa na waumini takribani milioni 22 kwa mwaka.. Pia ungependa kufahamu kuwa “mitume " wa buddha na dini nyinginezo hawakuzikwa mecca pia… ni mtizamo tuNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Point of correction kwenye Mecca,madina na JerusalemUwa nashangaa sana kwann husiwe mstarabu?
Km kuna kitu kinakutatiza kwann husiulize ukaelekezwa?
NB: hiyo miji ina historia kubwa sana huwezi kuitenganisha na Imani ya kweli ya mwenyezi Mungu.
Nimekuuliza na wewe unaniuliza tena? Kwani hujui? Si huwa unasema linatupulizaga matakoni tunaposali msikitini....au umesahau? Kwa hiyo kama ubajua linatupulizaga matakoni basi utakuwa ubajua umbo lake. Yale mamichoro uneyapeleka wapi? Si ndio mashetani yako hivyo?niambie wewe umbile la shetani..
Mfano mecca ndio mji bora duniani kuliko wowote.Hujaeleweka bado, ukiitetea hiyo miji kwa lipi??? Weka wazi mada ueleweke!!
dunia duara mkuu achana na elimu madrasaNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Wewe inakuuma nini?
Unajua maana ya neno "kukariri?"Hainiumi, nafafanua tu kwa wale wanaodanganyika na kuamini vitu kwa kukariri tu bila kujuwa ukweli. Ndiyo maana hapa panaitwa chuo kikuu, ulikuwa hujuwi hili?
kwa hiyo huyuNimekuuliza na wewe unaniuliza tena? Kwani hujui? Si huwa unasema linatupulizaga matakoni tunaposali msikitini....au umesahau? Kwa hiyo kama ubajua linatupulizaga matakoni basi utakuwa ubajua umbo lake. Yale mamichoro uneyapeleka wapi? Si ndio mashetani yako hivyo?
Uzi utafingiwa kwa ajili yako. Si umeona sasa umbo la shetani lilivyo wakati mwanzo ulijifanya hulijui? Uwe unavuta bange asubuhi.kwa hiyo huyuView attachment 688225 ndio mnampiga mawealiye puliza hapo nani? unamuona?
nimiusije ukanisingizia kufungwa uzi