Mdude Chadema awaanika waliomteka

Mdude Chadema awaanika waliomteka

Saa ngapi na platform gan itatumika tufuatilie live?hatutaki kulishwa matqngo pori na watu wa you tube kesho na click bait zao
 
Wewe dumuzi kweli - tunamtahadharisha asiongozwe na hisia na hasira
Awe na hakika kwa kile asemacho
Mkuu kwani umemuona yeye ni mbumbumbu hajui anachokifanya? Yeye ndio kaamua kuzungumza kaenui kimya msubiri, ongeeni akisha ongea. Mkuu na wewe mkatrend kweli kweli.
 
Jamaa aliposema alipoteza fahamu hajui kilichoendelea kajikuta porini siku ya ngapi tangu kutekwa nikajua tu hii ni namna ya kukwepa kueleza ukweli.

Kama alifanyiwa mambo ya kigiriki ni kwamba hajui kitu.

Walichomtendea jamaa hawezi kuelezea ukweli halisi. Ataleta hadithi za wenzie wote waliopitia tukio kama lake. Hawezi kuwataja wazi wazi ni nani.

Tushukuru karudi mzima mengine anajua yeye na watesi wake.
Lakini anajua kuna mazwazwa yatamwamini
 
Jamaa disha lishayumba nini? Watekaji sisi tunawajua ni usalama na polisi wenyewe.
 
Hawezi kuongea chochote japo tunajua yanayo endelea ila hato taja
 
Hana cha kupoteza Lkn watekaji wanacho,tunaishi mara moja kufa ni zawadi

Suala la kufa kila mmoja hulijuwa vema - issue ni kabla ya kifo umetimiza sehemu ya ndoto zako?
 
Jamaa aliposema alipoteza fahamu hajui kilichoendelea kajikuta porini siku ya ngapi tangu kutekwa nikajua tu hii ni namna ya kukwepa kueleza ukweli.

Kama alifanyiwa mambo ya kigiriki ni kwamba hajui kitu.

Walichomtendea jamaa hawezi kuelezea ukweli halisi. Ataleta hadithi za wenzie wote waliopitia tukio kama lake. Hawezi kuwataja wazi wazi ni nani.

Tushukuru karudi mzima mengine anajua yeye na watesi wake.
Tukumbuke tukio lililompata awali aliwataja wahusika japo sio kwa majina....lkn kesi alifungua dhidi ya jeshi la polisi na iko mahakamani
 
Ha ha ha - hofu kwa mdude, mdogo kama pilitoni kiongozi
Huaga mkishafanya huo unyama wenu mnaanza kujiwahi na vimaneno utaona..."atakua amekula pesa za watu,Mara oh itakua wamechukuliana mke,Mara aangalie wagomvi wake"mkibanwa mkakosa hoja mtasikia kajiteka,mkibanwa Sana mkalegea kwa kukosa utetezi ndo hua mnakiri Mara oh yeye si kazoea kutukana viongozi!" Mkiambiwa semeni hayo matusi Basi mnakimbia uzi.hamna jipya nyie.ila haya Mambo nyie chekeni Kama mazuri tu,uko wakati nawaambia
 
Hawezi kuongea chochote japo tunajua yanayo endelea ila hato taja
Huyo ni kama marehemu kambona na zitto walivyotuahidi kutaja watu wenye account tukajazana kwenye mkutano hakuna la maana walilolisema. Kijana wameshamuharibu bora Nondo aliwahi kuachiwa akiwa na akili zake huyu ni msukule tayari
 
Huaga mkishafanya huo unyama wenu mnaanza kujiwahi na vimaneno utaona..."

Akina nani ndugu?
Mimi na wewe ni watu tunaoishi kwa neema ya Mungu- Sijakatwa mkia lkn naishi bila mkia!
 
Back
Top Bottom