Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,151
Si wanasemaga maandishi badala ya herufi hahah. Yeah USAMaandishi / Herufi ? USA au ? 😂
Si wanasemaga maandishi badala ya herufi hahah. Yeah USAMaandishi / Herufi ? USA au ? 😂
Huku Russia naona kuna wadau kibaoKuwa makini huko amani hakuna mkuu njoo Poland
Kabisa Tena natumia operamin naperuzi bila shida yoyote ila kwenye chrome inagomaUongo
Na wametuchokozaaa kufungiq mtandao wetu
Me niko india new delhi💪💪😂😂😂Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...
Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana😂… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi 😂😂.
Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo 😂. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland
Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂😂😂
View attachment 3467445
Hahahah mweee me ninazo mbili mkuuu, sema zilikuwaga za kula free dataKumbe na ww ni kahuni tuu 😂 Hadi ww una VPN ??? 🤣🤣🤣
Ulongo🥷Operamini ina VPN yake ya mdami kwa ndani
Vizuri sanaHuko jamiiforums inafunguka ?
HahahhaNaperuzi kwa amani kabisa kutokea mongolia,jana nilikua turkmenistan