Me niko Poland, we uko wapi?

Me niko Poland, we uko wapi?

Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua...

Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana😂… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi 😂😂.

Huku Poland JF haisumbui, inafunguka fasta na roho yngu inatulia… damu yangu sasa imechemka kama mwanzo 😂. Yaani jana tu nilikuwa Mbeya kwenye Kampeni Leo Poland

Vp wewe mdau, we uko nchi gani muda huu? Au bado umekwama Bongo bila JF kwako fresh tuu 😂😂😂
View attachment 3467445
Meniko russia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom