Mdudu sio simu kama huna chaji huna tu

Mdudu sio simu kama huna chaji huna tu

Ni kweli, lakini mwili wa binadamu unaendeshwa na virutubisho aina 7 na kila kimoja kina kazi yake. Mfano unapopungukiwa damu unashauriwa ule vyakula vyenye madini ya chuma (Fe) kwani ndio hutumika kutengeneza damu (haemoglobin), sasa daktari akikushauri hivyo utamjibu "kama sina damu sina tu"

Kuna maskio mengine ni ya kufa huwa hayaskii dawa mkuu.
 
Back
Top Bottom