FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,809
Hanijuwi simjuwi.Huendi mazikoni wewe bibi? Jamaa yenu aliyefuta uchaguzi 2015 kashindwa kufuta kifo
Hanijuwi simjuwi.Huendi mazikoni wewe bibi? Jamaa yenu aliyefuta uchaguzi 2015 kashindwa kufuta kifo
Kosa la kutetea bandari.Ameshtakiwa kwa kosa gani!? Tuanzie hapo
Wezi watasachije ghetto lake?Walienda kusachi ghetto lake?
Kwakuwa wewe ni damu ya wanamgambo wa itikadi Kali unajuwa mziki wake wewe tulia kwanza na hongo lako LA walodiUnangoja nini?
Tuna askari wa wanyapori huko hawana kazi za kutosha.
Mwenzetu katika dini.Hanijuwi simjuwi.
"CCM ishakata pumzi" Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(2015)CCM ishakata pumzi
Unyama sana mwanangustupid
Utawala bora wa sheria.Angekuwa nchi nyingine,angeozea huko.Taarifa ikufikie popote ulipo usiku huu kwamba , Yule kijana Mzalendo na mpigania Rasirimali za Taifa , sumu ya nyigu , anayefahamika kwa jina la Mdude Nyagali , ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi .
Kabla ya hapo Shujaa Mdude aligoma kupekuliwa nyumbani kwake na jeshi la Polisi kwa vile Jeshi hilo haliaminiki na kuna Ushahidi kwamba liliwahi kumbambika Mdude madawa ya kulevya ili kumkomoa na kumfurahisha Dikteta Magufuli (Mahakama ilithibitisha)
Hatimaye Shetani ameshindwa tena .
View attachment 2691454
Nchi inafuata utawala bora wa sheria.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
mlimkamatia nini ?Nchi inafuata utawala bora wa sheria.
Huwa kuna mambo mnalazimisha sana. Badala ya kujenga mnabomoa.Ameshitakiwa kwa kosa la kuwa Mwanachama wa Chadema na kupinga mauzo ya bandari za Tanganyika
Mwabukusi alihojiwa na kuachiwa
Haya ni makashkash ya kujitakia. Unamtukana Rais, huku al8shasema yeye hatojali lakini machawa wake watajali: ndiyo hawo. Are you saying mdude anaweza kumtukana hata Peter Msigwa mlambwa wenziye, let alone Mr Tundu au ultimately Mr Mbowe mwenyewe? On your nelly! Subutu!! He got what he deserved mwambieni asirudie.Oooh kumbe afadhali,
Nafurahi kusikia hivyo.
Kumbe utekelezaji wa taarifa kutoka Tume ya Haki Jinai mapendekezo yameanza kufanyiwa kazi kwa vitendo ,
Vizuri sana.
wewe ndio wa kumuonya Mdude ?Haya ni makashkash ya kujitakia. Unamtukana Rais, huku al8shasema yeye hatojali lakini machawa wake watajali: ndiyo hawo. Are you saying mdude anaweza kumtukana hata Peter Msigwa mlambwa wenziye, let alone Mr Tundu au ultimately Mr Mbowe mwenyewe? On your nelly! Subutu!! He got what he deserved mwambieni asirudie.