Taarifa ikufikie popote ulipo usiku huu kwamba , Yule kijana Mzalendo na mpigania Rasirimali za Taifa , sumu ya nyigu , anayefahamika kwa jina la Mdude Nyagali , ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi .
Kabla ya hapo Shujaa Mdude aligoma kupekuliwa nyumbani kwake na jeshi la Polisi kwa vile Jeshi hilo haliaminiki na kuna Ushahidi kwamba liliwahi kumbambika Mdude madawa ya kulevya ili kumkomoa na kumfurahisha Dikteta Magufuli (Mahakama ilithibitisha)
Hatimaye Shetani ameshindwa tena .
View attachment 2691454