Mdude Chadema awaanika waliomteka

Mdude Chadema awaanika waliomteka

Je valide .J'aimerais savoir ,où est ce que avez-vous apris le français ?
J'apris la langue ici en Tanzanie. J'ai etudie a Mwanza et a Tabora en six annees consecutives. Apart de francais, j'ai apris aussi le Latin. Malhereusement je n'ai pas parle la langue i'l y'a 15 ans.
 
Bro kama kweli wewe ndiye ninayekufahamu, mnachokifanya sio sahihi.
Na ninakwambia kama ndugu na mdogo wako.
Bro uliingia uaskari ili uwalinde wale wasioweza kujilinda na sio kuumiza waliokwishaumizwa.

Hebu fikiria kitu!
Nikiwaambia watu humu ukweli kuhusu wewe na alipo shemeji na madogo unadhani watakuwa salama?

Brother umewahi kunisaidia na niliheshimu sana msaada wako ila kwa haya unayofanya sasa hapana!
Sio utu, sio ubinadamu!
hahahahh....wambie. Unababia tuu watu ndugu. Hata muda huu nimepita kwenye ka kiosk hayupo. Mimi ni Dunstan Buberwa Ntamilyango, 0759829015. Sijifichi hata siku moja.
 
Jeuri ya kutaja anayo???Na sasa atakuwa na adabu atapinga kwa kutumia maneno ya staha. Akitaka kutukana basi atuige sisi atumie ID fake. Unless kachoka kuishi. Maisha matamu sana jamani. Hasa ukiwa bado kijana mwenye nguvu na afya njema.

Huku wakikutaka hawawezi kukukosa hata Kwa ID fake,nadhani wanapadharau tu wanaona jf haina follows wengi wanaotishia matumbo yao km mitandao mingine
 
Mambo ya namna hii ndio hupelekea CHADEMA Kudhaniwa kwamba inahusika kuwateka wanachama wake ama kutengeneza matukio ya kiugizaji utekaji ili kupata political stunts...
Kama ndivyo Kwnn wasikamatwe hao wanaotengenezaga hayo matukio?, kwangu naamini vyombo vya ulinzi na usalama vinahusika kama vinashindwa wakamata watu wanaotengeneza matukio hayo, full stop.
 
Pole sana kijana ila Acha kuzunguka sana.....

Advice.
Weka wazi tukio la kutekwa kwako but with Evidence siyo mambo ya kuhis maana kwenye Taaluma ya Sheria Mambo yakuhisi sijui fulan...... Nilimshitaki hivyo huenda alihusika na tukio langu la kutekwa, hicho kitu hakipo!!!!


Endelea kutoa Maneno ya Mafumbo wakushughulikie jumla...

Nchi hii inajitaj mtu uishi kwa misingi ya kisheria na siyo kuropoka ropoka hovyo without evidence eti uwe Maarufu.

Tulia jenga hoja na uliza swali sehem husika na siyo mtandaoni utaonekana una MAJUNGU MKUU hata kama swali lako linamaana kwa Maslai Mapana ya Taifa...

Serikali haifanyi kazi informal angalia hoja zako unaziwasilisha wapi?
Je Kwenye Social Media(Fb etc) au unaandika document yako na kuiwasilisha OFISI husika...

Mytake. Watanzania wenzangu tujifunze namna bora ya kufikisha ujumbe/hoja/swali kwa wahusika ili upate ufafanuzi..

..siyo kweli.

..serekali inafuatilia habari na taarifa kila mahali ikiwemo kwenye mitandao ya kijamii.

..Mdude alikamatwa na kushtakiwa na serekali mara mbili kwa masuala aliyo-post kwenye mitandao ya kijamii.

..Tatizo ni kwamba Polisi wetu wako biased kwa kuwapendelea CCM dhidi ya wapinzani.
 
Wasalaam, nikiwa kama mtanzania mwanachi mnyonge kabisa napenda tushirikiane tuliombe jeshi la police Tanzania kwenda kuwahoji wananchi waliojitokeza kuzuia mdude asitekwe. Hawa ni mashahidi muhimu ktk kuharakisha uchunguzi juu ya tukio zima.

Mdude amesimulia police wamemhoji lakini hawajaenda kuwahoji mashahidi walioshuhudia na kujaribu kumuokoa wakatishiwa bunduki wakarudi nyuma. Ili kuthihirisha ukweli na uwongo, ni muhimu jeshi la police kufanya uchunguzi wa kina huenda likawabaini watu wanaoitwa "wasiojulikana". Maana vinginevyo tusubiri atekwe mwingine sijui atakua nani. Nani anajua " who is next" maana watu wasiojulikana bado wapo na mbaya zaidi hawajalikana na hakuna dalili za kujulikana.
 
Mdude Chadema ndio mdudu gani mods futeni nyuzi zote za kumuhusu huyu mtu hana faida yoyote kwa Taifa
 
Sasa awataje majina kwani atakuwa anawafahamu?
Jamaa aliposema alipoteza fahamu hajui kilichoendelea kajikuta porini siku ya ngapi tangu kutekwa nikajua tu hii ni namna ya kukwepa kueleza ukweli.

Kama alifanyiwa mambo ya kigiriki ni kwamba hajui kitu.

Walichomtendea jamaa hawezi kuelezea ukweli halisi. Ataleta hadithi za wenzie wote waliopitia tukio kama lake. Hawezi kuwataja wazi wazi ni nani.

Tushukuru karudi mzima mengine anajua yeye na watesi wake.
 
Yaani kuna mtu anabariki alichofanyiwa Mdude??? ngoja siku upande ugeuke Chadema ishike usukani na nyie mmfeel tunachofeel sasa hivi..mxiewwwwwwwwww
 
Umehusika kwenye hii mambo?
hahahahh....wambie. Unababia tuu watu ndugu. Hata muda huu nimepita kwenye ka kiosk hayupo. Mimi ni Dunstan Buberwa Ntamilyango, 0759829015. Sijifichi hata siku moja.
 
Back
Top Bottom