Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,798
218,444
Huu hapa ndio ujumbe wenyewe

Mdude.PNG
 
Upelelezi unaendelea....hadi pale mtandao wote wa kigaidi utakapo dhibitiwa kikamilifu.
Tanzania sio sehemu salama kwa Magaidi.
 
Wafuasi wa cdm hawatoelewa hii, majamaa yamejitolea kuwaamn wanasiasa kulko hata maisha yao, moja ya sifa ya mfuas wa demokrasia ni kutobase kwenye mfumo mmoja hasa pale unapokosea, yaan uwe tyr hata kumuhukum yule unayemuamn maana nae anaweza kukosea, sasa hawa wafuas wa cdm wanaamin viongoz wao hawajawai kosea wala hawakosei, huu n upuuz ndyomaana niliacha kuwa shabik wa vyama vya siasa za Tz maana majitu haya hoji undani wa mambo yanayohusu wale wanaoawaamin wala huruhusiw kuhoji wala kuhukumu akikosea kiongoz, zaid ya kuunga mkono hata upuuzi,,Tz hakuna chama chamaana sio upinzan wala sio ccm wote ni wale wale wapuuzi wanaotofautiana upuuzi tu, na wote wana ushetan ambao wanaufanya il kuzid kubaki madarakan kwa muda mrefu, kuna upuuz unaofanywa na upinzan endapo ukiwekwa wazi bas wale wenye akili timamu wataachana na siasa chafu, lkn wale wafia uchafu watakupinga kama wapingavyo ktk hii post, na pia kuna ushetan wa chama tawala, inshort hakuna msafi ktk siasa, wote ni washenzi tu sema wanatofautiana viwango vya ushenzi, kama ccm n wauwaji na wanatumia udicteta kubak madarakani, jua kuwa hata wapinzan hasa cdm wanatumia uo uo udicteta kumbakiza mwenyekit madarakan na yeyote anaehoji anashughurikiwa ipasavyo,,hii ni spesho kwa wale wasio base upande wowote wa siasa, kama unaonea upande wako , haukosei basi ujue kuwa upo ktk level ya upofu wa mahaba ya siasa yaan huoni wala husikii, na hii ndyo ile level ambayo hata wafuas wa mpira na mapenz wakiifikia inaitwa True love yaan unapenda bila kujali maneno ya watu, wala kujari mapungufu ya kile au yule unaempenda..but in reality kuna upungufu mkubwa na uchafu ambao huwez uona mpka utoke nje ya box la mahaba yakipuuzi
 
Mbowe ni gaidi, adhabu ya gaidi ni kunyongwa
Pumbavu wewe...

Nakuhakikishia jambo moja kuwa watamwachia Freeman Mbowe wenyewe bila masharti akiwa mzima wa afya na kongamano la kudai katiba mpya ya wananchi Mwanza liko palepale, litafanyika...

Kuna mambo hakuna binadamu atumiwaye na shetani anaweza kuyazuia japo aweza kufanikiwa kidogo kuyachelewesha tu...

Kama ni kunyongwa, basi watanyongwa hao hao baba na mama zako wanaopanga mipango ya kishetani dhidi ya raia wanaopinga sera na mipango yao...

Tulikuwa tunawaambia hivi hivi dhidi ya ujinga na upumbavu wa utawala wa Mwendazake John Pombe Magufuli na wenzake. Hamkuweza kuelewa. Badala yake mkaanza kumwabudu na kumwandaa awe Rais wenu wa maisha. Lakini yuko wapi sasa na baadhi ya hao wenzake...?

Anaongoza malaika na mapepo ya kuzimu. Ni Rais wao wa milele huko...!!!!!

Mnataka na huyu mama aelekee huko? Endeleeeni na ujinga na upumbavu wenu wa kuonea watu ili kulinda ugali wa matumbo yenu, na wake zenu, na waume zenu na watoto wenu...
 
Kudai katiba mpya ndio njia haramu ?
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
 
CHADEMA ilipoteza mwelekeo baada ya watu makini kupuuzwa kisa ukabila wa Mwenyekiti wa chama hicho.
Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Dr. Slaa, Prof. Safari, Prof Baregu,; hawa watu walionesha dira sahihi kabisa ya chama. Walitengeneza mfumo mzuri wa siasa zenye hoja ndani ya chama. Walikuwa taswira angavu kwa wafuasi na wanachama. Walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa wananchi hata wasio wanachama wa CHADEMA. Waliongoza chama kisomi, All in all, walifunika madhaifu ya ujinga wa Mwenyekiti. Walimfanya mwenyekiti aonekane mtu makini sana. Ukabila wa mwenyekiti uliwafanya watu hawa wapuuzwe ndani ya chama.
Leo hii ndani ya chama hakuna anayeweza kumshauri mwenyekiti, hakuna mwenye ushawishi tena kwa wanachama. Wasomi wachache waliomo ndani ya chama ni waoga na waganga njaa, hawana uwezo wa kujenga hoja na kutoa dira ya chama, wanaishia kujikomba na kujipendekeza kwa mwenyekiti wapate ulaji. Wamekubali kusafisha na kukumbatia ukabile wa mwenyekiti. Chama sasa hakina wataalamu, kina watu wanaoweza kupiga domo tu mitandaoni. Leo hii ukiwauliza kwa nini wanataka katiba mpya watasema " Tunataka tume huru ya uchaguzi". Hawajui kuwa takwa la tume huru ni la chama chao tu. Wako bize mitandaoni kuediti na kupush Display Picture za Mbowe.
Mtu pekee mwerevu aliyebaki na uwezo wa kuchambua mambo muhimu ya kisiasa ni Tundu AL, lakini na yeye ile phisical damage yake imemtia hofu sana. Huwezi kuongoza chama kuchukua dola ukiwa nje ya nchi!
Kinachomkuta Mbowe leo ni baada ya kupukutisha watu werevu ndani ya chama kwa hofu ya yeye kutokuwa Mwenyekiti soon or later. Amebakiza mbumbumbu wenzie ambao leo hii hawawezi kumshauri vizuri, wanabaki kupiga kelele mitandaoni tu. Mnyika (Katibu mkuu wa chama) ni mtu makini sana, zao la Dr. Slaa, mtiifu na miumini wa siasa za kisomi kujenga hoja za kiushindani lakini anakosa powerful political consultants wa kumwezesha kufanya maamuzi. Hawezi umbea wa mitandaoni, anakosa sauti hivyo na yeye anaonekana political powerless. CCM hawaogopi tena, walishajua udhaifu wa CHADEMA. Wanajua wataendelea kuwaburuza tu.
CHADEMA better late than never, toeni huyo mwenyekiti mjisahihishe. Uwekezaji wa nguvu ya umma siyo makele tu, ni mikakati na mbinu.
 
Back
Top Bottom