Me niko Poland, we uko wapi?

Me niko Poland, we uko wapi?

Yes nimefunga naenda Sudan!
Screenshot_20250907-202911.png
Screenshot_20250907-202911.png
 
Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...

Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana😂… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi 😂😂.

Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo 😂. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland

Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂😂😂
View attachment 3467445
Nipo Mauritius hapa mambo ni mazuri.
Disclaimer: Don't trust everything here
 
Niko addicted sana na JF, jana nlipata stress nkifikiria 90 days - means mpaka 06 Dec sio mchezo
 
Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...

Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana😂… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi 😂😂.

Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo 😂. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland

Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂😂😂
View attachment 3467445
Nipo Stockholm Sweden nakula upepo wa bahari hapa
 
All the way from Los Organos, Peru.. pembeni niko na glass ya "Mojito". Kesho nitakua milima ya Tora Bora Afghanistan. Vipi mnasemaje huko Africa Mashariki?
 
Niko addicted sana na JF, jana nlipata stress nkifikiria 90 days - means mpaka 06 Dec sio mchezo
Vipi wewe upo nchi gani mkuuu ???😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom