Pole sana ngoshwe kwa yanayokusibu.cha msingi zaidi ni kumkalisha chini huyo waifu wako na kumuuliza hatima ya yote anayofanya itakuwa nn?maana yeye atakuwa anafurahia kusifiwa uzuri wake na binti wenu je hasikii vibaya mumewe kupondwa.thanx sn
...amekuwa akinijibu "yeye si mjinga wa kufanya mambo tunayoshaurina asifanye na kwamba yeye hata anwani ya barua pepe hana, na hataki kusikia kabisa vitu kama FB".
Lakini nasikitika sana, leo nimepokea mwaliko kutoka kwa rafiki mmoja katika familia yetu kupitia anwani yangu ya barua ya yahoo kunitaka nijiunge na Facebook. Baada ya kupokea mwaliko huo na kuingia kwenye FB, nakuta miongoni mwa marafiki zake ni mama watoto wangu na kwenye "wall" ya "mai wifu" na pia ya rafiki yangu huyo kuna picha kibao zikiwemo zangu na huyo mwanetu mpendwa ambazo nyingine sikumbuki hata zilipigwa lini.
Nashindwa ni hatua gani nichukue kwa hasira nilizonazo leo!, sijamuuliza bado kuhusu ili.....
Namuuliza hana la kusema anajibu eti mtoto si wetu wote na yeye ndie aliyeumia kumzaa, na mimi sijua maumivu yake ya kumkamua huko hospitali??.....
Piga DNA test hapo mazee.
Namuuliza hana la kusema anajibu eti mtoto si wetu wote na yeye ndie aliyeumia kumzaa, na mimi sijua maumivu yake ya kumkamua huko hospitali??.....
Namuuliza hana la kusema anajibu eti mtoto si wetu wote na yeye ndie aliyeumia kumzaa, na mimi sijua maumivu yake ya kumkamua huko hospitali??.....
.Namuuliza hana la kusema anajibu eti mtoto si wetu wote na yeye ndie aliyeumia kumzaa, na mimi sijua maumivu yake ya kumkamua huko hospitali??.....
.
Ngoswe, wanawake ni mama zetu, dada zetu na wake zetu wanastahili heshima zao zote, lakini kuna baadhi yao, wee acha tuu.
Ushauri wangu, take it easy, usichue uamuzi wowote wa hasira. Tena mambo ya dna ndio achana nayo kabisa usije umia ukakosa mwana mke na maji ya moto.
Kwa mliosoma kitabu sikumbuki nadhani sidney sheldon the prodigal daughter akiitwa noela, baba mvuvi samaki wa kitaliano na mama, wote ni brunette brown eyes wakazaa very beutiful daughter blonde blue eyes!.
Sisi ngozi nyeusi hatuna mengi, 'mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba'
mwanamke huyo anajua wewe siyo baba mtoto huyo ndiyo maana hakutii maelekezo yako check DNAMtoto sio wako