Mecca ndio mji bora duniani

Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Siyo kweli! Mtume Muhammad (S.A.W.) alizikwa Madina siyo Mecca
 
Ivi ni Mecca au Macca .
Huyo Mtume lazima atukua Mohamad .
Na je mtume wa kwanza ni Issa Bin Mariam eeh (Esus/Jesus).
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.

Muache kukariri jamani.....toka lini Mecca ikawa kati kati ya dunia, soma ramani yako ya dunia.
 
Imeandikwa mwana wa Mungu atazaliwaa atajaribu atateswa na kufa na siku ya tatu atafufuka ni unabii ulitolewa kwenye kitabu cha isaya, hapo alikuwa anatimiza unabii na yesu alikuwa kama mwanadamu wa kawaida hakuwa na nguvu kama Mungu.
 
Sasa kama Yesu hakuwa na nguvu kama Mungu kwanini watu wanataka Muhammad awe na nguvu kama Mungu? Wanambeza kisa alikufa...walitaka aishi milele?
 
Walituletea dini ili watutawale wametuachia dini sisi ndo tunajifanya walimu wa dini aisee kweli weusi tumelaaniwa na kama kweli mungu yupo uyu wakwetu katuzira kabisa
Inaitwa divide and rule...ukisoma comments watu wanavyolumbana kisa dini duuh...SMDH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…