Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Kwangu mdude ni jemedali wa kweli aliyebaki katika vita baada ya waoga wengi kukimbia, ni ujasiri wa hali ya juu aliokuwa nao huyu jamaa na anastahili tuzo ya Nobel, popote niendeka utabaki kuwa moyoni mwangu daima like Mawazo, Ben, Lissu.Revolution n long process inayohitaji watu waliojitoa kweli kweli kupigania kile wanachokiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hutaki kuchukuwa kijiti chake?
 
Kosa lake ni kumkaribisha nyumbani kwake. Zipo sehemu nyingi sana za watu kukutana
Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mababe wa twitter.

Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?

Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?

Anakusifia kwa ujasriri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.

Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuiita mdudde mwenyewe. Kisha anakurushia muamla 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.

Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.

Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.

Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu au jaji anayemfunga mtu kwa kosa ambalo si la kweli hubeba mzigo wa dhambi siku ya kiama atachomwa moto mkali usio na kikomo na wale waliomtuma kumfunga ipo siku mungu atawalipa malipo huwa hapa hapa Duniani
Cha ajabu atachomwa kwa kiwango kilekile kama cha mwizi wa kuku, mtukanaji, na mzinzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Ndio Ujue Serikali inafanya makusudi kutoliletea taifa maendeleo

kama TISS wanaweza kupanga mission kiasi icho wanashhndwa nini kupanga mission za maendeleo ya taifa? kumuondoa mwehu ikulu!

Taifa ni maskini kwa uzembe tu watu wana uwezo!
 
KAMANDA 'MDUDE' SIO SIRI UMEJITAKIA MWENYEWE

Hivi hukumuona mwezako Roma Mkatoliki, alivyokimbilia nchini Marekani baada ya kunusurika kuuawa alipotekwa na watu wasiojulikana?

Hivi hukuwaona wenzako akina Maria Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Mange Kimambi na Kigogo 2014 wanavyoikosoa Serikali huku wakiwa nje ya Tanzania?

Hivi Mdude hakujifunza kwa Ben Saanane au hakujifunza pale alipotekwa kwa mara ya kwanza?

Hivi ulipata ujasiri gani kuanza kuikosoa Serikali ya CCM kila kukicha mtandaoni huku ukiwa unaishi hapahapa nchini? Kwani akina Kigogo, Ngurumo, Chahali na Mange Kimambi uliona ni wajinga walipoamua kukimbilia ughaibuni?

Ndio maana nasema kuwa, Mdude Nyagali Chadema umeyataka mwenyewe, ila shukuru tu kwamba utaendelea kuwa hai gerezani hata kwa muda wa miaka 10, kuliko kama ungetekwa tena na watu wasiojulikana.

Bai bai 'SUMU YA NYIGU'

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio ccm mnaona sifa kutengeneza wakimbizi wa kisiasa. Mnayajua madhara ya hiyo biashara mnayoifanya ?
 
Kwa hiyo wakosoa serikali ni watakatifu hawawezi kuwa wezi,majambazi,wauza unga nk? Wazaa nje ya ndoa kama mbowe na Joyce mukya? Nk

Hatusemi ni watakatifu, ila huyo mdude kabambikiziwa kwakuwa ni mkosoaji fullstop.
 
Tutajuaje kama na yeye mdude hakuwa mshiriki wa hiyo biashara.? Mtu anakutumia tu 1.7 ysawa huu tena mwanamke hujui kaitoa wapi na hujafanya nae dili? Sio kweli. Hiyo 1.7 mil ni sehemu ya biashara zao. Sema hatujajua miamala mingine waliyotumiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika ametumiwa hio hela au unabwabwaja hapa kwa maneno ya kusimuliwa.

Acha ukiazi mbatata
 
Hakuna la kumtia moyo hapo. Vijana wengi wa chadema wanatumika viongozi wao (mbowe, sugu na prof Jay) kama punda wa kubeba mzigo wa dawa Za kulevya. Wasipoiacha kazi hii ambayo haijawahi kulipa wataumia kwani ni suala la muda. Huyo Mdude alikuwa akienda Zambia na DRC kama anatoka kimara kwenda Kariakoo kumbe ndio dili zake. Anajificha kwenye kivuli cha uanaharakati na ukosoaji wa serikali ili atakaponaswa ionekane anaonewa.... Pumbavu, juzi amekamatwa mbunge wa CCM jimbo la kishapu Mhe Suleiman (Nchambi) akiwa na sialaha 16 na risasi za kutosha wote tulishangilia na kusema wacha waisome namba leo tunamtetea mtu anayechochea mateja kuongezeka ili yeye apate utajiri....

Acha sheria ichukue mkondo wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kupenda sana likes za mitandaoni na kujiona mwamba kuwa na marafiki 5,000 wanaondika kwenye page yake,haya kiko wapi?ataenda jela miaka mitano baada ya Magufuli ikiisha huyu atatolewa but muda umeshapotea na ni hatari sana kijana unayetafuta maisha kuwa nje ya uwanja wako kwa muda huo ukirudi hujui utaanzia wapi....utapagawa!!!

Na siyo kwamba wote tunakubaliana na inachokifanya sirikali but lazima mtu uangalie unafanya kitu hatari je kikitokea chochote una backup itakayoweza kuku-push kutoka point A to B,C so on?maana watu kama Mbowe Lema Msigwa nk hawa hata waking'ang'aniwa wanaweza kupambana na wanajulikana huko duniani sasa unakosoa halafu upo hapa hapa na picha unajipiga una-post ukijichekesha huku umeandika shit kuhusu serikali,kama kukosoa hata kama bado upo bongo unajivua uhalisia siyo unakosoa na picha umeweka lazima uumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa
 
Na nyinyi muache ushamba! Mnatumia mbinu za kizamani na kitoto sana kuwanyamazisha wale wanao wakosoa. Badala ya kuwatumia wakosoaji wenu kama kioo/vioo vya kujisahihisha, nyinyi mko busy kuwaua, kuwatisha, kuwabambikia kesi, nk

Mnataka kusifiwa tu muda wote hata katika mambo ya hovyo hovyo! Who are you? Mungu mwenyewe tu anakosolewa na kulaumimiwa! Nyinyi mmekuwa zaidi ya Mungu! Au ndiyo ule ushamba na ulimbukeni wa madaraka aliousema Zitto, au ni ile dhana ya udikteta uchwara aliougundua Tundu Lissu?
Ni mhalifu kama wengine tu amekamatwa na madawa ya kulevya acha apambane na Sheria ni ujinga kumuona Hana hatia kisa tu ni msukule mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMANDA 'MDUDE' SIO SIRI UMEJITAKIA MWENYEWE

Hivi hukumuona mwezako Roma Mkatoliki, alivyokimbilia nchini Marekani baada ya kunusurika kuuawa alipotekwa na watu wasiojulikana?

Hivi hukuwaona wenzako akina Maria Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Mange Kimambi na Kigogo 2014 wanavyoikosoa Serikali huku wakiwa nje ya Tanzania?

Hivi Mdude hakujifunza kwa Ben Saanane au hakujifunza pale alipotekwa kwa mara ya kwanza?

Hivi ulipata ujasiri gani kuanza kuikosoa Serikali ya CCM kila kukicha mtandaoni huku ukiwa unaishi hapahapa nchini? Kwani akina Kigogo, Ngurumo, Chahali na Mange Kimambi uliona ni wajinga walipoamua kukimbilia ughaibuni?

Ndio maana nasema kuwa, Mdude Nyagali Chadema umeyataka mwenyewe, ila shukuru tu kwamba utaendelea kuwa hai gerezani hata kwa muda wa miaka 10, kuliko kama ungetekwa tena na watu wasiojulikana.

Bai bai 'SUMU YA NYIGU'

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan amekuja kukuomba msaada we mdada.Acha upumbaf maisha yake hayakuhusu
 
Vijana mshikeni Mungu ili muwe na Amani,

Usikubali Kwa namna yoyote Ile kutumiwa na Chama ukapenda kupewa like mitandaoni na kichwa kikavimba, ukasahau kuwa maisha bora unayo mikononi mwako

Acheni mihemko isiyo na tija
 
Hapa alishindwa kusoma alama za nyakati.
Alitakiwa kuwa nje ya nchi mapema sana tangu walipomkosa kosa kipindi kile.
Alikuwa anafanya Jambo la hatarii sanaa...! Alitakiwa awe nchi za nje huko wakati anafanya hayaa lakini duu kajichanganyaa mzeee...huruma sana atafungwa mpaka mzee baba amalize muda wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.

Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.

Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule alikuwa anaigiza uanaharakati wakati mwanaharakati huwezi kuwa na njaa ya papuchi za Instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom